mungu

  1. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Bishop Gwajima: Hamnitishi kitu, nilicho nacho nimepewa na Mungu

    "Mungu akikupa amekupa, Wanadamu wakikupa ukiwapingapinga kidogo wanasema tukunyang'anye tulichokupa, heri kupewa na Mungu kuliko kupewa na Wanadamu,mimi hunitishi kitu kwasababu kila nilichonacho nimepewa na Mungu" Mhe. Josephat Gwajima, mbunge wa Kawe kuptia CCM https://t.co/08EMrlwm6
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tusiougua Mafua, Homa na Vifua Kipindi hiki ni Sisi tu 'tuliobarikiwa' Damu ya Group O+, hivyo tujuane ili 'tumshukuru' Mwenyezi Mungu

    Pamoja na huu Unyonge ( Umasikini ) wangu mkubwa na wa Kutukuka nilionao GENTAMYCINE kitu pekee ambacho namshukuru Mwenyezi Mungu ( Allah ) ni Kwanza Kunilinda Kiafya kwa Kutougua hovyo na Kubwa zaidi 'Kunibariki' na Damu ya Group O+ ambayo ni Kinga tosha Kwangu ( Kwetu ) katika kupata...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tafadhali naomba kujua ni Maombi gani hapa Mwenyezi Mungu anayependa na Kuyabariki upesi?

    Je, 1. Yule anayesali kwa muda mfupi tu lakini akimaanisha huku akifupisha ( summarize ) matakwa yake kwa Mungu? 2. Yule anayesali Siku nzima na kwa Makelele mengi na akirudia rudia matakwa yake kwa Mungu? 3. Yule anayesali pale akijisikia tu ila Matendo yake kwa Wanadamu ni mema siku zote.
  4. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Polepole usikate tamaa kutetea rasilimali za taifa lako, watanzania wapo pamoja na wewe. Sauti ya umma ni sauti ya Mungu.

    Hakuna mtanzania anayefurahi kuona kuna mgao wa umeme, kuona mradi muhimu kama JNHP unachelewa kwa mizengwe, na kuona mradi kama bandari ya Bagamoyo unapigiwa debe huku kuna bandari ya Tanga na Dsm. Watanzania wenye nia njema na taifa lao wapo na wewe. Pambana na usikate tamaa mpaka mwisho...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Nafurahi kuona mahabusu ana amani moyoni, waliomweka mahabusu wanateseka. Tuzidi kumtumaini Mungu atupe viongozi SIYO watawala

    Mhe. Freeman Mbowe yupo mahabusu kwa miezi kadhaa sasa, siyo kwa sababu ametenda kosa ya jinai bali kwa sababu amekataa kutumika kuwakandamiza watanzania. Kukaa kwake ndani naamini ni Mpango wa Mungu kutufunulia aina ya watawala tukio pamoja na namna dola inavyoshughulika na wanachi wasio na...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole upepo wa kisasi unakuandama. Chunga sana, Mungu ndio anakulipa hivyo

    HUMPHREY POLEPOLE UPEPO WA KISASI UNAKUANDAMA. CHUNGA SANA. MUNGU ANAKULIPA. Kwa Mkono wa Robert Heriel Kisasi kisasi! Ni Jambo la hatari ambalo linaweza kuzuilika lakini ni ngumu kuzuilika. Miaka kadhaa iliyopita wakati wengine wakifungwa midomo wasiikosoe serikali Ndugu yangu POLEPOLE...
  7. THE BIG SHOW

    JamiiForums Tanzania Wanaoitwa wahuni Mungu alishawakataa. Kama nchi hatuwezi kurudia tena makosa yale -- never!

    Friends and Enemies, Let us pray,dear our heavenly father we thank you for this precious gift of life,we thank you that we are very alive and still breathing. Amen.. Katika maisha epuka sana kujiona kuwa upo juu ya wanadam wenzako na kuwadharau hususan unapopata mamlaka juu yao,au ukwasi kuzid...
  8. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Wafariji wa wanawake waliotendwa tunafanya kazi ya Mungu

    Ni wiki sasa Maryam ananipigia simu kila siku kila mara akidai anafarijika sana kuongea na mimi baada ya mpenzi wake wa muda mrefu kumtenda. Amekuwa akidai sauti yangu na maneno yangu yaliyojaa hekima na busara yanamtia faraja sana, yaani yanampunguzia machungu ya kutendwa. Basi kwa siku...
  9. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Kwa hili tumwogope Mungu, tuvue Unafiki. Tumwombe Msamaha Magufuli

    Suala la Corona. Mbona hatusikii Takwimu? Waliosema kuchanjwa iwe lazima kwa wote wapo wapi? Suala la kuvaa barakoa? Hata wapinzani hatuvai. Kipindi kile wakati yupo tulikuwa tumavaa ku prove him wrong. Now hayupo hatuvai. Chanjo zina expire bila watumiaji. Mikusanyiko ipo bila barakoa. Maisha...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Ngumu lakini ndivyo ilivyo...

    Jiulize swali hili kwanza Je, kwa wale wa mama na wadada waliowahi kupata matatizo ya uzazi na hatimae katika kuzunguka mwisshoni wakajikuta kwa waganga wa kienyeji ma kubahatika kupata watoto huko, je watoto hao kwa asilimia ngapi walitoka kwa MUNGU BABA muumbaji wetu? Ni dhahiri kuwa dini...
  11. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Fatuma Karume aambiwe sheria za Asili (za Mungu) hazipitwi na wakati

    FATUMA KARUME LAZIMA UJUE SHERIA ZA ASILI(ZA MUNGU) HAZIPITWI NA WAKATI. Kwa Mkono wa, Robert Heriel. Tahadhari; Andiko hili huenda likawa limetumia lugha Kali. Ikiwa unatatizo na Lugha Kali na zinakudhuru Kwa namna moja ama nyingine basi nakusihi ishia hapahapa kusoma. Na endapo umekaidi...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Watoto na Familia za Freeman Mbowe na washtakiwa wenzake Mwenyezi Mungu awatie nguvu sana!

    Kila siku huwa nianatafakari hali mnayoipitia. Hakika Mwenyezi Mungu awalinde, awaongoze na awatie nguvu sana ili msije jaa roho mbaya na zisizo na hofu ya Mungu kama za watesi wenu! Yote hii kwa sababu tu ya madaraka! Khaaaa!
  13. N

    JamiiForums Tanzania Eti "Siye tunaingia Mpaka Ndani Kukagua Mahabusu/Magereza" - Mwenyezi Mungu anawaona Mawakili wa Serikali

    Yaani Mawakili wa Serikali ni kujitutumua kama vile nchi hii ni ya kwao. Leo huyo Chakula sijui Chavula kawaambia Mawakili wa Utetezi baada ya kuonesha kuwa huwa wanaruhusiwa kwenda kuonana na wateja wao Magerezani kuwa eti wao wanaingia ndani na hata kukagua mahabusu lakini sio mawakili...
  14. Z

    JamiiForums Tanzania Mungu ameanza kujibu maombi yetu ya mvua

    Ahsante Mungu kwa kusikia na kujibu maombi yetu ya kuomba mvua. Nimeshuhudia mvua zikiendelea karibu maeneo yote ya kanda ya ziwa. Mkoa wa Mwanza, Geita, Shinyanga, Kigoma, Musoma, Sumbawanga n.k mvua inamwagika. Sijui maeneo mengine. Tuendelee kumuomba Mungu.
  15. Gibeath-Elohimu

    JamiiForums Tanzania Eee Mwenyezi Mungu utusamehe na kuturehemu

    Wasalamu Wana bodi natumai nyote mu wazima wa afya. Naomba kutanguliza hayo maombo hapo juu Kwa unyenyekevu kabisa mbele za MUNGU Mwenyezi Kwa taifa letu na watu wake. Maombi haya nayawasilisha mbele za MUNGU Kwa uchungu mkuu na toba,hii yote ni baada ya kufanya tathmini na kugundua kuwa...
  16. Dr am 4 real PhD

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Hakika nimeuona Ukuu wa Mungu

    .
  17. N

    JamiiForums Tanzania Kibatala and Team, Mwenyezi Mungu anawasimamia -- msikate tamaa kamwe!

    Mpaka sasa mmeshafanya kazi kubwa sana! Kesi za jinai huangalia Kanuni ya "Beyond reasonable doubt" na mpaka sasa meshatengeneza "doubts" kibao na hata Mh. Jaji anajua fika. Mtafikiri Jaji hayupo na ninyi lakini ukweli ninamwona kabisa yupo na ninyi na mnafanya kazi kubwa sana. Mwisho wa siku...
  18. Babe la mji

    JamiiForums Tanzania Mungu wa mbinguni uwalaani wote waliouza gesi ya Mtwara kitapeli

    Nakuomba Mungu awalaani hawa wahuni waliouza gesi yetu ya Mtwara kihuni maana walichokifanya ni kitendo cha mauaji makubwa kwa ustawi wa nchi yetu. Gesi ndo uchumi wa nchi ya Urusi, wao wametumia hii lasilimali kukuza uchumi wao na Ulaya mashariki wanamtegemea mrusu Kwa hii nishati. Ubabe wa...
  19. liwaya

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya kimataifa ya usuluhishi wa michezo ‘CAS’ imetupilia mbali Rufaa ya klabu ya Yanga, dhidi ya mchezaji Bernad Morrison

    Nasikia kitu kizito kimeshatua huko Ila imetoka kwa lugha ya malkia mwenye taarifa atuwekee kitu hapa ==== MAHAKAMA ya kimataifa ya usuluhishi wa michezo ‘CAS’ imetupilia mbali Rufaa ya klabu ya Yanga, dhidi ya mchezaji Bernad Morrison Raia wa Ghana na kumfanya mchezaji huyo kuwa halali...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Mniombee Mungu anipe mume anayeweza hudumia wake wawili bila shida

    Yaani as days go tamaa angu ya kua wake wawili inaongezeka. Familia angu watu wa dini mi mwenyewe wa kusali sana kikanisa najua italeta shida. Japo moyoni mwangu NatAman sana nkiolewa tuwe wawili yaani NatAman isivo kawaida. Mniombee Mungu anipe mume anaeweza hudumia wake wawili bila shida...
Back
Top Bottom