mtu

  1. N

    JamiiForums Tanzania Je, mtu mwenye kisukari hatakiwi kupata chanjo? Wataalamu tumjibu Askofu Gwajima

    Kwa masikio yangu bila kusimuliwa na mtu nimemsikia askofu Gwajima amesema, watu wenye magonjwa ya kisukali, Presha Ukimwi hawapaswi kupata chanjo ya covid maana itawaathiri sana na inaweza kuwaua, mimi sikulijua hili isipokua nilijua kwamba mtu aliyekwishaambukizwa Corona ndiye hapaswi...
  2. Mwene chungu

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Vengu-mchekeshaji wa comedy

    Salute. Kuna wakati huwa najiuliza sana juu ya huyu jamaa, aliwahi kuwa marufu sana hadi mwishoni mwa miaka ya 2011 kama sijakosea. Ni muda sasa sijawahi kusikia anaendeleaje. Sijui nani anataarifa zake jamani. Mashabiki tunataka kujua. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Mafuta ya betri ni dawa sahihi ya kutibu mdudu wa kidole?

    HaBari wadau..! Husika na kichwa cha habari hapo juu.
  4. C

    JamiiForums Tanzania Kushuka kwa elimu: Kila mtu asome

    Ninajua hii itaondolewa hapa haraka,, some na usambaze. Chanjo ya covid 19 inamtengeneze mtu mpya. Hutakuwa wewe tena wala watoto wako, na vizazi vyakkko vyote. Ndiyo sababu inapigiwa kelele kwa lazima bila kujali kuna magonjwa mengi zaidi yanayoua kuliko corona. Sasa hivi serikali...
  5. my name is my name

    JamiiForums Tanzania Hivi wazungu hawawezi kutengeneza movies/ series bila gay scenes?

    Movies zao karibia zote lazima ziwe na characters ambao ni gays. Nlikuwa nangalia Bridgerton, nmeangalia mpk episode ya 3 sijaona scenes zenye hyo mambo mpk nkajisemea wamejtahidi kweli 😂 Hee kufika episode ya 4 wameonyesha gays km kawaida yao. Halafu scene yenyewe ina km sekunde 5 tu hta...
  6. Maleven

    JamiiForums Tanzania Hisia za mapenzi zinaweza kumfanya mtu asiweze kufanya kazi?

    Mdogo wangu yuko katika kilele cha balehe, sasa hakwenda shule, jana niliambiwa anaumwa, leo najuzwa kua ni ashki zimemshika sana kiasi cha kuona kuumwa. Kwakua ni mambo ya kike, na siwezi ongea nae moja kwa moja wala yeye hawezi kuniambia mimi ila nawaza huu sio ugonjwa kweli au ni kawaida kwa...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Picha: Hiki ni kiumbe gani? (Kama samaki mtu mdogo) nimekuta home

    Salamu za asubuhi, hiki kiumbe nimekuta kimefukiwa nyumbani kwangu sehemu ya kuingilia kibarazani bado sijaelewa ni kiumbe gani. Msaada kwa ambae amewahi kukutana na kitu Kama hiki. Ukiangalia kwa umakini utaona mkia Kama wa samaki, kichwa Kama binadamu na mikono kabisa.
  8. Richard

    JamiiForums Tanzania Demokrasia ya unapoishi (Local Democracy) huanzia mtaani, kijijini mjini, wilayani hadi mijini kufikia Demokrasia kamili

    Pamoja na mambo mengine yote siasa ni majadiliano, au mgogoro wa hoja baina ya watu, vyama katika kutafuta kutwa madaraka au mamlaka. Mtazamo wa mwanafilosofia aitwae Aristotle kuhusu siasa anamfananisha mwanasiasa na fundi kwamba mwanasiasa ni mtu alie na elimu wezeshi (practical knowledge) na...
  9. EvilSpirit

    JamiiForums Tanzania Hivi mtu anamiliki simu zote hizi za kazi gani?

    Mnisaidie kuhesabu wadau hivi hizi ni simu ngapi
  10. Kamotee

    JamiiForums Tanzania SoC01 Umuhimu wa kujali afya na mtu kuwa na afya

    Mwishoni mwa mwaka 2019 ndiyo kipindi ambacho habari za kuwepo kwa ugonjwa unaosababishwa na virusi vya korona yaani UVIKO-19, kwa kiingereza COVID-19 zilianza kuripotiwa na kuenea duniani. Nilipokuwa nasikia taarifa hizo nilikuwa nachukulia kawaida tu. Kwamba ugonjwa huo utaishia Nchini China...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Namshangaa sana mtu anayeishabikia CCM

    Huwa najiuliza, hivi mtu kabisa na akili zako timamu unashabikia CCM? Binafsi nina amini wanaoshabikia CCM ni wale wenye maslahi binafsi otherwise uwe taahira. Chama kilichoisababishia nchi ufukara na matatizo lukuki unakishabikia kwa lipi? At least JPM alipoingia tulianza kuona matokeo kiduchu...
  12. Napoleone

    JamiiForums Tanzania Je, ni sawa kuoa mtu ambaye hujateseka naye?

    Unajua kipindi cha utafutaji sisi wanaume huwa tunatafta wadada fulani ambao ni wa level hiyo yaan mara nyingi wanakuwa wa kawaida sanaa. Mara nyingi unakuta wala humpendi kivile ila kwasababu anatimiza matakwa yako na hasumbui kwenye hiki wala kile, unajikuta upo nae huyo binti kwenye shida...
  13. Tony Yeyo

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu wa ku-share eneo la kufanyia biashara

    Wakuu habar zenu natafuta mtu wa ku-share anaye eneo la kufanyia biashara mm binafsi sina uwezo wa kukod fremu ya biashara na nikalipia pekeyangu sasa naomba kama kuna mtu ana fremu ya biashara na yuko tayali ku-share basi itakuwa vizur biashara nayotaka kufanya ni ya TIGO PESA, MPESA kwa...
  14. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kujua kama mawasiliano yako yanaenda kwa mtu mwingine

    Hakuna anayependa mawasiliano yake yaingiliwe au kutumiwa mtu mwingine bila ridhaa. piga *#61# kisha ok , kwa mtandao wako wasimu kuhakikiki. ukiona call au text fowarding iondoe kwa kupiga ##002# ok
  15. Liverpool VPN

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu wa ukubwani kafariki kisa ndoa

    Wajumbe sikieni hii. Mwaka 2012 nilikutana na Dav (sio jina lake halisi) akiwa mkuu wa kitengo fulani ofisi kubwaa Morogoro. Kipindi hicho mimi nilienda ofisini kwao kufanya field, kwa sababu yeye alikua mkuu wa kitengo nilichopangiwa field then nilimkubali sanaa mwana. Alikua mchapa kazi...
  16. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kabla hujamkopesha mtu pesa jiulize maswali haya ili usiingie kwenye majuto baadaye.

    Habari! Watu wa zama hizi, wa mjini na vijijini wengi hawana aibu kumkopa mtu. Uvumilivu katika matatizo yanayohitaji pesa haupo. Mtu ukimsimulia mafanikio yako au mipango yako tu umemfungulia mlango wa kukukopa. Utafiti usio rasmi unaonyesha kuwa wanaokopeshana kienyeji(kindugu na kirafiki)...
  17. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Tuache Ufyatu: Mtu Hawi Gaidi kwa Kuitwa Gaidi

    Unaweza kumuita mtu chechote kile; lakini kumuita mtu tu kitu hakimfanyi mtu kuwa kitu kile. Ni kweli kwamba kuna majina mwingine ukimuita mtu unamvunjia heshima, hadhi, na utu wake mbele ya jamii. Kwa mfano, mtu ameachana na mke wake au mume wake lakini kwa sababu ya machungu ya kuachana...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Serikali ikae meza moja na Vyama vya upinzani

    Mimi ni mtu wa kawaida na ni Mtanzania. Kesi ya Mbowe ndiyo sasa imechukua nafasi kubwa katika mijadala baina ya wanannchi, kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vya habari vya ndani na nje. Sisi sote ni Watanzania na tunatakiwa tupendane, tushikamane, tuwe wamoja bila kujali itikadi za vyama...
  19. Richard

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania tu mtu anakuwa hana woga wa kusema mitandaoni?

    Nimesikitishwa sana na tabia ya baadhi ya watanzania kuonyesha uwezo mkubwa wa kutabiri vifo, kuvifuatilia vitokepo na kusema sababu ni UVIKO-19 na kadhalika. Ni juzi tu tumeondokewa na aliekuwa waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Elias Kwandikwa. Haijaelezwa kinaga ubaga kuhusu kifo...
  20. V

    JamiiForums Tanzania SoC01 Uwekezaji wa Vijiji vya kisasa katika kuchochea ukuaji wa uchumi wa nchi na mtu mmoja mmoja

    Utangulizi Tanzania kiuhalisia bado ni nchi ambayo inategemea uchumi wake kukua kupitia vijiji vyake ambavyo shughuli za watu wake wengi hutegemea kilimo. Mbali na kutegemea kilimo zaidi na shughuli zingine, lakini bado vijiji vingine viko nyuma zaidi katika nyanja za kijamii, kiuchumi na...
Back
Top Bottom