Hivi mtu hujaulizwa, hujasemeshwa, unapewa nafasi ya kusema machache kwenye hafla, halafu unaanza tu kujitetea mara hooh Mimi mbona mwema tu n.k...

Pslmp

JF-Expert Member
Mar 18, 2021
1,622
2,459
Nawauliza wanasaikolojia kwamba, Mtu yupo kwenye hafula Fulani hivi, anakaribishwa kusema machache, badala ya kuongelea mambo yanayohusu hafula hiyo, mtu anaanza kujitetea kusema, watu wanavumisha eti huyu simpendi, sjui hivi sijui vile

Huyu mbona ni Rafiki yangu, tumetoka mbali, mbona Sisi tunatembeleana, tumepeana mashamba na hata viwanja tumepeana

Mtu anayasema hayo, Wakati hajaulizwa swali la Aina hiyo, hii kitu huwa INA maana gani??
 
Hata mimi nilijiuliza...

ila kama ni kweli damu hazipoteagi kirahisi...
 
Poleni sana, naona sindano ziliwaingia, bado mnaugulia maumivu!

Tena mna bahati! , angehoji alipo Ben Saanane, Azory Gwanda, Simon Kanguye, aliyempiga Tundu Lissu risasi ndo mgejua mnajua au hamjui
Mkuu, nilipokuona wewe hapa, nikadhani umekuja na jibu la hii, lakini naona umeamua ubaki nalo, haya bhana
 
Nawauliza wanasaikolojia kwamba, Mtu yupo kwenye hafula Fulani hivi, anakaribishwa kusema machache, badala ya kuongelea mambo yanayohusu hafula hiyo, mtu anaanza kujitetea kusema, watu wanavumisha eti huyu simpendi, sjui hivi sijui vile

Huyu mbona ni Rafiki yangu, tumetoka mbali, mbona Sisi tunatembeleana, tumepeana mashamba na hata viwanja tumepeana

Mtu anayasema hayo, Wakati hajaulizwa swali la Aina hiyo, hii kitu huwa INA maana gani??
Nilimshangaa sana yule mtu

Mara o nitumeni, msiponiita na kunituma naendelea na mambo yangu. Anajiona yy ndiyo anafaa sana kutumwa!!

Aliamua kujitetea kiana. Lakini wenye akili tulimgundua unafiki wake. Ni miongoni mwa kipande cha mti 24
 
Poleni sana, naona sindano ziliwaingia, bado mnaugulia maumivu!

Tena mna bahati! , angehoji alipo Ben Saanane, Azory Gwanda, Simon Kanguye, aliyempiga Tundu Lissu risasi ndo mgejua mnajua au hamjui
Angehoji pia Nani aliyemtoa kucha Dr.ulimboka siyo?

Mnaupeo finyu Sana na bifu za kijinga kwa mtu aliyeamua kufanyia kazi mloyasema na kuyahitaji yafanywe miaka hyo
 
Nilimshangaa sana yule mtu

Mara o nitumeni, msiponiita na kunituma naendelea na mambo yangu. Anajiona yy ndiyo anafaa sana kutumwa!!

Aliamua kujitetea kiana. Lakini wenye akili tulimgundua unafiki wake. Ni miongoni mwa kipande cha mti 24
Kila mwenye akili timamu alishangaa Sana,hivi kwa nn bado anapenda popularity wakati aliharibu vya kutoshaaa
 
Eti watoto wetu wamekuwa pamoja
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
Mkuu,kumbe na wewe hukuelewa kama Mimi eeeh!!🚶🚶
 
Poleni sana, naona sindano ziliwaingia, bado mnaugulia maumivu!

Tena mna bahati! , angehoji alipo Ben Saanane, Azory Gwanda, Simon Kanguye, aliyempiga Tundu Lissu risasi ndo mgejua mnajua au hamjui
Pia angehoji alielipua bomu na kuua mwandishi wa chanel ten kule iringa, na pia angehoji alielipua bomu kwenye mkutano wa chadema kule arusha, na pia angehoji alie ng'oa kucha za ulimboka
 
Back
Top Bottom