mtu

  1. J

    JamiiForums Tanzania Watu wasio na sifa humtumikia mtu na siyo nchi

    Habari wana jamvi! Nimekuwa nikifuatilia utendaji wa wateuliwa Wengi wa awamu ya tano nimebaini kwamba karibu wote hujitahidi sana kujua aliye wateua anataka nini na huishi katika hilo. Hawasomi standing orders wala Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwao wao kumfurahisha 'Kim Jong Un '...
  2. beth

    JamiiForums Tanzania Minneapolis: Vurugu zatawala katika siku ya pili ya maandamano kupinga kifo cha mtu mweusi alieyeuawa na Polisi

    Idara ya Haki ya Marekani imesema imeupa kipaumbele cha kwanza uchunguzi wa Polisi kuhusika na kifo cha George Floyd huku maandamano ya vurugu yakiingia siku ya 2 Idara hiyo imesema Waendesha Mashtaka Waandamizi na Wapelelezi kutoka FBI (Federal Bureau of Investigation) wanachunguza kuangalia...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Asiwadanganye mtu, CHADEMA ilionekana tishio sana na mambo inayokabili ni mkakati uliopangwa - hata NCCR Mageuzi wakipanda watakabili hayo hayo!

    Watu wengi wasichoelewa ni kwamba vurugu na mkanganyiko inaoukabili Chadema kwa sasa ilikuwa ni programu maalum iliyopangwa ili kuimaliza Chadema baada ya kuona nguvu za Chadema na kukubalika kwake kwa wananchi kulizidi kuongezeka. Mkakati uliopangwa ilikuwa kutumia kila mbinu ili ikiwezekana...
  4. lite boe

    JamiiForums Tanzania Jamani class tulieni kila mtu ajisomeeJibu kama "black bancher"

    Tuwaone mablack bancher sasa
  5. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Salamu na ushauri kutoka Afrika ya Kusini kwa dada aliyedhalilishwa kuwa aliiba mume wa mtu

    Dada aliyedhalilishwa kwa kupigwa ikisadikika kwa kufumaniwa na mme wa mtu amesema wakati wa shamlashamla aliibiwa shilingi laki tisa Mimi sham natuma salamu Kwanza pole kwako kwa kudhalilishwa mimi Kama mwanamke niliumia sana kwa kitendo ulichofanyiwa, hata Kama alikuwa hivyo haikuwa lazima...
  6. Maleven

    JamiiForums Tanzania Kitu gani cha ajabu umewahi kukiona uliposhika simu ya mtu?

    Kuna mzee wa heshima sana aliniomba nimsetie simu yake mambo fulani. Kwa bahati mbaya inahusisha gallery, nilichokuta ni video za porn sijaamini kabisa na wala sijamuonesha dalili yoyote kua nimeona hadi leo. Wa pili ni dada mmoja alipoteza simu yake hivyo akanipa email yake ni login ili nilog...
  7. Top gun maverick

    JamiiForums Tanzania Inawezekana mtu aliesoma sayansi advanced kusomea Sheria chuoni

    Habari wanajukwaa pia hongereni na sikukuu ya Eid Mubarak pia tuendeleee kuchukua tahadhari Kwa kunawa mikono na maji tiririka na sabuni pia usisahau kuvaa barakoa uendapo kwenye highly populated areas. Naenda straight to the point Mimi bado mwanafunzi wa mwaka wa pili chuo Fulani hapa nchini...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Nimeambiwa na mpangaji mwenzangu kuwa tunatakiwa kuchangia kila mmoja Tsh. 30,000/-

    Nimeambiwa na mpangaji mwenzangu kuwa tunatakiwa kuchangia kila mmoja sh.30000/- kila mmoja yaani umeme wa sh.60,000/- ndiyo unatosha kumaliza mwezi eti kwa kuwa kila mmoja ana TV screen na kwamba kwa Siku TV moja inatumia units mbili,naomba anayeujua ukweli aijuze tafadhali!
  9. D

    JamiiForums Tanzania Onions Suppliers from Tanzania

    Natokea Kenya nataka kuanza biashara ya vitunguu natafuta mtu atakaye nisaidia kupata supplier wa vitunguu kutoka Tanzania kwa bei nafuu. Asante
  10. GRAMAA

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda: Wananchi walioikimbia Dar warudi, Mauti hauikimbii. Siku ya Jumapili, kila mtu afanye fujo awezavyo na kupiga kelele na vigeregere!

    Akiwa katika ujenzi wa daraja la Tanzanite, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda amewataka wakazi wake kufanya fujo za hali ya juu ikiwepo kupiga kelele kwa nguvu zote na watu kwenda beach kama ishara ya kumpongeza Rais kwa kuishinda COVID 19. Pia Makonda amewataka watu wote waliokimbià...
  11. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Taboa: Nauli za mabasi zitaendana na uzito wa mtu

    Vitambi sasa basi, corona inawapenda wenye vitambi na kwenye usafiri wana nyanyasika.
  12. RAKI BIG

    JamiiForums Tanzania Mark Zuckerberg aja na kitu kizuri kinaitwa Facebook Shops. Hii itatufaa sana, kila mtu atakuwa huru na biashara yake jinsi ya kuuza

    I just announced that we're launching Facebook Shops today – the basic idea is that any small business can easily start a shop to sell things directly across our apps. If you visit someone's shop, you'll be able to see that small business's story, see their featured products, and buy them in our...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Mapambano ya Corona yatekwa na wanasiasa kila mtu sasa ni msemaji na hii yote imesababishwa na Chadema

    Sasa utaratibu wa taarifa na elimu kuhusu Corona ni kama vile umevurugika kwa sababu kila mwenye msuli anaongea na kutoa lawama kwa " mchawi" wake. Alianza KUB Mbowe na wabunge wa Chadema kwenda karantini ilhali bungeni kuko shwari na maisha yanaendelea. Sasa wamekuja wakuu wa mikoa huko...
  14. muksinihamisi

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu wa kufanyanae biashara

    Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 22 nimemaliza elimu ya secondary mwaka 2017 nashukuru nilipata ufaulu mzuri ila sikuweza kuchaguliwa hvyo kutokana na uchumi sikuweza kuendelea na masomo bali nikajiingiza kwenye ujasiliamali na kuweza kupata ujuzi wa kutengeneza bidhaa mbalimbali za viwandani...
  15. CONTROLA

    JamiiForums Tanzania Sio kila mfanyabiashara ni Mfanyabiashara,Chagua mtu sahihi wa kumshirikisha mawazo yako

    Unajua kuna watu huwa nawakutaga wanasema mimi mpira wa BONGO siangaliii kabisa,ukimuuliza kwanini haangaliii Atakupa sababu za ajabu ajabu tena za kijinga jinga zisizo hata na maana yeyote Huwa nawambia watu wa namna hiyo kuwa "nyie mpira sio fani yenu na wala haupo kwenye damu" hivyo...
  16. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu kamtibua mwenyekiti Makete huko

  17. Influenza

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Mpaluka Nyagali Mdude akamatwa na Heroine, apandishwa kizimbani akikabiliwa na mashtaka ya Uhujumu Uchumi

    Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mdude Nyagali, amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mbeya, kujibu shtaka linalomkabili ya uhujumu uchumi baada ya kukutwa na gramu 23.4 za dawa za kulevya aina ya Heroine. Pia soma: 1). Dar, Kinondoni: Yaliyojiri...
  18. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Nimedokezwa na mtu kuwa wapo wengi tu watajiunga NCCR Mageuzi

    Kwangu mimi ni habari njema sababu zinatia moyo. Maana wote wanaonyesha moyo wa uzalendo. Maana kipimo kidogo tu cha janga la dunia kimethibitisha Chadema haifai. Kama taifa tupo vitani lakini wao wamegeuka kuwa maadui. Nasikia kuna wawakilishi walishahama kimoyo moyo. Maana hawtaki kutangaza...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Dr Kigwangalla asema Afya ni swala binafsi kila mtu apambanie afya yake, atoa dawa yake ya majani inayotibu Corona

    Waziri wa maliasili na utalii mh Kigwangalla amesema maisha ya mtu na afya yake ni maswala binafsi hivyo kila binadamu ana wajibu wa kuipambania afya yake yeye mwenyewe. Kadhalika Dr Kigwangalla ameonyesha aina fulani ya majani ya mitishamba yanayotibu Corona na kuwataka wananchi wayachangamkie...
  20. vee15

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli mtu anaweza kupata kazi kupitia hizi recruitment agencies?

    Habari wanaJF Nilikuwa nauliza je kweli unaweza kuipata kazi unayoomba kupitia hizi recruitment agency kama empower, brighter monday, top talented recruit na zingine? Maana utapeli siku hizi umekuwa mwingi nyingine utasikia utoe hela kwanza. Kwa waliowahi kupata kupitia hizi naomba ushauri...
Back
Top Bottom