mtu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Anahitajika mtu wa kumhudumia mgonjwa Muhimbili kwa wiki 2 tu

    Habari wapendwa, Nina ndugu yangu alipata ajali na familia yae! Kwa ufupi tu anahitaji mtu wa kumsaidia mtoto wake wa umri wa miaka nane, amevunjika na hajitambui anahitaji mtu wa kumhudumia wa kiume kwa kipindi cha wiki mbili. Malipo ya siku ni elfu kumi. 10000/
  2. wa stendi

    JamiiForums Tanzania William Malecela (Le Mutuz) anaumwa, tumuombee

    W. J. Malecela Huyu ni mwanaJF mwenzetu muda kidogo hajaonekana huku yuko matatizoni kwa kuumwa tumkumbuke kwenye maombi. Kwa mujibu wa maelezo yake huko Instragram hapo pichani akiwa ametoka ICU na kesho atarudishwa wodini kwa upasuaji.(hajasema ni upasuaji wa nini. Pole sana Mungu akutangulie.
  3. mama D

    JamiiForums Tanzania Rais Samia autengua uteuzi wa Mkurugenzi mpya wa TPDC. Amrejesha Mataragio

    Zaidi soma: 1) Vigogo watano akiwemo Mataragio wa Shirika la Maendeleo ya Petroli (TPDC) wafikishwa Mahakamani kwa matumizi mabaya ya madaraka 2) Rais Magufuli aiagiza Wizara ya Nishati kumrejesha kazini mara moja aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa TPDC, Dkt. James Mataragio
  4. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania Tatizo si Rais kama mtu, bali tatizo ni "vetting system" kuwa corrupted & compromised

    Kila mtu makini naamini hushangaa na kutatizwa sana pale ambapo mamlaka ya uteuzi ya viongozi iwe Rais ama Waziri ama yeyote ili mradi ni mamlaka ya uteuzi inapofanya uteuzi muda huu, kisha in less than 24hrs inatengua uteuzi huo huo... Hili lilijitokeza mara kadhaa ktk utawala wa Rais Hayati...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, fukuza walioukuletea jina la mtu asiye na sifa ili umteue

    Mheshimiwa Raisi, kama hilo jina halikuwa pendekezo lako bali uliletewa na wasaidizi wako ili umteue kuwa Mkurugenzi Mkuu wa TPDC, nakushauri uwafukuze mara moja waliohusika kupendekeza kwako jina hilo Pili, ikiwezekana sitisha kufanya teuzi kipindi hiki na jipe muda wa kutosha kupitia na...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Nakaribisha Taasisi, Mashirika, Watu Mbalimbali na Mtu Binafsi Kufanya kazi na mimi.

    Taaluma yangu kwa upande mmoja ni Free Lance Photographer na base yangu ipo jijini Arusha. Nakaribisha watajwa hapo juu kwenye kichwa cha bandiko hili niweze kufanya kazi inayohusiana na career yangu. Nipo fully time kufanya kazi hii kwa ustadi na kutumia akili yangu ili upate kitu bora...
  7. Slowly

    JamiiForums Tanzania Bado kuna watu wanamlaumu Vanny boy Kwa Paula? Penzi la Kajala na Konde boy lipo Hoi

    Poleni na msiba wakuu, na poleni Kwa vifurushi pendwa Mambo ni mengi mda hautoshi, Paula Kajala amezidi kuuthibitishia Umma kuwa yeye ni mtu mzima na anafaa Kwa matumizi yoyote Yale .... Baada ya CEO wa Next Level Music anayetamba na albam yake ya sound of Africa ,Vanny boy mtu mbaya...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kama sheria za Tanzania zinaruhusu mtu kutumia gari yenye uwezo wa kuzuia risasi kupenya (bullet proof)

    Naomba kujua kama sheria za Tanzania zinaruhusu mtu kutumia gari yenye uwezo wa kuzuia risasi kupenya (bullet proof)
  9. B

    JamiiForums Tanzania Covid-19: Madagascar yajisajili kwenye mpango wa chanjo za bure, COVAX

    Mabibi na mabwana pana habari za kutia moyo sana tokea kwa wale magwiji wa tiba ambako mh. Kabudi aliwahi kufuata dawa ya kutibu Corona kwa niaba yetu. Hatimaye Madagascar rasmi wamejisajili leo kwenye ule mpango maarufu wa chanjo za bure COVAX...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mama malizia sasa kwa Kuzicheza vyema Kete zako Mbili za Draft za Oysterbay na Posta uwe Mshindi rasmi

    Nakuaminia sana Mama kwa jinsi unavyojua Kucheza vyema Mchezo wako wa Draft. Jana umesukuma Kete Moja nzuri sana nikakubali kuwa Draft unalijua na umeiva nalo. Sasa Mama bado Kete zako Mbili tu uzicheze vyema ili uibuke Mshindi wa Draft. Hiyo Kete Pinzani ya hapo Oysterbay iwahi na imalzie na...
  11. captain 21

    JamiiForums Tanzania Mtu kupenda kuitwa jina lake halisi, hii imekaaje??

    Binafsi nina mazoea tu ya urafiki wa kawaida na msichana mmoja mtaani kwetu ambae tayari ana mtoto mmoja, lakini mwanaume ambae yuko nae kwenye mahusiano kwa sasa yupo mkoa mwingine kikazi. Lakini kinachonishangaza huyu mdada hua hapendi nimuite kwa kutumia jina la mtoto wake mfano "mama...
  12. P

    JamiiForums Tanzania Hivi mtu hujaulizwa, hujasemeshwa, unapewa nafasi ya kusema machache kwenye hafla, halafu unaanza tu kujitetea mara hooh Mimi mbona mwema tu n.k...

    Nawauliza wanasaikolojia kwamba, Mtu yupo kwenye hafula Fulani hivi, anakaribishwa kusema machache, badala ya kuongelea mambo yanayohusu hafula hiyo, mtu anaanza kujitetea kusema, watu wanavumisha eti huyu simpendi, sjui hivi sijui vile Huyu mbona ni Rafiki yangu, tumetoka mbali, mbona Sisi...
  13. Y

    JamiiForums Tanzania Je, tabia njema hujengwa na malezi bora, dini au ni hulka asilia ya mtu?

    Salaam wakuu, Nimeuliza hili kwa sababu kuna watu wamepata malezi bora, pia wazazi wana dini lakini wao wanatabia mbovu but kuna wengine hawakupata malezi bora bt wana tabia njema sana. Je, kwa upande wako tabia njema inajengwa na malezi bora, dini au ni hulka asilia ya mtu?
  14. MPUNGA MMOJA

    JamiiForums Tanzania Ni Tanzania tu kama mtu ni mara yako ya kwanza kuingia katika kilimo hukopesheki kwenye taasisi za fedha

    Hoja hii inaweza kuwa ngumu kueleweka lakini maana yake ni hii; Ili Mkulima ukopesheke kwenye taasisi za benki unapaswa ukidhi haya: ~ Uwe na taarifa za mauzo ya mazao yako ~ Uwe na hati ya umiliki/kukodi mashamba ~ Uwe unalima mazao biashara Kwa anaeanza kilimo hapa anakwama maana hayo...
  15. General mex

    JamiiForums Tanzania Jumba bovu linaweza kumuangukia mtu yeyote

    Sio kila mtu anaweza kuwa na uelewa wa masuala yote, unaweza kufanya jambo kwa nje likaonekana zuri sana ila kwa ndani kumbe lina shida kubwa. Unaweza kufanya jambo lenye matokeo chanya au hasi kwa siku za usoni ila kumbe kwa siku za baadae likawa na matokeo tofauti. nitajikita kwenye kutoa...
  16. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania "Ndugu yako yuko wapi? Damu yake inanililia udongoni"

    "NDUGU YAKO YUKO WAPI? DAMU YAKE INANILILIA UDONGONI" Kwa Mkono wa, Robert Heriel. Leo katika pita pita zangu kwenye kitabu cha Biblia, nilianza kusoma kitabu cha mwanzo sura ya 1, 2, 3 nilipofika sura ya 4 nikashangaa akili yangu ikipata fikra mbalimbali. Nikashangaa nikimkumbuka Ben Saanane...
  17. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kigogo2014 lazima awe mtu wa maana

    KIGOGO HUWEZA KUWA MTU YEYOTE WA MAANA Kwa Mkono wa, Robert Heriel. Leo katika pitapita zangu mtandaoni niliona Tangazo linalotoa fursa kwa yeyote atakayewezesha kupatikana kwa mtu ajiitaye Kigogo2014 au Kigogo Kigogo basi angepatiwa donge nono. Kufikia hapo macho yakanitoka, si unajua tena...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Chadema: Mtu akishakufa hatupaswi kujadili mabaya yake bali tunajadili mazuri yake ili tuyaendeleze

    Mchungaji Msigwa ambaye amedai anaiwakilisha CHADEMA katika mazishi ya kijeshi ya hayati Magufuli kule Chato amesema mtu akifa kinachopaswa kujadiliwa ni mazuri aliyoyatenda ili yaendelexwe na kamwe si mabaya yake. Mtumishi wa Mungu mchungaji Msigwa amesema hayati Magufuli ana mengi mazuri...
  19. May Day

    JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana Mtu ukapendwa au ukakubalika na watu wote?

    Baada ya huu msiba nimejikuta najiuliza maswali mengi na hili ni moja wapo na bado sipati jibu sahihi. Kwamba pale unapozungukwa na kundi la Watu na upo mbele yao ukilazimika kuwapendeza miongoni mwao na huku ukijua kabisa wapo utakawaudhi nini ufanye kwa mtihani kama huu?
  20. B

    JamiiForums Tanzania Asikudanganye mtu kuwa Umaskini ni jambo la Kujivunia. Jaribu utajiri uone raha yake

    Ni kweli hamuwezi wote kuwa matajiri. Sisi wengine tunakuwa tuna wawakilisha ninyi ambao bado hamjafanikiwa kuzipata. Utajiri wako uwe wa furaha na amani. Usiibe, Usidhurumu, Usipate kwa Waganga. Pata mali halali. Maskini hana Raha mchana wala Usiku. Mchana Nzi usiku Mbu. Hamna jema maskini...
Back
Top Bottom