Mniombee Mungu anipe mume anayeweza hudumia wake wawili bila shida

Mar 6, 2015
70
221
Yaani as days go tamaa angu ya kua wake wawili inaongezeka.

Familia angu watu wa dini mi mwenyewe wa kusali sana kikanisa najua italeta shida. Japo moyoni mwangu NatAman sana nkiolewa tuwe wawili yaani NatAman isivo kawaida.

Mniombee Mungu anipe mume anaeweza hudumia wake wawili bila shida. Niwe tu bimkubwa and then aongeze mwingine. Nyie mpaka nayaota ayo maisha.

Dear future husband kokote uliko nakusubili na ukifika una ruhusa ya kuoa mwingine tuwe wawili tu
 
Yaani as days go tamaa angu ya kua wake wawili inaongezeka
Familia angu watu wa dini mi mwenyewe wa kusali sana kikanisa najua italeta shida
Japo moyoni mwangu NatAman sana nkiolewa tuwe wawili yaani NatAman isivo kawaida

Mniombee Mungu anipe mume anaeweza hudumia wake wawili bila shida
Niwe tu bimkubwa and then aongeze mwingine
Nyie mpaka nayaota ayo maisha

Dear future husband kokote uliko nakusubili na ukifika una ruhusa ya kuoa mwingine tuwe wawili tu
Nilidhani nimelewa mapema hivi....
 
Bible haijawahi kuongopa hata siku moja

Isa 4:1 SUV​

Na siku hiyo wanawake saba watamshika mtu mume mmoja wakisema, Tutakula chakula chetu, na kuvaa nguo zetu wenyewe, lakini tuitwe tu kwa jina lako; utuondolee aibu yetu.
 
Usijichoke mwanamke mwenzangu kiasi hicho loh, hzo ndoa zinawashinda had wenye dini zao
Kua wawili sio kuchoka
Baba angu mkubwa ana wake wawili I can say he's the happiest man on earth
Na wake zake wanapendana adi sio vzuri
Tofauti na the so called ndoa ya mke mmoja na mme mmoja
Ni the way we perceive things but my husband hatanioa peke angu tutakua wawili kanisa linisamehe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom