Picha: Hiki ni kiumbe gani? (Kama samaki mtu mdogo) nimekuta home

kilomita

Senior Member
Sep 11, 2011
100
208
Salamu za asubuhi, hiki kiumbe nimekuta kimefukiwa nyumbani kwangu sehemu ya kuingilia kibarazani bado sijaelewa ni kiumbe gani. Msaada kwa ambae amewahi kukutana na kitu Kama hiki. Ukiangalia kwa umakini utaona mkia Kama wa samaki, kichwa Kama binadamu na mikono kabisa.

IMG20210817084603.jpg

IMG20210817084558.jpg
 
Sijui wewe ni dini gani, lakini kama una imani ya kutosha chukua hiyo takataka tafuta mahali pengine ifukie na uisahau, wala usiikumbuke tena.
Mkristo, nimeshachoma Ila nimeuliza kwa ajili ya kufamishwa tu kwa wanaoelewa
 
Una uhakika ni kiumbe?Umekipasua ukaona kwamba kilikuwa na uhai hapo kabla?

Mimi nahisi ni kamdoli tu cha mtoto kamepotea siku nyingi---leo ndio mbwa kakafukua mahali akakisahau mlangoni kwako.
 
Una uhakika ni kiumbe?Umekipasua ukaona kwamba kilikuwa na uhai hapo kabla?
Mimi nahisi ni kamdoli tu cha mtoto kamepotea siku nyingi---leo ndio mbwa kakafukua mahali akakisahau mlangoni kwako.
Kilikuwa kinatingisha mkia, nimekapiga na jiwe, nimemchoma Moto kalikuwa na nyama, kuungua kwa mdoli wa plastic na mjusi ni tofauti kabisaa
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom