mtwara

Mtwara (Portuguese: Montewara) is the capital city of Mtwara Region in southeastern Tanzania. In the 1940s, it was planned and constructed as the export facility for the disastrous Tanganyika groundnut scheme, but was somewhat neglected when the scheme was abandoned in 1951. The city is spread out over a large area planned to accommodate up to 200,000 people. The present population is around 108000. As part of the development associated with the failed Tanganyika groundnut scheme, Mtwara features a deep-water port that can accommodate ocean-going vessels, and a range of large municipal buildings, including a post office. Recent improvements in the port made it possible for big container ships to berth there.

View More On Wikipedia.org
  1. Twasha

    JamiiForums Tanzania TANESCO Mtwara, walipeni vibarua posho zao kwa wakati

    Kilio cha vibarua kufanyishwa kazi ngumu badala yake kutolipwa kwa wakati posho zao. MKOJO WA MBWA) Wahusika fuatilieni then wasaidieni ndugu zetu.
  2. DOTHRAK

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba kujua gharama za maisha mkoa wa Mtwara

    Wakuu salam.. Niende moja kwa moja kwenye mada nimepangwa field kituo cha TMA(mamlaka ya hali ya hewa) Mtwara. Naomba msaada kwa mtu aliepo huku anipe maelezo ya vitu kama malazi, ili nijue najipanga vipi. Mfano bei ya vyumba karibu na eneo hilo, bei ya chakula etc. Natanguliza shukrani .
  3. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mpango: Wezi wa kutumia Bima ya Afya wakamatwe popote walipo

    MTWARA :- "WEZI WA KUTUMIA BIMA YA AFYA WAKAMATWE POPOTE PALE - MPANGO “Nasikia kuna mchezo kuna watu wanatumia bima za afya kuiba Mheshimiwa Naibu Waziri wa Afya hawa watu kamateni popote walipo wala msijali vyeo vyao awe ni daktari, natumaini hamtotumia maelekezo hayo kuone wetu wengine”-...
  4. Rufiji dam

    JamiiForums Tanzania Serikali kupitia wakuu wa mikoa wapiga marufuku mikusanyiko. Vipi Makamu wa Rais na ziara yake Mtwara?

    Sasa hivi ni matamko tu ya wakuu wa Mikoa kupinga mikusanyiko ya watu. Nimeshangazwa na taarifa kuwa Dkt. Mpango ana mpango wa kufanya ziara ya kiserikali Mtwara. Swali: Je, huko anaenda kuhutubia miti ya mikorosho ama anaenda kuhutumbia mkusanyiko wa watu. Delta namba 3 ipo.
  5. Peter Madukwa

    JamiiForums Tanzania MTWARA: Ujenzi wa hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini wafikia asilimia 98

    Hapa chini ni Muonekano wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini inayojengwa eneo la Mitengo, Mtwara ambayo ujenzi wake umefikia 98% kwa gharama ya TSH Bilioni 15.8 ambapo itawekwa jiwe la msingi na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango Julai 26, 2021...
  6. Paa

    JamiiForums Tanzania Basi gani zuri Dar - Mtwara?

    Mada tajwa yahusika Karibu kwa mapendekezo pamoja na sifa za basi husika, kama una na contact itakua poa zaidi Nasikia hizi basi huwa hawaanzii stendi (ubungo kwa zamani) wanaanzia mbagala. Je, ni kweli? Kwa siku hizi sijajua kama wanaanzia mbezi au bado ni mbagala. Naomba kujuzwa...
  7. DustBin

    JamiiForums Tanzania Mtwara: Wananchi watamkumbuka Byakanwa kwa kusimamia usafi wa fukwe

    Mimi niliwahi kusoma ktk moja ya shule za huko mkoani Mtwara. Hivyo naijua kiasi hasa pale Mtwara mjini. Enzi zile bahari na ufukwe ulikua mchafu sana. Yaani ilikua unaenda pale kivukoni (kivuko cha msanga mkuu) au huku beach unakuta matakataka tu yamezagaa. Pamoja nabupepo wote wa baharini...
  8. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan: Serikali kufanya mazungumzo kuendeleza mradi wa bandari ya Bagamoyo

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuwa serikali ipo katika mazungumzo ili kuweza kuendeleza mradi wa bandari ya Bagamoyo. Hayo ameyasema leo Tarehe 26, 06. 2021 wakati wa hotuba yake katika mkutano wa 12 wa baraza la biashara. Rais Samia amesema pia hiyo itakwenda sambamba na mradi wa Mchumchuma...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nahitaji sehemu nzuri ya kulala Masasi, Mtwara

    Nategemea kwenda Masasi, Mtwara mwezi September 2021 kwa wiki moja. Hii itakuwa mara ya kwanza kufika maeneo hayo ya kusini. Nitashukuru kwa mawazo ya members humu ni wapi maeneo mazuri ya kufikia (guest houses) ambayo ni salama na iko maeneo ya mjini, na yenye gharama za wastani...
  10. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai ameitaka Serikali iache kutoa visingizio kuwa malori ya Dangote yanaharibu barabara ya Mtwara

    Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai ameitaka Serikali iache kutoa visingizio ambavyo havina msingi kuwa malori ya kampuni ya Dangote yanaharibu barabara za mikoa ya Lindi na Mtwara. Amesema kinachotokea ni barabara hizo kujengwa chini ya kiwango, kwani ni jambo linalofahamika kwamba malori hayo...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Yanga SC yamtimua Nahodha wake Lamine Moro kambini Mtwara kwa Utovu wa Nidhamu ufuatao usiovumilika

    Klabu ya Yanga imemrudisha Dar es Salaam Nahodha wake Raia wa Ghana Lamine Moro kwa Utovu wa Nidhamu. Chanzo: SportsarenaTZ Hata hivyo Taarifa za ndani kabisa ambazo Krav Maga nimezipata baada ya Kuviulizia Vyanzo vyangu aminifu ndani ya Klabu ya Yanga vimesema Nahodha huyo ametimuliwa kwa...
  12. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Wenyeviti wa Vijiji wanusurika kushambuliwa na wananchi Mtwara

    Jeshi la polisi wilaya ya Mtwara limeombwa kuongeza ushirikiano na viongozi wa vijiji katika kuimarisha ulinzi kufuatia wenyeviti wa vijiji viwili kunusurika kushambuliwa na wananchi likiwemo tukio la mwenyekiti wa kijiji cha Mtemba kubomolewa nyumba yake wakati akimwokoa mtuhumiwa anayedaiwa...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Masasi, Mtwara: Watu 11 Wafikishwa Mahakamani kwa Uhujumu Uchumi na kuisababishia hasara Serikali ya zaidi ya Tsh. Milioni 13

    Na Hamisi Nasri, MASASI WATU 11 wa wakazi wa wilaya ya Masasi mkoani Mtwara wamefikishwa katika mahakama ya wilaya ya Masasi mkoani humo kwa kosa la uhujumu uchumi na kuisababishia hasara serikali ya zaidi ya sh.13 milioni. Washtakiwa hao walifikishwa mahakamani na ofisi ya taifa ya mashtaka...
  14. steve111

    JamiiForums Tanzania Urgently Sales people Needed (Mbeya, Mtwara and Arusha)

    Habarini Wakuu, Urgently Sales people Needed as specified Location above, Please forwards your CV to mkisidamalizi@gmail.com before 8/05/2021 . Please specify your currently location on your Mail. Company; Keeway Motor Tanzania Ltd. Location; Mbeya, Mtwara and Arusha. Position: Sales Personal
  15. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Senior Electrical Engineer at Dangote Cement Mtwara

    Description Key Duties and Responsibilities Job plan, job allocation & technical guidance to subordinates. Responsible for compliance of safety measures within work area. Responsible for housekeeping of his/her work area. Executes the maintenance and servicing of Circuit Breakers, Transformers...
  16. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Lindi na Mtwara zatahadharishwa kimbunga cha Jobo

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania(TMA) imetahadharisha mikoa ya mwambao wa Bahari ya Hindi hasa mikoa ya Lindi na Mtwara kuhusu kimbunga cha Jobo ambacho kipo kaskazini mwa Madagascar Kimbunga kitasababisha ongezeko la upepo na mawimbi katika bahari ya Hindi. TMA wanaendelea kufuatilia kuangalia...
  17. STUKA M1

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kununua korosho Kanda ya Kusini (Lindi & Mtwara)

    Habari za majukumu wakuu! Nadhani humu kuna watu wanaojihusisha na hii biashara ya kununua korosho(Almaarufu "Kangomba") kule mikoa ya Lindi & Mtwara. Naomba kwa wale wazoefu basi watoe uzoefu wao kuhusu hii business. •Wakati sahihi wa kuanza kununua mzigo. •Maeneo(vijiji) haswa...
  18. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania Bandari ya Bagamoyo Ijengwe au Isijengwe? Soma Makala hii Tujadili

    MIAKA sita iliyopita, Mradi wa Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo nchini Tanzania ulikuwa ukitajwa kama mmoja wa miradi ya kimkakati yenye fursa kubwa ya kuzimua uchumi wa taifa hilo. Midomoni kwa watumishi wa umma na viongozi wa serikali, neno bandari ya Bagamoyo halikutoka. Hata hivyo, miaka...
  19. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Polisi Mtwara wanamshikilia Hamida Said kwa kuvaa dera la Chadema katika kipindi cha maombolezo

    Huu Umoja na mshikamano viongozi wanaouimba majukwaani ndiyo huu? Uhuru wa nguo ya kuvaa ni haki ya binadamu, CCM mnataka wapinzani waishi kama second class citizens!
  20. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mtwara: Wanafunzi wasababisha tatizo la umeme kwa wilaya nne

    Wilaya nne za mkoa wa Mtwara zimekosa nishati ya umeme kwa takribani saa ishirini na nne na kupelekea baadhi ya shughuli za kiuchumi kusimama, baada wanafunzi wa kidato cha tatu na cha pili wa shule ya sekondari Mnyawi kuchezea laini kubwa ya umeme kwa kurusha miti na kufurahia mwanga pale nyaya...
Back
Top Bottom