Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 2,044
- 3,644
Hapo vip!!
Kutokana na Arusha kupitia kwenye machafuko ya kisiasa kama maandamano,mauwaji na vurugu zisizokuwa na maslahi yeyote kwa mkoa wa Arusha na wananchi wa Arusha.
Ni wazi kwasasa mkoa huu unahitaji kiongozi atakae ponya madondo na majereha ya kiuchumi yaliyotokana na ghasia za kisiasa.
Huyu mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema,amekuwa ndio chanzo cha vurugu zote zilizotokea katika mkoa wa Arusha..kwasababu ni mtu ambaye aliitafuta ile nafasi kwa maslahi binafsi na sio kwa maslahi ya watu wa Arusha.
Kwa nini nasema Lema aliitafuta hii nafasi kwa maslahi binafsi...ni nyinyi ni mashahidi...huyu mtu tangia achaguliwe na wanaarusha mpaka sasa hatujawahi kusikia bungeni..akitoa hoja yenye hitaji ya maendeleo katika mkoa huu.
Mfano mrahisi tu ,Arusha ni mkoa ambao kutokana na hadhi yake inahitaji Internation airport..kama ilivyo Dar,mwanza,chato n.k nimeamua kutoa mfano huu kama mfano mdogo kabisa katika mahitaji ya mkoa wa Arusha,na sio lazima angelisemea hili bungeni,kuna mengine mengi.
Mbunge huyu sio mtu sahihi katika jimbo hili,mtu huyu utamuona akiwa mstari wa mbele akigomea jambo fulani bungeni na akiratibu maandamano..Yupo kiarakati zaidi
Arusha kwasasa inahitaji kiongozi mzalendo wa Arusha na anayesimama kwa maslahi wanaarusha.
Kiongozi kama Monoban ni hitaji la Arusha kwa sasa,Arusha inamuhitaji kiongozi mwenye utulivu wa akili,asiye na papara,mwenye hekima na busara katika kufanya maamuzi...mtu mzima fulani,asiyeendeshwa na mihemuko.
Naamini ndani ya CCM kuna viongozi wengi wazuri,nahata kama sio Monoban,mtatuletea mtu mwingine mwenye kuheshimu Arusha na mwenye uwezo wa kuongezea thamani fursa za Arusha.
Arusha poleni kwa mapito