mtwara

Mtwara (Portuguese: Montewara) is the capital city of Mtwara Region in southeastern Tanzania. In the 1940s, it was planned and constructed as the export facility for the disastrous Tanganyika groundnut scheme, but was somewhat neglected when the scheme was abandoned in 1951. The city is spread out over a large area planned to accommodate up to 200,000 people. The present population is around 108000. As part of the development associated with the failed Tanganyika groundnut scheme, Mtwara features a deep-water port that can accommodate ocean-going vessels, and a range of large municipal buildings, including a post office. Recent improvements in the port made it possible for big container ships to berth there.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    Poleni wana Mtwara, poleni sana kusini. Hakuna anayezungumza kuhusu kupanda kwa ufaulu Mtwara

    Habarini wadau! Hakuna kitu nachokipenda dunia hii kama ukweli na haki, hata uwe unaniumiza kiasi gani lakini ukiwa ukweli tu basi roho yangu inabaki kuwa kwatu kabisa! Kuanzia muda fulani jana jioni, masaa machache baada ya matokeo ya kidato cha nne kutoka, habari iliyoenea na kusambaa kwa...
  2. J

    Baraza la Mitihani lakanusha Mtwara kushika nafasi ya mwisho matokeo kidato cha nne, yataka wananchi kupuuza taarifa hizo

    Baraza la mitihani nchini NECTA limekanusha taarifa zilizozagaa mitandaoni kwamba mkoa wa Mtwara umeshika nafasi ya mwisho matokeo ya kidato cha nne. Necta imewataka wananchi kupuuza taarifa hiyo kuwa shule 9 kati ya 10 zilizoshika nafasi za mwisho (umbwigi) zinatoka mkoani Mtwara. Source: ITV...
  3. Sky Eclat

    Matokeo mabovu ya elimu Mtwara, serikali msipotafuta ufumbuzi mnatengezeza bomu la baadae

    Ufanyike uchunguzi kwanini watoto wa Mtwara wana poor performance. Jibu likipatikana ifanyiwe mkakati wa kuinua elimu Mtwara. Kama ni kuanzisha madarasa ya Jumamosi nje ya syllabus. Serikali itenge fungu maalum la kuinua elimu Mtwara. Hali ikiachwa hivi, hii jamii itakua imetengwa sana...
  4. Analogia Malenga

    Mafuriko yabomoa nyumba 117 Mtwara

    Nyumba 117 zimebomoka katika Manispaa ya Mtwara Mikindani na watu kadhaa kukosa makazi huku nyumba 315 zimezingirwa maji kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha. Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Gelasius Byakanwa alisema jana kuwa watu hao ambao hawana makazi wamehifadhiwa kwa jamaa zao. Hata hivyo...
  5. J

    Gunia 1,515 za Korosho zenye thamani ya Tsh Milioni 160 zaibwa mkoani Mtwara

    Mkuu wa mkoa wa Mtwara amesema korosho yenye thamani ya sh milioni 160 imeibwa katika ghala la kampuni moja mkoani humo katika mazingira yaliyojaa utata. Upelelezi wa kina unaendelea. Chanzo: ITV habari! ====== Jeshi la Polisi mkoani Mtwara linawashikilia watuhumiwa 14 kwa makosa mawili...
  6. U

    Mtwara: Ujenzi wa Soko la Kisasa - Chuno kwa kutumia Fedha za Ndani

    Ujenzi wa Soko La Kisasa Lililopo Chuno Halmashauri Ya Mtwara Kwa Kutumia Fedha Za Ndani Wakazi wa Mtwara wanazidi kuona matokeo chanya yatokanayo na kuichagua Serikali ya CCM Matumizi sahihi ya Rasilimali zetu huleta matokeo Chanya Kwetu Sote Tuliahidi Tumetekeleza
  7. Red Giant

    Nasikia watu wa Mtwara mwanamke anaweza kumfukuza mwanaume nyumbani

    Bibi yangu alisomaga huko masasi miaka hiyo. Sasa alinisimulia kuwa wakiwa vijijini siku moja wakakuta mdingi amebeba vitu kama anahama. Walipomuuliza akawajibu kuwa mama yenu kanifukuza. Ni kweli hizi ishu zipo? Maana najua kuna ishu za matrinia na patrinia lakini nilikuwa naona kama hadithi tu.
  8. Return Of Undertaker

    Mahakama yazuia ombi la kampuni ya NSK kuifilisi Dangote Cement

    Tulidanganywa kuwa anafanya service ya week mbili kumbe anakusanya virago vyake aondoke uwekezaji bongo umemshinda. ===== Mahakama Kuu imezuia kufungwa kwa Kiwanda cha Dangote Cement Limited ambacho mdeni wake aliomba kifungwe. Kampuni ya NSK Oil and Gas Limited ilitaka Kiwanda cha Dangote...
  9. Jasusi Mbobezi

    Ombi kwa Mhe. Rais: Ikikupendeza mkoa wa Mtwara uongozwe na Mwanajeshi

    Kwanza nakupongeza kwa namna unavyojituma kuitumikia nchi kwa moyo wa dhati na nakupa pole kwa matusi unayolipwa na baadhi ya Watanzania. Hata Yesu alijitoa kwaajili ya wanadamu na hawakusita kumsulubisha kwa aibu, ndivyo tulivyo mzee wangu ila we fanya kazi, Mungu atakulipa. Nirudi kwenye...
  10. Tony254

    Mombasa port inahandle mizigo mara tisini ya Mtwara port

    Nimecheka sana wakati nimesoma tweet fulani inasherehekea Mtwara port kuongeza mara dufu kiwango cha mizigo inayohandle kutoka 106,000 tonnes hadi 273,000 tonnes. Jambo ambalo linachekesha sana ni kuwa wakati Mtwara port wanasherehekea kuhandle mizigo ya 273,000 tonnes kwa mwaka, Mombasa port...
  11. U

    Taarifa muhimu kwa Umma, Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP), Simon Sirro atakutana na mwenzake wa Msumbiji leo Mkoani Mtwara

    Wakuu hao wa Polisi Watakutana kwenye Kikao Kazi cha Ujirani Mwema baina ya Tanzania & Msumbiji Kikao hicho muhimu kitafanyika Mkoani Mtwara.
  12. AbaMukulu

    Ubalozi wa Marekani watoa tahadhari kusafiri kwenda Mtwara

    Kupitia akaunti yao ya tweeter marekani wametoa tahadhari kuhusu usalama katika mkoa wa Mtwara. NB Kwanini Serikali yetu ya Tanzania haijatoa tahadhari wakati serikali ya Marekani wanatoa tahadhari kuhusu usalama wetu? Kuna mengi tunafichwa. Na kwa mwenye kufikiria atatambua kwa nini Rais...
  13. M

    Yanayoendelea huko Mtwara: Je, Serikali ilifanyia kazi ushauri wa Marekani?

    Ingawa hatupewi taarifa za kueleweka lakini yanayoendelea Mtwara kwa uchache yanafahamika. Kuna uwezekano mkubwa kabisa Tayari kile kikundi cha ugaidi kilichokuwa kinasumbua kule Msumbiji Ni rasmi Kiko Tanzania. Watu wa Mtwara wanaweza kuthibitisha hili. Miezi kadhaa iliyopita Serikali ya...
  14. Roving Journalist

    GE2020 Mtwara: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

    Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Mtwara. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Mkoa wa Mwara una una jumla ya majimbo ya uchaguzi 10 ambayo ni: 1. Mtwara Mjini Hassan Seleman (CCM) -...
  15. Erythrocyte

    GE2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais Tundu Lissu kwenye Mikoa ya Pwani, Lindi na Mtwara

    Wakuu ikiwa hii ni wiki ya lala salama, bado yule mgombea anayependwa nchi nzima na anayekadiriwa kushinda kwa zaidi ya 70% Tundu Lissu anaendelea kuomba kura kwa wananchi wenzake, ambapo leo atafanya mikutano kadhaa kwenye maeneo mbali mbali ya mikoa ya Pwani, Mtwara na Lindi. Endelea kubaki...
  16. mugah di matheo

    GE2020 Majaliwa Kasimu: Tutaanza ujenzi wa SGR nyingine Mtwara

    Akizungumza Jana mjini Mtwara bwana majaliwa amedai kuwa "uchambuzi wa kimazingira umekamilika na punde tukiingia madarakani tutaanza ujenzi wa reli mpya toka bandari ya Mtwara hadi liganga na mchuchuma zaidi ya umbali wa 1000km" Chanzo China Radio international kiswahili (CRI kiswahili)...
  17. J

    Mchungaji Mastai: Amani tuliyonayo hailetwi na vyama vya siasa bali Mungu wa mbinguni, Mungu iponye Mtwara!

    Mchungaji Mastai wa KKKT Kimara amewataka Watanzania kuwaombea wagombea wa vyama vyote tunaowapenda na tusiowapenda ili wapate kibali mbele zake Mungu. Mastai amesema amani tuliyonayo haijaletwa na chama cha siasa bali imeletwa na Yesu Kristo mwenyewe. Kadhalika Mchungaji ameomba rehema kwa...
  18. Kididimo

    Mzee Kikwete leo Mbagala umenena vyema kuwa miradi mingi ya awamu hii uliiasisi wewe japo wa gesi ya Mtwara hujauongelea

    REA, Shule za Sekondari, Barabara za Lami nk ni baadhi ya miradi uliyoiasisi au kuiendeleza ulipokuwa Rais wetu. Mungu akubariki kwa kuwa mkweli. Tulifika mahala tukaaminishwa kwa nguvu za ajabu kuwa awamu zilizopita hazikufanya kitu! Nilimsikia mgombea mmoja akisema kuanzia wakoloni hadi...
  19. Kinambeu

    GE2020 Majimbo zaidi ya 11 ya mikoa ya Lindi na Mtwara hatarini kupotea

    Taarifa zilizo rasmi za kiutafiti katika mikoa ya LINDI na Mtwara yapo majimbo takriban 11 ambayo yapo hatarini kupotea. Majimbo hayo ni kama ifuatavyo, 1. Kilwa Kaskazini 2. Kilwa Kusini 3.Nachingwea 4. Lindi Mjini 5. Liawale Kwa upande wa Mkoa wa Mtwara ni, 1. Mtwara Mjini 2. Tandahimba 3...
  20. Wasomba

    Tetesi: Kuna jambo baya linaendelea Mtwara...

    Nimearifiwa na mmoja wa wahanga kuwa katika kijiji cha Kitaya kilichopo katika Halmashauri ya Nanyamba huko Mtwara kuna hali tete inaendelea huko. Kijiji kimevamiwa na watu wenye risasi za moto hali iliyopelekea Wananchi kukimbilia Porini. Mpaka asubuhi hii risasi zilikuwa zinaendelea...
Back
Top Bottom