Ni kweli hamuwezi wote kuwa matajiri. Sisi wengine tunakuwa tuna wawakilisha ninyi ambao bado hamjafanikiwa kuzipata.
Utajiri wako uwe wa furaha na amani. Usiibe, Usidhurumu, Usipate kwa Waganga. Pata mali halali. Maskini hana Raha mchana wala Usiku.
Mchana Nzi usiku Mbu. Hamna jema maskini...
Habarini wanajamvi!
Kwa wale waliguswa na msiba poleni.
Niliwachoshe naomba nieleweshwe kwa swali langu hili.
Kwenye pombe hizi kali (Konyagi, K Vant, Vodka nk) kuna utofauti wa ujazo lakini kiwango cha kilevi kinakuwa sawa lakini zinatofautiana ulewaji kwa mtumiaji.
Mtumiaji akinywa...
Kuaga mwili wa marehemu ni kumchoresha marehemu. Mwili wa marehemu una stahili kusitiriwa na sio kuwekwa hadharani kila mtu auone.
Si kila mtu anayeenda kuaga mwili wa marehemu msibani anafanya hivyo kwa sababu alikuwa anampenda sana marehemu. Wapo watu...
Mchungaji wa Kanisa la KKKT Kimara, Dr Mastai amesema yeye alimuunga mkono hayati Magufuli kuanzia siku ya kwanza aliyoingia madarakani hadi Jumapili iliyopita alipomfanyia maombezi maalumu Kanisani.
Mchungaji Mastai amesema hata sasa anamuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan lakini akitugeuka...
1. Ni Meja Jenerali wa JWTZ.
2. Wakati Rais Magufuli anaapishwa mwaka jana alikuwa pembeni na full gear ya military uniform. (Je pale alikuwa Kama Nani?)
3.Ni Katibu Mkuu Wizara Ya Mambo Ya Nje.
4.Aliwahi kuwa mwenyekiti kikao cha SADC katika capacity kubwa tu via zoom
5.Jana msibani alikuwa...
Coma ni ile hatua ya mwisho ya kupepea uhai wa mgonjwa aliye kufa awali (Collecting life from early dead)!
Hizi ni harakati za kitabibu za kuendeleza uhai uliotwaliwa kwa kutumia mitambo maalum ya kupumulia ( oxygen ventilator's)
Ifahamike mgonjwa anapofariki awali, baadhi ya viungo kama...
Kazi ya Urais ni majukumu mazito. Katiba inaposema sifa ni Mtanzania mwenye afya njema hiki ni kipengele muhimu sana. Uchovu wa kazi unaweza kupelekea kutokuwa na muda wa kuangalia afya yako binafsi na kusababisha madhara makubwa ya afya.
Ningeshauri wagombea wawe wanafanyiwa upimaji wa afya...
Usiruhusu mtu yeyote avunje roho yako. Lazima usimame kwa miguu yako mwenyewe na ujisimamie mwenyewe.
Kuna wale ambao wangekupa chochote kukuona unashindwa, lakini lazima usiwape nafasi hiyo kamwe. Shikilia kichwa chako juu, tabasamu na simama mwenyewe.
Nimejaribu kukusanya ushahidi wa mdomo (word of mouth) toka kwa watu wengi sana kuhusu homa za mafua walizopata watu kipindi cha mwaka jana mwishoni na mwaka huu mwanzoni, ambapo hata mimi niliumwa, ukiangalia dalili walizopata na jinsi mafua yake yalivyokuja katika timing ile ile ya mlipuko wa...
Mfano mtu una credit transfer benki nyingi zina tabia ya kuchelewa kupitisha hiyo credit tatizo nini? Haya matatizo yako hasa kwenye mabenki madogo siyo makubwa yenye majina makubwa.
BOT fuatilieni hizi benki ndogo sysyem zao hazi update haraka. Transaction yaweza hana muda mrefu na kuleta...
Huu msemo wa Mwalimu wa ukianza kula nyama ya mtu huwezi kuacha, iko sahihi kabisa.
Ukianza kula wake za watu huwezi kuacha.
Nakumbuka miaka kadhaa iliyopita nilianza kula mke wa binamu yangu, miaka hiyo nilikua nasoma chuo, likizo ndogo ndogo nikawa naenda pale kwa binamu yangu nikaishia...
Wadau naomba msaada Je, kuna mkulungwa humu anaifahamu Taasisi inaitwa NURU ARTS ORGANIZATION, Inahusiana na kutoa elimu ya ujasiriamali bure, ipo KAWE, kwa watu wenye mazingira magumu.
Naomba msaada kuna ndugu yangu anatafuta kazi, kuna malalamiko nimeyasikia nataka kujua kama ni taasisi ya...
Katika hali inayoashiria kuwa ni 'dongo' kwa nchi zinazopuuzia kujilinda na Corona, Rais Kenyatta amesema kama taifa waliamua kunusuru uhai wa raia badala ya uchumi kwa sababu unaweza kufufua uchumi lakini huwezi kufufua mtu aliyekufa. Ndiyo sababu walichukua hatua hizo tangu mwanzo kupambana na...
Kuna habari inatembea sasa ikimwonesha mvuvi anayedaiwa kuvua samaki mwenye thamani ya pesa za Tanzania billion 6 na anadaiwa baada ya kumvua alimla na wanakijiji wenzie. Kwa haraka haraka hakuna anayeweza kumlaumu jamaa maana angejuaje kama thamani yake ndio hiyo.
Ila swali nikuwa huyu jamaa...
Iwapo shinikizo la damu liko juu sana(zaidi ya 200/120mm /Hg)
Shinikizo la damu la juu sana hata baada ya matibabu kuzingatiwa
Kushindwa kuona kwa sababu ya shinikizo la damu
Kuwepo kwa protini kwenye mkojo
Mgonjwa wa shinikizo la damu kuonesha dalili kama vile kuvimba, kukosa hamu ya...
Katika utafutaji wa fedha kwa ajili ya kutekeleza miradi ya maendeleo (grant support for community projects), vyanzo mbalimbali huweza kutumika, vyanzo hivyo hujumuisha;
Taasisi Binafsi (Private Foundations) mfano; Foundation for Civil Society, Women Fund Tanzania n.k.
Taasisi za Kifamilia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.