Hivi inawezekana Mtu ukapendwa au ukakubalika na watu wote?

May Day

JF-Expert Member
May 18, 2018
6,162
8,820
Baada ya huu msiba nimejikuta najiuliza maswali mengi na hili ni moja wapo na bado sipati jibu sahihi.

Kwamba pale unapozungukwa na kundi la Watu na upo mbele yao ukilazimika kuwapendeza miongoni mwao na huku ukijua kabisa wapo utakawaudhi nini ufanye kwa mtihani kama huu?

 
Yesu tu na kuwahangaikia watu wote tena kwa unyenyekevu bado kuna waliomchukia na wakashangilia kifo chake.
Yesu hakua most mnyenyekevu person on earth. Yesu alikua mtii ila sio mnyenyekevu kama unataka kuamini Kasome baadhi ya majibu ya mwendokasi aliyokua nayo kulingana na mktadha husika.

Watu wanaoshikilia rekodi ya kua wanynyekevu zaidi ni Siddhartha Gautama "Budha" na Henock, ila bado wote hao walichukiwa
 
Yesu tu na kuwahangaikia watu wote tena kwa unyenyekevu bado kuna waliomchukia na wakashangilia kifo chake.
Kwa sisi tunaofuatilia 'njia ya msalaba' kuna Jamaa walikuwa wanamchapa Yesu na mijeledi utasema hawakuwahi kabisa kumfahamu.
 
Back
Top Bottom