Je, ni sahihi kuoa/kuolewa na mtu asiye wa kabila lako?

Grim Langdon

Senior Member
Dec 21, 2020
179
275
Habari za mchana,

Ni matumaini yangu mu wazima, nimekuwa nikijiuliza sana kuhusiana na swala hili la kuoa mtu wa kabila tofauti, Na nimeshindwa kufikia muafaka, nawasilisha kwenu nanyi mnisaidie mawazo.

Natanguliza shukrani, mchana mwema.
 
Tarehe 11 ifike tu shule zifunguliwe tupumzike,mwingine anauliza kunyoa mavoooouz,mwingine kuoa kabila lako,hivi shuleni mnawnda kusomea Nini?
Au mnasomea ujinga?
 
Du!hili swali ilibidi liulizwe mwaka 1947!sio leo 2021!
Kwenye kuoa usiangalie kabila,
 
Ndoa bora inatoka kwa Mungu na si kabila. Kuna watu wameoana ndugu na waliishia kuchinjana m. Kuna watu wameoana hata wa mataifa ya mbali na wanadumu vizuri.
 
Usije ukathubutu kuoa kabila lingine kwanza Mungu hapend, unataka uoe kabila la watu wngine ili ugundue nin? Komaa na kabila lako.
 
Ni sahihi mimi asili yangu mtu wa kusini lakini nimeoa mzaramu wa hapa dar na tunaendelea maisha kama kawaida miaka inakatika.
 
Back
Top Bottom