Yanga SC yamtimua Nahodha wake Lamine Moro kambini Mtwara kwa Utovu wa Nidhamu ufuatao usiovumilika

Mightier

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
5,546
2,000
Klabu ya Yanga imemrudisha Dar es Salaam Nahodha wake Raia wa Ghana Lamine Moro kwa Utovu wa Nidhamu.

Chanzo: SportsarenaTZ

Hata hivyo Taarifa za ndani kabisa ambazo Krav Maga nimezipata baada ya Kuviulizia Vyanzo vyangu aminifu ndani ya Klabu ya Yanga vimesema Nahodha huyo ametimuliwa kwa haya Mambo makuu Mawili tu....

1. Deni lake la Pesa anazozidai mno za Mkataba wake baada ya Kusajili tena Yanga SC

2. Kauli yake ya Kuusema Uongozi wa Yanga SC kuwa hakukuwa na sababu ya Kutokucheza Mechi yao na Simba SC iliyoota mbawa.

Wakati Nahodha Lamine Moro akilianzisha hili tayari kuna Fukuto lingine baina ya Yanga SC Ceremonial Captain Mnyarwanda Haruna Niyonzima dhidi ya Kocha wake Nabi na Yeye kutaka Kuondoka Yanga SC baada ya Kuchoshwa na yanayoendelea.

Ni imani Kubwa Watangazaji na Wachambuzi wa Michezo wa Media Kubwa nchini za Clouds FM, Efm Radio, Wasafi FM na EA Radio kuanzia Jumatatu mtalizungumzia hili sana na kulipa Airtime ya Kutosha Kulijadili kama ambavyo huwa mnashadadia Mambo ya Simba SC ambayo hata hivyo mengi huwa ni ya Uwongo, Uzushi na Chuki.
 
Abby Newton

JF-Expert Member
Nov 12, 2017
1,207
2,000
Kwa umbea wabongo mmejaliwa. Hilo la kudai mshahara linaingiaje wakati kilichoelezwa ni ugomvi wa yeye na kocha?
Acha kutembea na akili ya Oscar Oscar
 
redio

JF-Expert Member
Aug 27, 2016
2,632

Sasa mlio waita takataka mnataka wawasaidie kupiga majungu? Nyie endeleeni na propaganda zenu jamaa wanaendelea na utakataka wao.
 
Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
10,840
2,000
Klabu ya Yanga imemrudisha Dar es Salaam Nahodha wake Raia wa Ghana Lamine Moro kwa Utovu wa Nidhamu.

Chanzo: SportsarenaTZ

Hata hivyo Taarifa za ndani kabisa ambazo Krav Maga nimezipata baada ya Kuviulizia Vyanzo vyangu aminifu ndani ya Klabu ya Yanga vimesema Nahodha huyo ametimuliwa kwa haya Mambo makuu Mawili tu....

1. Deni lake la Pesa anazozidai mno za Mkataba wake baada ya Kusajili tena Yanga SC

2. Kauli yake ya Kuusema Uongozi wa Yanga SC kuwa hakukuwa na sababu ya Kutokucheza Mechi yao na Simba SC iliyoota mbawa.

Wakati Nahodha Lamine Moro akilianzisha hili tayari kuna Fukuto lingine baina ya Yanga SC Ceremonial Captain Mnyarwanda Haruna Niyonzima dhidi ya Kocha wake Nabi na Yeye kutaka Kuondoka Yanga SC baada ya Kuchoshwa na yanayoendelea.

Ni imani Kubwa Watangazaji na Wachambuzi wa Michezo wa Media Kubwa nchini za Clouds FM, Efm Radio, Wasafi FM na EA Radio kuanzia Jumatatu mtalizungumzia hili sana na kulipa Airtime ya Kutosha Kulijadili kama ambavyo huwa mnashadadia Mambo ya Simba SC ambayo hata hivyo mengi huwa ni ya Uwongo, Uzushi na Chuki.
YANGA lazma wafungwe leo, ushahidi usion na shaka unaonyesha WACHEZAJI WENGI WALIVUNJA JUNGU JANA, wale waliokuwa wamefunga walifungulia na madem wa MTWARA, na hivyo walipiga show na hawana nguvu isipokuwa wakristo ambao wao hawakufunga .
its obvious NAMUNGO watashinda mechi.
 
Mightier

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
5,546
2,000
Kwa umbea wabongo mmejaliwa. Hilo la kudai mshahara linaingiaje wakati kilichoelezwa ni ugomvi wa yeye na kocha?
Acha kutembea na akili ya Oscar Oscar
Pumbavu nimeanza Kufuatilia Mpira wa Tanzania huyo Oscar Oscar wako akiwa bado Kijijini Kwao Kaliua na alipokuja kuwa Mwalimu wa Shule ya Msingi Wilayani Kinondoni.

Na sifuatilii tu Mpira bali naujua, nimeucheza, naufundisha na Michezo yote ya Soka la Tanzania naijua na huwa naicheza pia vile vile.

Huko Simba SC na Yanga SC nina Watu wangu Muhimu kuanzia Wachezaji na mpaka Watendaji wao ( Viongozi ) na nikitaka kuyajua ya huko Kwangu Krav Maga Mimi ni dakika chache tu.

Kwa Kukusaidia tu ni kwamba 75% ya Wachezaji wa Yanga SC hawajapenda Mechi yao ile na Simba SC kuota mbawa vile ila walilazimishwa Kukubaliana na Uongozi wao kwakuwa Viongozi wao walikuwa na Kisasi ( Bifu ) na Uongozi wa TFF wakiutuhumu kuwa ni sehemu ya Simba SC.

Una habari kuwa Beki Lamine Moro na Bakari Mwamnyeto ni Maadui sasa? Una habari kuwa Kaseke na Ntibazonkinza kutwa wakiwa Avic ni Kugombana na Kutukanana tu? Una habari Niyonzima na Carlinhos ni Maadui? Una habari Kipa Mnata na Shikalo hawaivi huku kila Mmoja akimtuhumu Kurogwa na Mwenzake?

Muda wowote kuanzia sasa waliokuwa Makocha Wao Mburundi Cedric Kaze na Juma Mwambusi wanaenda Kuishtaki Yanga SC kwa Madeni na Kukiuka Mikataba yao.

Kuhusu Udhamini wa Yanga SC hivi sasa kuna Bifu kubwa baina ya GSM ya Gharib na Taifa Gas ya Rostam. Wana Yanga SC wengi wanataka Rostam Aziz awe ndiyo Mo Dewji wao na siyo GSM ambao hawawaamini ila GSM kupitia Injinia Hersi wanatoa sana Pesa kwa Viongozi wa Matawi ili wawapigie Chapuo waaminike kwa wana Yanga SC wengi na baadae wakabidhiwe rasmi Timu waanze Kupiga Hela na Kujilipa kwa Pesa zao zote walizozitumia.

Kwa leo nakuacha na haya Kwanza oky?
 
pamba boy

Senior Member
Jun 26, 2013
154
250
Yanga kuna shida kubwa sana, viongozi wanafikiri tatizo ni bench la ufundi au uongozi! Siku wakigundua tatizo ni GSM kuingilia uongozi badala ya kuwa wafadhiri tu watakuta simba kishakuwa bingwa mara 10 mfululizo na unabii wa hajismanara utakuwa umetimia!
 
Bila bila

JF-Expert Member
Dec 20, 2016
14,068
2,000
Pumbavu nimeanza Kufuatilia Mpira wa Tanzania huyo Oscar Oscar wako akiwa bado Kijijini Kwao Kaliua na alipokuja kuwa Mwalimu wa Shule ya Msingi Wilayani Kinondoni.

Na sifuatilii tu Mpira bali naujua, nimeucheza, naufundisha na Michezo yote ya Soka la Tanzania naijua na huwa naicheza pia vile vile.

Huko Simba SC na Yanga SC nina Watu wangu Muhimu kuanzia Wachezaji na mpaka Watendaji wao ( Viongozi ) na nikitaka kuyajua ya huko Kwangu Krav Maga Mimi ni dakika chache tu.

Kwa Kukusaidia tu ni kwamba 75% ya Wachezaji wa Yanga SC hawajapenda Mechi yao ile na Simba SC kuota mbawa vile ila walilazimishwa Kukubaliana na Uongozi wao kwakuwa Viongozi wao walikuwa na Kisasi ( Bifu ) na Uongozi wa TFF wakiutuhumu kuwa ni sehemu ya Simba SC.

Una habari kuwa Beki Lamine Moro na Bakari Mwamnyeto ni Maadui sasa? Una habari kuwa Kaseke na Ntibazonkinza kutwa wakiwa Avic ni Kugombana na Kutukanana tu? Una habari Niyonzima na Carlinhos ni Maadui? Una habari Kipa Mnata na Shikalo hawaivi huku kila Mmoja akimtuhumu Kurogwa na Mwenzake?

Muda wowote kuanzia sasa waliokuwa Makocha Wao Mburundi Cedric Kaze na Juma Mwambusi wanaenda Kuishtaki Yanga SC kwa Madeni na Kukiuka Mikataba yao.

Kuhusu Udhamini wa Yanga SC hivi sasa kuna Bifu kubwa baina ya GSM ya Gharib na Taifa Gas ya Rostam. Wana Yanga SC wengi wanataka Rostam Aziz awe ndiyo Mo Dewji wao na siyo GSM ambao hawawaamini ila GSM kupitia Injinia Hersi wanatoa sana Pesa kwa Viongozi wa Matawi ili wawapigie Chapuo waaminike kwa wana Yanga SC wengi na baadae wakabidhiwe rasmi Timu waanze Kupiga Hela na Kujilipa kwa Pesa zao zote walizozitumia.

Kwa leo nakuacha na haya Kwanza oky?
Mbali ya haya yooote uliyoeleza lakini bado ni MMBEYAAAA!
 
Mightier

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
5,546
2,000
Kuna mtu alileta uzi kuhusu vurugu zilizotokea kwenye kambi ya yanga wakati wakicheza na simba na mojawapo ya habari ilihusu Lamine Moro kutaka kupigana na daktari wa timu akaishiwa kutukanwa sasa hivi mambo yameanza kuwa hadharani hata matakataka wakificha hizi habari
Kuna Moto mkubwa sana huko Kambini Yanga SC Ndugu. Nawasubiri Watangazaji Wanafiki akina Kitenge, Mkule, Njenge, Mkumba, Mhando na Goza Chuma bila kuwasahau Wachambuzi Wanafiki akina George Job, Shaffih Dauda na Jemedari Said nao niwasikie watasemaje katika hili na wasikazanie Kushadadia tu yaihusuyo Simba SC.
 
usiniguse

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
1,666
2,000
Klabu ya Yanga imemrudisha Dar es Salaam Nahodha wake Raia wa Ghana Lamine Moro kwa Utovu wa Nidhamu.

Chanzo: SportsarenaTZ

Hata hivyo Taarifa za ndani kabisa ambazo Krav Maga nimezipata baada ya Kuviulizia Vyanzo vyangu aminifu ndani ya Klabu ya Yanga vimesema Nahodha huyo ametimuliwa kwa haya Mambo makuu Mawili tu....

1. Deni lake la Pesa anazozidai mno za Mkataba wake baada ya Kusajili tena Yanga SC

2. Kauli yake ya Kuusema Uongozi wa Yanga SC kuwa hakukuwa na sababu ya Kutokucheza Mechi yao na Simba SC iliyoota mbawa.

Wakati Nahodha Lamine Moro akilianzisha hili tayari kuna Fukuto lingine baina ya Yanga SC Ceremonial Captain Mnyarwanda Haruna Niyonzima dhidi ya Kocha wake Nabi na Yeye kutaka Kuondoka Yanga SC baada ya Kuchoshwa na yanayoendelea.

Ni imani Kubwa Watangazaji na Wachambuzi wa Michezo wa Media Kubwa nchini za Clouds FM, Efm Radio, Wasafi FM na EA Radio kuanzia Jumatatu mtalizungumzia hili sana na kulipa Airtime ya Kutosha Kulijadili kama ambavyo huwa mnashadadia Mambo ya Simba SC ambayo hata hivyo mengi huwa ni ya Uwongo, Uzushi na Chuki.
POPOMA katika ubora wako
 
redio

JF-Expert Member
Aug 27, 2016
2,632
2,000
Mbumbumbu fc kwenye propaganda mpo chini Sana. Wenzenu wame waacha mbali katika eneo ilo.
 
usiniguse

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
1,666
2,000
Pumbavu nimeanza Kufuatilia Mpira wa Tanzania huyo Oscar Oscar wako akiwa bado Kijijini Kwao Kaliua na alipokuja kuwa Mwalimu wa Shule ya Msingi Wilayani Kinondoni.

Na sifuatilii tu Mpira bali naujua, nimeucheza, naufundisha na Michezo yote ya Soka la Tanzania naijua na huwa naicheza pia vile vile.

Huko Simba SC na Yanga SC nina Watu wangu Muhimu kuanzia Wachezaji na mpaka Watendaji wao ( Viongozi ) na nikitaka kuyajua ya huko Kwangu Krav Maga Mimi ni dakika chache tu.

Kwa Kukusaidia tu ni kwamba 75% ya Wachezaji wa Yanga SC hawajapenda Mechi yao ile na Simba SC kuota mbawa vile ila walilazimishwa Kukubaliana na Uongozi wao kwakuwa Viongozi wao walikuwa na Kisasi ( Bifu ) na Uongozi wa TFF wakiutuhumu kuwa ni sehemu ya Simba SC.

Una habari kuwa Beki Lamine Moro na Bakari Mwamnyeto ni Maadui sasa? Una habari kuwa Kaseke na Ntibazonkinza kutwa wakiwa Avic ni Kugombana na Kutukanana tu? Una habari Niyonzima na Carlinhos ni Maadui? Una habari Kipa Mnata na Shikalo hawaivi huku kila Mmoja akimtuhumu Kurogwa na Mwenzake?

Muda wowote kuanzia sasa waliokuwa Makocha Wao Mburundi Cedric Kaze na Juma Mwambusi wanaenda Kuishtaki Yanga SC kwa Madeni na Kukiuka Mikataba yao.

Kuhusu Udhamini wa Yanga SC hivi sasa kuna Bifu kubwa baina ya GSM ya Gharib na Taifa Gas ya Rostam. Wana Yanga SC wengi wanataka Rostam Aziz awe ndiyo Mo Dewji wao na siyo GSM ambao hawawaamini ila GSM kupitia Injinia Hersi wanatoa sana Pesa kwa Viongozi wa Matawi ili wawapigie Chapuo waaminike kwa wana Yanga SC wengi na baadae wakabidhiwe rasmi Timu waanze Kupiga Hela na Kujilipa kwa Pesa zao zote walizozitumia.

Kwa leo nakuacha na haya Kwanza oky?
Huyu ni gentamycine aka POPOMA
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom