Mama malizia sasa kwa Kuzicheza vyema Kete zako Mbili za Draft za Oysterbay na Posta uwe Mshindi rasmi

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
Nakuaminia sana Mama kwa jinsi unavyojua Kucheza vyema Mchezo wako wa Draft.

Jana umesukuma Kete Moja nzuri sana nikakubali kuwa Draft unalijua na umeiva nalo.

Sasa Mama bado Kete zako Mbili tu uzicheze vyema ili uibuke Mshindi wa Draft.

Hiyo Kete Pinzani ya hapo Oysterbay iwahi na imalzie na ile Kete Tata pia ya Posta.
 
Back
Top Bottom