mungu

  1. K

    Hakuna namna ya kumshurutisha Mungu ili aje arekebishe hizi 'bugs' zilizotokea kwenye uumbaji wake?

    Vita Ufisadi Tozo Mauaji Ukabila Uchawi Wizi Ukahaba Makafara Husda Usengenyaji Utapeli List goes on...
  2. Analogia Malenga

    Spika Ndugai aomba radhi Wakristo kwa kauli yake kuhusu Yesu

    Spika wa Bunge Job Ndugai amewaomba radhi wakristu kwa kauli aliyotoa leo bungeni alipokuwa akielezea alivyotembelea Israel Katika maelezo yake alisema "Yesu alitembea na mke wake kutoka Nazareti kwenda Yerusalemu kuhesabiwa" ambapo amesema alimaanisha Yusufu alitembea na mke wake sio Yesu kama...
  3. masopakyindi

    Viongozi muwe na hofu ya Mungu, vinginevyo yatakayowapata msimlaumu

    Kiongozi ni mtu yeyote atazamwaye na wananchi waliowengi kwa nia ya kuongozwa au kufika kule wanakotarajia na kunakotazamiwa na wananchi hao. Kiongozi anamajukumu makubwa zaidi kuliko miiko tu ya kazi, anaongoza roho za watu. Kiongozi ni nani? Kiongozi ni yule mwenye madaraka makubwa au...
  4. S

    Wizara ya Fedha, salary slip kupitia salary slip portal za kila mwezi ziwe zinatoka mapema kuliko hivi sasa

    Wizara ya Fedha mmefanya jambo jema na la kupongezwa kwa kuanzisha utaratibu wa watumishi wa umma kupata salary za kila mwezi online kupitia salary portal. Hii ni tofauti na miaka ya nyuma ambapo zilipokuwa zinatolewa na Hazina na kisha kusambazwa kwenye idara,wizara na taasisi za umma au...
  5. M

    Ashukuriwe Mungu mke wangu amejifungua salama salmini

    Ashukuriwe mungu! Mke wangu amejifungua salama salmini! Nawashukuru wote mlionipa support ya ushauri na maarifa kwenye uzi wangu nilioomba msaada wa fikra na ushauri juu ya kupita siku za kujifungua kwa mama mtoto wangu! Amefanikiwa kujifungua jana mtoto wa kiume! Bila upasuaji wowote...
  6. P

    CHADEMA wakumbushwe: Mungu si mfuasi wa vyama na hana kadi ya chama

    Mandiko yanasema, Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa, Hivi mandiko yanaposema hivyo huwa inamaanisha nini? Mambo yanayohitaji utumie nguvu zako kuyakabili na inawezekana kufanya hivyo, fanya, yale yanayohitajika kuyafanya kutumia akili zako na upo upenyo wa aina hiyo fanya, Mungu ni...
  7. Sky Eclat

    Dhambi ya kuua humchukiza sana Mwenyezi Mungu

    Kitendo cha kutoa uhai wa mtu mwingine makusudi kinamchukiza sana Mwenyezi Mungu. Kitendo hiki kinaingilia na kuvuruga uumbaji na mipango ya Mungu kwa mwanadamu duniani. Kabla ya kushushwa kwa Amri kumi za Mungu, watu waliuana sana. Waliuana katika kuteka miji na utawala, visa vya...
  8. Mtumaini Mungu

    Usije sema sikusema, nasema haya kabla sijafa

    MUNGU ANAKUPENDA SANA. Ndio, sijakosea.. Mungu ANATUPENDA SANA na ndio maana Ameuleta ujumbe huu mbele yako leo hii. Ni uamuzi wako, Kuchagua Mema na Uzima AU mabaya na mauti. Mimi ni mdhambi kama wewe, ndio wewe ni mdhambi kama mimi, lakini Mungu hapendi tuishi katika dhambi na ndio maana...
  9. Doctor Mama Amon

    Swali kwa Viongozi CHADEMA: Kumwombea Mbowe ni sehemu ya ibada kwa Mungu yupi?

    Rodrick Lutembeka, mmoja wa viongozi wa Baraza la Wazee Chadema Tangu Freeman Mbowe alipokamatawa na kufunguliwa mashtaka yanayohusiana na ugaidi, viongozi wa Chadema Mwanza, Morogoro na Dar es Salaam wamekuwa wanahamasisha maombi katika makanisa mbalimbali, bila kujali Mbowe anamwamini Mungu...
  10. mojave

    Kuanzisha biashara ya diapers na sanitary pads

    Waungwana habari ya leo....? Bila shaka wengi wetu tu wazima na Mungu katupatia neema ya kuiona siku ya leo na walio wagonjwa Mungu aendelee kuwapigania. Nakuja kwenu kuomba msaada wa kujua ni wapi naweza kupata hizi bidhaa/ product (diapers and sanitary pads) kwa makampuni mbali mbali kama...
  11. Wilson Gamba

    Hongereni sana wanakwaya

    Ee bwana unifadhili-by Aloyce Goden Huu wimbo una fikirisha na kunibariki sana. Hongereni sana wanakwaya wote mliohusika katika wimbo huu. Kweli mliutendea haki, Mungu awabariki sana ni wimbo wenye kuishi muda mrefu. Licha ya kuwa siwajui lakini kazi zenu zinaniweka katika uchaji/mstari na...
  12. KijanaHuru

    Binadamu anapojiweka shetani anayegeuka kuwa Mungu kuutawala ulimwengu

    Umofia Kwenu! Nilipokuwa nikipitia baadhi ya stori za wadau mbalimbali nami nikahamasika kuweza kuandika walaka huu kwa kufuata mawazo na fikra zangu binafsi kuweza kuweka mbegu mpya au mtazamo mpya juu ya ulimwengu wetu huu tulionao. Lakini zaidi ya yote nimevutaka kuandika waraka huu kutokana...
  13. Papaa Mobimba

    Bukoba: Mungu ashindwa kutokea Mahakamani kutoa ushahidi kwenye kesi inayomkabili Mchungaji Merchades Mugishagwe

    Ushahidi wa kesi ya jinai inayomkabili mchungaji Merchades Mugishagwe na mkewe Agripina Maganja, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi wilaya ya Bukoba umefungwa leo, baada ya shahidi namba tatu kwa upande wa washtakiwa aliyetajwa kuwa ni Mungu kutofika mahakamani hapo. Mchungaji Merchades Mugishagwe...
  14. Baba jayaron

    Namwambia Mungu

    Kwako Mungu baba mlezi wa dunia na Mbingu. Am broke Guy, dhaifu na mdhambi! Najua mengi mazuri umenitendea zaidi hata Sasa unanifanyia mengi mazuri nashkuru kwa yoote. Dua na Sala ni udhihirisho wa imani kwa matendo. Nami sitosita kuendelea kutimiza kwakua najua wewe ni msikivu na mwaminifu...
  15. Maleven

    Mtazamo, Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Serikali na Wananchi kuhusu Ugonjwa wa Corona - COVID-19

    Uzi huu ni mrefu. Ukichangia naomba ujikite Zaidi katika kutoa maoni yako lakini kukosoa kunaruhusiwa. Binafsi nadhani maamuzi haya yangechukuliwa mwezi mmoja uliopita pale Waziri Mkuu alipotangaza kuzifunga shule na vyuo, lakini haikuwa hivyo badala yake shule zilifungwa kisha hakukuwa na...
  16. matunduizi

    Viongozi wa dini tuwaeleweje: Mmekubali Mungu hawezi kuondoa Corona kwa maombi?

    Mnakuwa neutral sana. Wakati tunashambuliwa mara ya Kwanza, mlikaa kimya hadi Rais alipoingilia kati kazi zenu za maombi. Sasa Serikali inatumia Muda mwingi kueleza kisayansi jinsi Corona inavyoweza kuua watu na jinsi ya kuukwepa, lakini sisikii viongozi wa kidini wanavyotuaminisha uwezo wa...
  17. TheDreamer Thebeliever

    Endapo hii ndoto inatoka kwa Mungu, basi hatuna budi kuliombea Taifa. Hatari itatokea karibuni

    Habari wadau! Leo nimeota ndoto mbaya sana, nimeona watu waume kwa wake wakiwa wanalia, nimeona machozi na damu katika ndoto. Nimeona mji ukiwa umetulia tulii mara ghafla fujo ikatawala,taharuki ikaukumba mji wote. Ndoto yenyewe: Nimeota nimeenda kumtembelea jamaa yangu anayeishi maeneo ya...
  18. BAK

    Tumtangulize mbele Mwenyezi Mungu ~ Mbowe

  19. Baraka21

    Prof. Mkenda, Waziri bora na wa mfano

    Ni mnyenyekevu Msomi Hajikwezi Mchapakazi. Anayebisha asikilize kipindi cha dk.45 ITV na radio one leo hii.
Back
Top Bottom