Watanzania hutembea miendo mirefu kwenda kazini kwa miguu Marekani mtu katembeaa kilomita chache tu kwenda kazini kapewa gari na kuitwa mfano wa kuiga

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,910
51,904
Watanzania hutembea miendo mirefu kwenda kazini kwa miguu Marekani mtu katembeaa kilomita chache tu kwenda kazini kapewa gari na kuitwa mfano wa kuigwa na Kila mmarekani!! Toa maoni

Watanzania hutembea miendo mirefu kwenda kazini kwa miguu Marekani mtu katembeaa kilomita chache tu kwenda kazini kapewa gari na kuitwa mfano wa kuigwa na Kila mmarekani!! Toa maoni

Twenty miles ni kilometer karibia 30 hizo ,ni mtanzania gani anatembea kilometa hizo kwenda kazini? Lakini pia jua kutembea kwa miguu kwenye highways za U.S is an offence na ni hatari kuliko barabara za huku shithole ambazo hazijulikani ipi ni high way na ipi siyo
 
Twenty miles ni kilometer karinia 30 hizo ,ni mtanzania gani anatembea kilometa hizo kwenda kazini? Lakini pia juu kutembea kwa miguu kwenye highways za U.S is an offence na ni hatari kuliko barabara za huku shithole ambazo hazijulikani ipi ni high way na ipi siyo
Hakutembea zote alitembea kilometer chache tu akabebwa na gari ya polisi hadi kazini .Sikiliza hiyo clip vizuri usiangalie heading tu!!!
 
Wabongo wa huko hawajapewa tuzo? Wanasemaga walipambana na umande na kutembea umbali mrefu kwenda shule.Au hiyo tabia wameacha wakiwa huko
 
Hakutembea zote alitembea kilometer chache tu akabebwa na gari ya polisi hadi kazini .Sikiliza hiyo clip vizuri usiangalie heading tu!!!
Huku kwetu hata police mwenyewe akiwa yuko off-duty akikutana na mapongo wenzake akapewa lift kwny defender yao atagoma tu,anajua kubambikiwa msala ni muda wowote ule.
 
Watanzania hutembea miendo mirefu kwenda kazini kwa miguu Marekani mtu katembeaa kilomita chache tu kwenda kazini kapewa gari na kuitwa mfano wa kuigwa na Kila mmarekani!! Toa maoni

tunataka trillion 1.5 yetu mliyoiba majizi nyie!!!

Tukiipata tununue angalau passo moja moja wabongo na sisi tutambe sio nyie wezi wa lumumba tu
 
Watanzania hutembea miendo mirefu kwenda kazini kwa miguu Marekani mtu katembeaa kilomita chache tu kwenda kazini kapewa gari na kuitwa mfano wa kuigwa na Kila mmarekani!! Toa maoni

Huyu story yake ni tofauti kabisa yani. Huyu jamaa alitembea 20 miles siku ya kwanza kuanza kazi na alifanya hivyo kwakuwa yeye na mama yake walikuwa wanadaiwa kodi, kapata kazi siku ya kwenda kazini gari jaa yake imeharibika na hana nauli. Ikambidi aamke mapema aanze safari. Story yake ni exceptional
 
Back
Top Bottom