Ni kawaida kwa watu kutafuta hamasa kutoka kwa waliofanikiwa peke yao kwa sababu tunaamini ndio wanaijua njia sahihi ya mafanikio. Binafsi sijafanikiwa kiwango cha kutoa hamasa hiyo kwa wengine lakini nina Imani kuna mtu aliyekata tamaa kabisa atapata nguvu ya kupambana kwa kujua kuwa hayupo...
Ni lazima wajitokeze watubu na kuwaomba radhi waTanzania walio wengi kutokana na kadhia ya Uchaguzi mkuu uliopita,hakuna asiejua kilichotokea.
Watafanya mengi mazuri ya kufurahisha lakini yatakuwa hayana baraka ,hivi hela ya wizi inatenda Jema mbele ya Mwenyezi Mungu?
Wanatia huruma sana...
Mwenyezi Mungu ni mkuu na hapangiwi ila kwa akili zetu za kibinadamu magufuli haikupaswa kufa ili ayashuhudie haya akiwa hai ili ajifunze thamani ya utu na upendo.
Alipaswa kumuona Lissu akitabasamu na Mama Brussels.
Alipaswa kumuona Mbowe akipeana na mama mkono Ikulu.
Alipaswa kumuona Sabaya...
Mwezi wa March ni mwezi wa haki kwa taifa la Tanzania.
Mwezi March Mungu amekuwa akiwapa kicheko Watanzania wanaoonewa na kukandamizwa na udhalimu wa watawala dhalimu.
Mwezi March mwaka jana taifa lilijawa na milango wazi ya haki, usawa, na furaha kwa watu wengi.
Waliofungwa kwa kusingiziwa...
Mungu wa Israel,
Mungu Allah,
Mungu wa wabudha,
Miungu ya kale pale misri,
Na Mungu au Miungu yote ambayo inaabudiwa ikiwemo mizimu na isiyo mizimu, ikiwemo hai na isiyo hai.
Ukweli mchungu ni huu,pamoja na ufahamu wetu wote tulionao lakini bado hatufahamu kuhusu Mungu ama chanzo cha ulimwengu...
Kuna hoja ya kuthibitisha uwepo wa Mungu, hoja ambayo imeegemea zaidi katika kutumia vitabu vya dini kama uthibitisho
Ni hoja ambayo ime base kwenye imani ya kusema Mungu amejidhihirisha uwepo wake kwa binadamu kupitia uumbaji au maandiko matakatifu.
Watu wamekua waki experience hayo...
Tunapoanza Ibada ya Kwaresma tunapaswa kutambua ibada hii inalenga Toba. Tumesimama kizimbani kumfurahisha Mwanadamu tukamsau Mungu; tumetafsiri vibaya neno lake tukaacha kuwaeleza ukweli wanasiasa tukiamini wao Wana nguvu kuliko Mungu; tulikaa Kimya tukiamini ayatuhusu Hadi tulipobaini kwamba...
Kwenye post ya Muna love Instagram ambayo Muna love alikua anauliza kama akibadili dini na kuwa muislamu atapokelewa, msanii Alikiba alimjibu kwenye comments kwa kusema, "uislam ni dini uliyozaliwa nayo ila unapofanyiwa ubatizo Ndio unakua converted into Christian"
Hii inaonesha wazi jinsi gani...
Muigizaji wa Tanzania, Wema Sepetu amesema baada ya mapito ya muda mrefu amebadili mfumo wake wa maisha na kwamba anafanya dua na kumtegemea Mungu katika mambo yote.
Hii ndiyo kauli yake: “Mimi ni binti wa Kiislamu nafanya sana dua. Watu wanamuona Wema wa mtandaoni lakini binadamu tunakuwa na...
Salaam Wakuu,
Pamoja na mapungufu ya mambo ya vyama vya Siasa na Malalamiko ya Demokrasia, safari hii nafuu kuliko wakati ulopita.
Rais Samia anaiongoza Tanzania. Na hatoki kwani bado anautamani Urais na ziara za hapa na pale.
Watu wanaojipanga kumtoa kwenye kiti chake kwa karatasi...
Kwa kweli sijawahi kuwa mshabiki wa vita vyovyote vile kwa sababu siku zote anayeadhirika katika vita ni binadam wa chini kabisa
Watawala kazi yao ni kutoa matamko tu, vitani huwezi kuwaona.
Mungu awe pamoja na wote Ukraine/Russia na wengine watakaoadhirika na vita hii.
Vyombo vinavyosukia pia...
Kauli inayoonyesha kuwa rais wa JMT hana makuu na hawezi kuwa kiongozi wa kupenda makuu na kujiinua kama Mungu.
Rais Samia akataa tabia ya kutukuzwa.
===
Picha: Rais Samia Hassan Suluhu
Rais Samia Suluhu Hassan amesema hana tabia ya kutukuzwa wala kulinganishwa na Mungu na kwamba atajitahidi...
Ameyasema hayo leo katika Jubilee inayofanyika Mkoani Kagera, ambayo pia imehudhuriwa na Mh Rais
===
skofu wa Jimbo Katoliki la Rulenge-Ngara, Severine Niwemugizi amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kutokubali kulinganishwa na Mungu kwa namna yoyote ile.
Amesema hayo leo Jumanne Februari 22...
Kwa nini bei ya mafuta ni muhimu kwa uchumi wa dunia? Mtaalamu anaeleza
Mahitaji ya mafuta yalipungua mnamo 2020 wakati wa janga la Covid-19 (lockdown) kulisababisha bei kushuka chini ya sifuri mara ya kwanza katika historia kutokana na kuzorota kwa shughuli za kiuchumi.
Bei ya mafuta tangu...
Chama cha CUF kimekufa bila mwenyekiti wala kiongozi wao kunyanyaswa waziwazi, walishughulika na matumbo ya viongoz chama kikafa.
NCCR ilisambaratishwa bila viongozi kupitia magumu ya Chadema.
ACT inajijenga kwa kujimomonyoa kwasababu Toka mwanzo ilianzishwa kupambana na Chama alichotoka...
Mahakamani pamekuwa kama kwenye nyumba za Ibada; watu wakifika mahakamani lazima wasujudu Sijui huu utamaduni wa kimiungu ulitokana na Nani. Mahakimu na Majaji siyo watu wa kuabudiwa ni Watumishi wa Umma. Mahakama siyo nyumba ya ibada NDIYO maana kila mtu uapa Kwa Imani yake.
Mfano kwa Wakristo...
Miaka ya nyuma huko Zamani za miaka ya kupata uhuru mpaka miaka tisini ukiua mtu hana hatia ilikuwa lazima uwe chizi au ufe kifo kibaya sana.
Polisi alikuwa akibambikia mtu kesi lazima afukuzwe kazi au kupata ajali.
Ilikuwa ukidhulumu mali ya mtu lazima ufirisike na kuwa masikini.
Leo hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.