Msaada: Nahitaji sehemu nzuri ya kulala Masasi, Mtwara

BobUpanga

JF-Expert Member
May 24, 2020
316
499
Nategemea kwenda Masasi, Mtwara mwezi September 2021 kwa wiki moja. Hii itakuwa mara ya kwanza kufika maeneo hayo ya kusini.

Nitashukuru kwa mawazo ya members humu ni wapi maeneo mazuri ya kufikia (guest houses) ambayo ni salama na iko maeneo ya mjini, na yenye gharama za wastani.

Natanguliza shukrani kwa recommendations.
 
ukifika mjini pale lodge zimejipanga mpaka TK unachagua unayotaka...
ila hizi booking utadhani unaenda cape verde mkuu
mbona mapema sana...

Sent using Jamii Forums mobile app
Shukran. Yes, safari ni September, lakini ni vizuri kupata recommendations kutoka kwa wazoefu kushauriwa mahali pa kufikia ili kujipanga safi. Trip ninayofanya ni ya masafa, inaanzia mbali, na inahitaji proper planning na kujua wapi pazuri na penye usalama pa kufikia, hasa ukizingatia itakuwa ni mara yangu ya kwanza kabisa mitaa ya huko kusini.
 
Nategemea kwenda Masasi, Mtwara mwezi September 2021 kwa wiki moja. Hii itakuwa mara ya kwanza kufika maeneo hayo ya kusini. Nitashukuru kwa mawazo ya members humu ni wapi maeneo mazuri ya kufikia (guest houses) ambayo ni salama na iko maeneo ya mjini, na yenye gharama za wastani. Natanguliza shukrani kwa recommendations.
Ni vizuri ukasema bajeti yako ya hotel ili nikushauri vizuri
 
Shukran. Yes, safari ni September, lakini ni vizuri kupata recommendations kutoka kwa wazoefu kushauriwa mahali pa kufikia ili kujipanga safi. Trip ninayofanya ni ya masafa, inaanzia mbali, na inahitaji proper planning na kujua wapi pazuri na penye usalama pa kufikia, hasa ukizingatia itakuwa ni mara yangu ya kwanza kabisa mitaa ya huko kusini.
Oh usijali mkuu wenyeji watakuelekeza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom