Natafuta mtu wa ku-share eneo la kufanyia biashara

Tony Yeyo

JF-Expert Member
Mar 10, 2014
723
544
Wakuu habar zenu

natafuta mtu wa ku-share anaye eneo la kufanyia biashara

mm binafsi sina uwezo wa kukod fremu ya biashara na nikalipia pekeyangu

sasa naomba kama kuna mtu ana fremu ya biashara na yuko tayali ku-share basi itakuwa vizur

biashara nayotaka kufanya ni ya TIGO PESA, MPESA kwa ufupi ni kutoa huduma za kifedha kwa mitandao ya simu

Mimi niko Arusha...nafuta mtu wa ku-share itakuwa vziur kama atakuwa maeneo ya arusha mjini kule stendi ya mabasi

hapa namaanisha eneo lenye mzunguko mkubwa wa biashara
 
Jifunze kutoa details za muhimu unapohitaji msaada. Hiyo fremu unaitaka maeneo gani?

Au hata huku kwetu Tandahimba unaweza kuja?

Umesoma hadi mwisho kweli? Maana kwangu inasomeka anataka mtu wa kufanya nae biashara Arusha au kwako haipo mkuu
 
Yaani wote mshee hizo tigo pesa au? Yaani unaetaka kushea naye awe na fremu ya tigo pesa na wewe uweke tigo pesa ndani ya fremu hiyohiyo halafu mshee kulipa kodi ya fremu? Kwa hiyo namba za wakala zinakuwa mbilimbili? Hamuwezi kupata Faida yakueleweka,
 
anaweza akawa anafanya biashara tofaut
 
anaweza akawa anafanya biashara tofaut
Wafanyabiashara wengi huwa hawapendi utaratibu wa aina hiyo. Hivyo ukikosa huyo mtu wa kushirikiana nae, tengeneza/nunua kibanda kidogo cha bati, tafuta hilo eneo lililo changamka, then fanya biashara.
 
Back
Top Bottom