MTWARA: Ujenzi wa hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini wafikia asilimia 98

Peter Madukwa

JF-Expert Member
Sep 20, 2012
3,135
2,470
Hapa chini ni Muonekano wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini inayojengwa eneo la Mitengo, Mtwara ambayo ujenzi wake umefikia 98% kwa gharama ya TSH Bilioni 15.8 ambapo itawekwa jiwe la msingi na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango Julai 26, 2021.

Hospitali inatarajiwa kuhudumia zaidi wananchi wa mikoa ya kanda ya kusini ikiwemo Mtwara, Lindi, Ruvuma na hata nchi Jirani ya Msumbiji.

Hospitali hii imejengwa eneo la ufukweni kabisa wa bahari ya Hindi na kuleta mwonekano mzuri na hali ya hewa inayovutia.

HONGERA SANA KWA SERIKALI YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KWA KUTULETEA MRADI HUU.

IMG_20210723_161331.jpg
IMG_20210723_161326.jpg
IMG_20210723_161323.jpg
IMG_20210723_161320.jpg
IMG_20210722_222532_066.jpg
 
At the expense ya kuwanyima watu haki zao, it is robbery! At the expense of Human rights violations!
Haki gani unataka huku hospital hizo zimejengwa ,mashule,miundombinu.
Mkuu haki za binadamu kwa nchi zilizoendelea hawana time Mana wameshapiga hatua.
Fuatilia walipotokea Kama hawakuua watu kinyama ndugu.
Unajua Russian Revolution ya 1917 akiwepo Stalin Kama Lida wao.
Hao uk wameua wangapi na kuwafanya watumwa pia.
Unaijua history ya USA.
China unaijua Mao ze dong Aliua wangapi.
Libya ya Gadafi pia. Sasa cheki Libya walivyo na haki za binadamu cheki kinachotokea.
Hata wewe kwako ukitaka maendeleo unakuwa siriasi anayekukwamisha unaniacha nyuma kwanza.

Mie huwa nashangaa Afrika na umasikini wote tunataka tuishi mfumo wa USA.

Haya bana labda mie Sina uelewa mkubwa Kama wewe
 
hamna shaka umeshakiri una uelewa finyu unataka .
 
Back
Top Bottom