Inasemekana wakati wa ubaguzi wa rangi Africa ya kusini serikali ya makaburu ilikuwa na silaha za nyuklia. Ilikuwa inajiandaa iwapo mataifa huru yangeungana na kuivamia.
Wakati Pakistan wanajiandaa kuunda silaha za nyukila kiongozi wao alisema kuwa "wabudha wananyuklia, wakristo wana nyuklia...
Katika kusoma soma huku na kule nimekuatana na kitu ambacho kimenichanganya; labda nilete kwenu wana ndugu. Ipo hivi:
Katika kufuatilia historia ya Dinosaurs inasamekana kwamba waliishi miaka kama billions zilizopita ila na kwa kipindi hicho hakukuwa na binadamu, lakini katika maandkio...
Habari watanzania, leo nimekuja na hili swali, maana limenichanganya kidogo. Nina mdogo wangu amepata 4.7/5.0 hapo UDBS-UDSM na yeye ndo alikuwa na GPA kubwa kushinda wote hapo cha ajabu hakutangazwa kama BEST STUDENT.
Wadau mliopo kwenye ACADEMIC FIELD naomba mniambie ni vigezo vipi...
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Godwin Mollel amesema kama wataamua kuwachukulia hatua watumishi wanaojihusisha na wizi wa dawa watawafunga watumishi wote.
Amesema hayo alipokuwa katika hospitali ya Mount Meru ambapo amesema kiwango cha dawa kinachoingia...
Mchezaji wa zamani Tanzania akifanya mahojiano na mtangazaji Patrick Nyembera amesema timu ya taifa ya Uingereza ina kikosi kizuri hata kuweza kuchukua kombe la dunia lkn inakosa mchezaji mzuri wa nafasi ya ulinzi.
Manara alienda mbali zaidi na kudai endapo timu hiyo ingepata mchezaji mzuri...
Mtusaidie kujua hii TV ya TBC1 ni ya nani, nauliza kwa sababu ya kile kinacho zungumzwa mfano Kumsifia mtu masaa 24, kumuonyesha mtu flan peke yake masaa mengi zaidi ya masaa ya kurusha matangazo ili kiweze kujikusanyia mapato ya kujiendesha, haiwezi kupita nusu saa kuna mtu lazima atajwe yeye...
Hivi inakuwaje mtu kasoma business administration degree halafu hawezi fungua hata genge la kuuza nyanya a business administrate?
Genge la kuuza nyanya mtaji elfu 20
Hizo skili zake za business administration anataka akazionyeshee wapi?
Hakika hotuba aliyotoa jana Rais wetu Magufuli imeniacha na huzuni kubwa, kwa kuwa nilichobaini kutokana na hotuba hiyo ni kama maisha yetu watanzania wote, tumeyaweka rehani na kiyakabidhi mikononi mwa mtu mmoja, ambaye ndiye Rais wa nchi.
Katika hotuba hiyo tulimsikia Rais akikanusha vikali...
Ugonjwa wa Alzheimers ( Ugonjwa unaharibu kumbukumbu) ndio sababu kubwa ya shida ya akili. Kati ya 60% -80% ya watu walio na shida ya akili wana #Alzheimers
Magonjwa ya upungufu wa Neva na shida za mishipa. Hali hizi huathiri mzunguko wa damu kwenye ubongo.
Majeraha kwenye ubongo...
Habari wadau,
Leo nimeamua kuingia kwenye hii fani ya udaktari ili nami niweke neno kaa hapa chin basi uongeze maarifa. Ok nadhan kila mtu anajua kwa sasa kuna vuguvugu la chanjo dunia mzima tena mbaya zaid chanjo imekuja kipind ambacho kila mtu anamtizama mwenzake kwa jicho la mnafiki kuna...
Angalia vitu vyote katika maendeleo yao na mageuzi yao, hewa ni ya lazima. Michakato yote ya viumbe haiwezekani bila uwepo wa hewa.
Kitalaamu hewa inaelezwa kuwa ni mkusanyiko wa gesi mbalimbali. Ukitazama, kwa mfano hewa (gesi) ya oksijeni, ambayo ni ya lazima kwa uhai wa viumbe hai, maana...
Sitaki kuongea mengi kuhusu suala la watu wengi hapa Tanzania sasa kutamani kufanya kazi ya siasa na hasa kuwa Mbunge.
Na ukitazama vizuri utagundua kuwa hii ndo siri kubwa ya kujitokeza kwa WATIA NIA ( Wagombea Ubunge wengi katika kura za maoni za CCM mwaka jana kuvunja rekodi).
Watu wengi...
Nimeishi nimejionea watu wa namna hii maongezi yao asilimia kubwa ni kulaumu na kulalamika. Hii ni dalili mbovu na ni mbaya mno kwani huonyesha mtu husika kuwa ni mtu ambae ameshakata tamaa na kilichobaki ni kulaumu na kulalamika kwa mambo mengine ambayo hayana nyuma wala mbele!
Inawezakuwa ni...
Kanisa la Kianglikana nchini Uganda limemvua cheo aliyekuwa askofu mkuu wa kanisa hilo, Stanley Ntagali, na kusitisha utendaji wa majukumu ya uaskofu pamoja na kuzuiwa kuwakilisha kanisa hilo kabisa kwasababu ya madai ya uzinzi. Bwana Ntagali alistaafu mwaka jana Machi baada ya kuhudumu kwa...
Hata kama una shida au changamoto kiasi gani, si vizuri kumueleza kila mtu shida zako kwani, huwa wengine wanafurahia mapito yako(wanafiki) na hawawezi kukupa msaada wowote zaidi ya pole ya kinafiki tu.
Grace Tendega, mmoja wa Wasaliti waliojiteua na kuapishwa na Ndugai kuwa wabunge wa viti maalum kutoka Chadema, leo ametunukiwa kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Hesabu za Serikali za Mitaa ( LAAC )
Bado haijafahamika kama aliomba nafasi hiyo au amepewa bure.
Bali swali kubwa ni hili , ni yupi...
Habari samahani naomba kuuliza kwa mtu anae elewa hili swala kama mtu umeahidiwa mkataba na boss na hataki kutoa mwisho wa siku zaidi ya mwaka hujapewa mkataba na unapewa posho tu napo akijisikia hivi swala kama hili wapi naweza toa lalamiko na nikasaidiwa kisheria.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.