Katika utafutaji wa fedha kwa ajili ya kutekeleza miradi ya maendeleo (grant support for community projects), vyanzo mbalimbali huweza kutumika, vyanzo hivyo hujumuisha;
Taasisi Binafsi (Private Foundations) mfano; Foundation for Civil Society, Women Fund Tanzania n.k.
Taasisi za Kifamilia...
SALIM HIMIDI KATIKA PICHA KATIKA MAZUNGUMZO
Mtu anapoondokewa na wake akili inahangaika sana lakini mara mtu anasahau na maisha yanaendelea.
Hizi ni katika rehma za Allah vinginevyo maisha yetu yote duniani yangetawaliwa na huzuni kwa misiba inayotufika.
Picha ya mwanzo kushoto ni Salim...
Tundu Lissu aliwahi kusema taifa letu linakwenda pabaya. Alisema huko magerezani kuna watu wanaoza kwa makosa ambayo hawajayafanya. Mbaya zaidi kuna watu wanapigwa na kuteswa na vyombo vya dola bila kufikishwa mahakamani.
Tundu Lissu aliwekwa selo central Dar ea salaam hapo alikuta vijana...
Wanangu kuna mchongo nimepewa wa kihasibu ila sasa mie sijui chochote kuhusu Tally, Entry ni chache about 15-17 kila mwaka.
Kampuni ni ya supplies kwenye maofisi hasa mahospitali. Wana supply materials zaidi through local purchase na imports. Sasa inatakiwa kufile hesabu za miaka miwili 2019 na...
Habari wadau.
Mimi mshabiki wa yanga kiukweli mwenendo wa timu unanikwaza, hasa viongozi wakina Msolla na Mwakalebela.
Ninatamani kiongozi mwenye Magufuli mentality aje aiongoze Yanga.
Licha ya suala hili kubaki kuwa la muhanga na tukio lenyewe la kifo bado zipo tafiti za kitabibu zilizofanyika miaka ya karibuni zinazotoa majibu changamani ya wahanga yanayoweza angalau kudokeza kiasi juu ya nini kinachoendelea.
Upo utafiti ulifanywa kwa manusura wa shambulio la moyo 140...
Hapo vip!!
Nimejaribu kutafuta neno la kiswahili lakutumia badala ya hili ya kingereza la nimekumis...ni neno gani la kiswahi utaliweka liwe mbadala ya nimekumiss..
Unapopanga kukutana ana kwa ana na mtu ambaye mmefahamiana kupitia mtandao ni vyema ukachukua tahadhari kwa kuwa sio kila mtu ni mkweli kwa namna anavyojitamulisha kwako, umri, jinsia, na nia yake kwako.
Ikiwa ni lazima kukutana naye, fanya utafiti kuhusu mtu huyo ili ufahamu ukweli wake...
Naomba bunge litunge sheria ya kifungo cha maisha jela kwa mtu yeyote atakayekamatwa akizoa mafuta yanayomwagika kwenye lori lililopata ajali.
Sheria hii itapunguza madhara yanayotokana na malori ya mafuta yanapopata ajali.
Tusitumie nguvu nyingi sana, tutumie sheria tu hii itasaidia sana...
Nimekuwa nashangaa baadhi ya tabia za wafanya biashara akiona mtu amepigilia mavazi safi acha yale ya kupauka Pauka ya karume au lango lango basi anamchaji pesa ndefu ili amhudumie.
Watu wengine huwa hawapendi/hawajui kugalaliza akisha sikia bei ni kubwa huondoka na wewe mfanya bizinesi...
Nadharia ya kimarx inayozungumzia juu ya maendeleo ya kijamii, inasisitiza Zaidi juu ya mvutano wa kijamii, nadharia hii inaeleza kuwa ili jamii iendelee ni lazima kuwapo na mvutano kati ya pande mbili zinazokinzana, upande mmoja uwe na mawazo na mwingine uwe na mawazo mbadala kisha mawazo hayo...
Nakumbuka ilikuwa mwaka 2016, kuna binti nilijikuta naanzisha mahusiano na yeye lakini nilikuwa sina malengo nae ya ndoa ila yeye alikuwa na malengo na mimi ya ndoa, alikuwa anapigania sana nimuoe.
Ila mahusiano yetu hayakudumu binti aliniacha kwa sababu alikuwa anaona simtunzi, simpi hela...
Wakuu katika ujuzi wa uogeleaji ukiwa unataka kumuokoa mtu asiyejua kuogelea unatakiwa uniache Kwanza maji yamlegeze lasivo akikukamata hatokuachia mpaka mfe wote.maana we unakuwa tumaini la mwisho kwake.
Hali Ni mbaya kabisa kwa uchumi wa mmoja mmoja asubuhi hii nimepigwa mizinga 7 ya watu...
Kila mtu ni tajiri kama ataamua kuwa tajiri, Mungu alimuumba mwanadamu aishi milele ndani ya bustani ya edeni ila kuishi milele kunategemeana na Kama hatakutwa na kosa la kula tunda la mti uliokatazwa, hivyo ndivyo kwenye upande wa utajiri Kwamba wote tunayonafasi ya kuwa matajiri ila nafasi sio...
Unakuta basi mmegombana huko na mpenzi wako full kununiana hata simu hazipokelewi na ukifika home hamuongeleshani zaidi ya salam.
Sasa siku ya siku umeamua kuomba msamaha au mpenzi wako kakuomba msamaha, hapo mara nyingi mtakumbatiana na kifuatacho huwa ni tendo.
Yani hapo.....
Hebu tiririkeni
Hii tabia ilienea sana kwa watu wa pwani ambayo walirithi toka uarabuni.
1. Kama kweli kila mtoto huja na riziki yake kwanini kuna watoto wa mtaani?
2. Kwanini kuna watoto wanaoishi katika mazingira magumu?
Kaa kizembe fyatua watoto 10 huku ukiwa kibarua, umejenga kinyumba chako kama kituo cha...
Siamini kuwa hakuna pengo lisilozibika. Ni kudanganyana kumpamba mtu lakini ukweli ni kuwa kila pengo linazibika.
Ukiondoka anakuja mwingine, maisha yanaendelea.
Maalim Seif alikuwa ndio nguzo ya CUF na alipohama CUF nayo ikawa imekufa " kimsingi " Maalimu Seif akawa nguzo ya ACT Wazalendo ambayo wabunge wake wote ni wafuasi binafsi wa Seif. Kufariki kwa Maalim Seif kunaweza kuwa ndio mwanzo wa kifo cha ACT Wazalendo pia.
Lakini naamini Mwamba Zitto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.