Vijana tutafute fedha kwa kila hali. Mtu mzima ukiwa maskini Jamii inakuona umerukwa na akili

Kiboko ya Jiwe

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
12,702
36,125
Fedha ndio habari ya mjini, vijana tutafute fedha kwa kila hali. Hata kuzamia machimbo, kufanya kazi kwa juhudi au hata kwa kujilipua kwenda ng'ambo.

Imagine Diamond ile sura yake na kamwili kake kadogo lakini anaitwa baby. Aliwahi kusema kuwa kwa siku anatongozwa mara dufu.
Kijana tafuta hela acha upumbavu wa kutunza/kufua nywele na kujipulizia marashi makali huku huna hela.

Tujitose mashambani na vimitaji kidogo kwaajili ya pembejeo tu huku nguvu tukitumia zile tulizopewa na Muumba. Kuna vijiji ukifika huko Liwale, Makete, Kishapu n. k mgeni unapewa ardhi bure kabisa.

Hata kwa kupaa samaki ukiwa na malengo unabana pesa unafanikiwa.

Wakati uko kwenye zero achana na mademu, piga nyeto siku ziende.
 
Back
Top Bottom