Je, ni sawa kuoa mtu ambaye hujateseka naye?

Napoleone

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
10,087
15,960
Unajua kipindi cha utafutaji sisi wanaume huwa tunatafta wadada fulani ambao ni wa level hiyo yaan mara nyingi wanakuwa wa kawaida sanaa. Mara nyingi unakuta wala humpendi kivile ila kwasababu anatimiza matakwa yako na hasumbui kwenye hiki wala kile, unajikuta upo nae huyo binti kwenye shida zote, hakuachi humuachi ila wewe akilini mwako unajua kabisa huyu binit hapana kwakwel...hapo umeangilia kwa jicho la kibinadam zaidi.

Sasa badae mambo yamekunyookea na ukimwangalia yule bint sio level yako kabisaaaa na wala humpendi kivile, yaani huwezi spend naye maisha yako yote kama mweza

Muda mwingine unawaza daah huyu dada hata tukijaliwa watoto hawatakua unavotaka bla bla bla nying...(msinijudge..hapa nawasilisha mawazo ya wanaume wengi mjue.ohooo)

Unajikuta unataka uachane nae huyo binti na hapo umepata mtoto m1 wa ajabu yaani, mtoto mzur saana na unampenda kwelkwel na ndo upo nae maisha yanaenda vzur...hata kama kakupendea pesa sawa...au unakuta na yeye anapesa pia ..na maisha yanaenda

Hivyo, Wakuu nauliza utakua unatenda dhambii?
Au je una deni kwa huyo binti

Mind u...hata ukisema uwe na huyu bint uliepata nae shida kuna uwezekano ukamtesa sana sabab lazima utachepuka tuu....na lazima atalia snaaa

So naendelea kuuliza..jee hii ni sawa kwel wakuu??

Mtihani huu ujue

Ndomana skuhiz sis vijana wataftaj weng hatuoi ..tunawazalisha tu..

Unakua na bebi mamaz kibao..unawahudumia fresh maisha yanaendelea..nawee unaendelea kudemka kidimbwi had uzee unakukuta..na badae unaweza tafta kabint kengine under 24 ukakaweka ndani ...urithi unaandika watoto wako tu ..game over

Hapo vip wakuu...ushauri wenu unahitajika saaaana....mtu afanye maamuz sahih hapa

Sio mim lakin...
 
Mkuu kama ulimpenda wakati wa shida na mkapambana wote hadi mkafanikiwa japo ulikua humpendi. Sasa umefanikiwa kimaisha na umepata umpendae na unahisi kua atakupa faraja, mapenzi, utulivu wa moyo na mafanikio zaidi basi mchane ukweli huyu wa Mwanzo na mkatie nusu ya mali zenu umuache kwa Amani.
 
Mkuu kama ulimpenda wakati wa shida na mkapambana wote hadi mkafanikiwa japo ulikua humpendi. Sasa umefanikiwa kimaisha na umepata umpendae na unahisi kua atakupa faraja, mapenzi, utulivu wa moyo na mafanikio zaidi basi mchane ukweli huyu wa Mwanzo na mkatie nusu ya mali zenu umuache kwa Amani.
Pesa nimetafuta mwenyew...huyu ni demu tu..
 
Kuna Scenario mbili. Kupenda na kupambana.

Kama mlipambana na kuchuma kwa pamoja kwa miadi kuwa utakuja kumuoa basi muache kistaarabu. Mpatie kiasi cha pesa na muambie akajiwezeshe. Kumuacha bila chochote ni laana, huyo mwanamke unayejidai atakuchuna na kumkimbilia mwanaume anayempenda.

Mapenzi ni nadharia pana sana. Huyo mwanamke utakayempemda kwa sababu status yako imeongezeka, je yeye anakupenda ile real au kapenda status yako? Bro, ni ngumu sana kujua mwanamke anayekupenda ukiwa na visenti. Wapo wanaokupenda kweli na wapo wanaopenda Status yako. Ukimchukua tu wa Status yako, umeliwa. Atakusumbua mno. Kuwa makini.

Mind u, Status huteketea na maisha lazima yaende. Mpende aliyekuvumilia ukiwa kapuku. Fedha huisha Mkuu.

Mwisho wa siku fuata moyo wako. Ili hata ukijinyonga, usituzingizie. 😂😂
 
Usitusemee mkuu?
Wanaume wengi hatuko hivyo! Wewe ni mwanaume Malaya ambaye hutumia gia ya kuoa ili umpate mwanamke ilihali ukijua huna malengo hayo ya mda mrefu kwa manzi husika!

Zingatia makubaliano yenu wakati mnatongozana/ unamtongoza! Kama ulimwambia mambo ya ndoa jua hapo una deni la kulipa! Mbona ke siku hizi ni waelewa sana mkuu?!! Kama unataka tu mtu wa kukulana naye tu kishikaji siku zisogee wewe mwambie tu kusudi akija mwanaume wa kumuoa aende naye wakajenge nyumba yao tu kiroho safi
 
Screenshot_20210809-075207~2.png
 
Hata ukimpata kama Malaika kama wewe mchepukaji utachepuka tu!Kwenye mapenzi baada ya muda unapitia phase ya kuzoeana hapo ndo timbwili linapoanza.Kama wewe mchepukaji hata mkeo awe mzuri vipi ukishamzoea utamuona wakawaida tu.....

Muhimu ya yote usijiingize kwenye mahusiano na mtu ambae huna malengo nae.Au lah mkubaliane kwamba mna starehe tu mpaka kila mmoja wenu atakapopata mwenza husika.
 
Unajua buana kipind cha utafutaji sisi wanaume huwa tunatafta wadada flan hiv ambao ni wa level hiyo yaan mara nying wanakuaga wakawaida sanaa..na mara nying unakuta wala humpend kivile ila kwasabab anatimiza matakwa yako na hasumbui kwenye hik wala kile..unajikuta upo nae huyo bint kwenye shida zote..hakuachi humuachi...ila wew akilin mwako unajua kabisa huyi bint hapana kwakwel...hapo umeangilia kwa jicho la kibinadam

Katika maisha haya hakuna haja ya kuacha kuufuata moyo wako...

Mwanamke tangu lini akaacha kuufuata moyo wake, kwa nini iwe ishu mwanamume kuufuata moyo wake.
 
Unajua buana kipind cha utafutaji sisi wanaume huwa tunatafta wadada flan hiv ambao ni wa level hiyo yaan mara nying wanakuaga wakawaida sanaa..na mara nying unakuta wala humpend kivile ila kwasabab anatimiza matakwa yako na hasumbui kwenye hik wala kile..unajikuta upo nae huyo bint kwenye shida zote..hakuachi humuachi...ila wew akilin mwako unajua kabisa huyi bint hapana kwakwel...hapo umeangilia kwa jicho la kibinadam zaid.

Mind u...hata ukisema uwe na huyu bint uliepata nae shida kuna uwezekano ukamtesa sana sabab lazima utachepuka tuu....na lazima atalia snaaa
Mkuu hata uoeje wa sura gani Kama malaika utachepuka tu yaani hata iweje.
Sembuse Kuna chombo Kama hichi Ila bado wanachepuka.

Yaani iko binadamu hatujui lengo letu la kuwepo duniani.
Unadhani utajiri ndio utakupa furaha iyo furaha inaisha ndani ya mwaka.
Yaani uwe na magari majumba hata na trilioni kadhaa benki won't make you happy.
Hata uwe maarufu kiasi.

So hata unapochepuka you never be satisfied nikuambie.

Mana ulishazoea unayemuona wa level zako utaona Tena nje halima mkali zaidi ndugu.
Tena ukimpata Halima ukikaa naye mwaka tu umeshajua mpaka harufu yake ama k yake ikoje ukishakojoa so utaniona Agness and process goes on and on and so on.

Utatamani kuwala walatino America itakula baadaye utawaona wa kawaida later utataka waarabu utakula later wahindi utakula yaani nafsi hairidhi ni Kama unavyokula chakula hujawahi Shiba yaani unakuwa satisfied instant but in long run you'll remain you as you
Screenshot_20210804-234444.png
 
We jamaa unanifurahhisha, ok let me drop my 2 cents.

Unajua mara nyingi women date/marry up, kwa iyo ukiona mwanamke yupo na wewe kipindi cha msoto, jua you are the best she can do, unafikiri akitokea mwanaume aliyejipanga kimaisha, mpenzi wako atafikri mara 2 kukuacha wewe? Kwa kifupi you can not choose from the options you wish were available, you can only choose from the options available na wewe ndio her best option.

Kuhusu kustruggle maisha na mwanamke, I do not endorse that, F *** struggle love.

Ukishajijenga ndio utafute mrembo mbichi anayekizi vigezo vyako na wewe umzawadie the good life. Ni vigumu sana kupata mtoto mkali ambaye ni 8/10 au 10/10 huku finances zako zikiwa hazisomeki. Unajua relationships/ marriages ni transactions, kuna vitu hauna unataka kutoka kwake na ye kuna vitu hana anataka kutoka kwako. Mwanaume usipopendewa pesa utapendewa nini sasa? Pesa ni symbol kwamba we ni provider, protector una intelligence fulani.

Lastly, kama unajua kutafuta fortune basi jielimishe na njia za kuilinda ili ata mrembo akizingua anakuwa amejizingua mwenyewe.
 
We jamaa unanifurahhisha, ok let me drop my 2 cents.

Unajua mara nyingi women date/marry up, kwa iyo ukiona mwanamke yupo na wewe kipindi cha msoto, jua you are the best she can do, unafikiri akitokea mwanaume aliyejipanga kimaisha, mpenzi wako atafikri mara 2 kukuacha wewe? Kwa kifupi you can not choose from the options you wish were available, you can only choose from the options available na wewe ndio her best option.

Once a man knows the gender dynamics he is unstoppable

Wanawake wanaijua gemu hii mapema sijui kwa nini...

I’m sure wanaume wakielewa huu mchezo wakawaendea wanawake kwa huo mtazamo wa economics na transactions kwenye mahusiano wakaweka mahisia pembeni wanawake watapata tabuu sanaa
 
Back
Top Bottom