Bado kuna watu wanamlaumu Vanny boy Kwa Paula? Penzi la Kajala na Konde boy lipo Hoi

Slowly

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
5,379
2,000
Poleni na msiba wakuu, na poleni Kwa vifurushi pendwa

Mambo ni mengi mda hautoshi, Paula Kajala amezidi kuuthibitishia Umma kuwa yeye ni mtu mzima na anafaa Kwa matumizi yoyote Yale .... Baada ya CEO wa Next Level Music anayetamba na albam yake ya sound of Africa ,Vanny boy mtu mbaya kumtafuna ipasavyo mtoto Paula , maneno yalikuwa mengi kwa watanzania wapenda maadili huku wengi wakimtuhumu kwa kumtafuna mwanafunzi ....

Hata hvyo kupitia accnt yake ya Instagram mtoto Paula amekanusha vikali kwa kutumia lugha ya picha , baada ya kupost picha akiwa nusu uchi kuudhihirishia umma kuwa yeye sasa anafaa kwa matumizi.

IMG_20210403_121431.jpg


Katika hatua nyingine penzi la Kajala na Harmonize limeonekana kuweweseka baada ya Kajala kufuta picha zote za harmonize kwenye accnt yake ya Instagram huku pia akimu-unfollow nyota huyo wa bongo fleva Hali inayoleta sintofahamu Kwa wanazengo , huku wengi wakitabiri hatua hyo ya Kajala kama ishara ya kuvunjika Kwa penzi Lao....

Pengine ni Kiki , wacha tuone
 

souljar

JF-Expert Member
Feb 16, 2021
390
1,000
Kajala kakosea sana kumexposure mtoto wake kwenye ulimwengu wa usuper staa yuko kwenye Heat age na watatafuna sana issue ni kwa sababu yupo kwenye spot light kila mtu atajua mpaka afike 30s kilometers zitakuwa za kuzunguka bala la africa nzima. Ushauri amtoe haraka sana Tanzania ampeleke nchi za wenzetu especially scanavia countries itawezekana akapata mtu wa kutulia naye uko kuliko izi fedhea za kila siku head line.
 

Evelyn Salt

JF-Expert Member
Jan 5, 2012
51,639
2,000
Sema huenda ulienda likizo mara moja ....watu tulimtetea humu Vannboy mpak page ya sitini na kitu huko .... Watu mpak tukaitwa ni chawa wa Rayvanny , Ila sasa ndo wanaona Hali halisi ya huyo mtoto
Yani Ray hana kosa lolote mi sioni kosa hapo ajilie tu, sema anakula pazuri...anafaidi
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom