mtu

  1. Superbug

    JamiiForums Tanzania Mzee Ibughe ni nani Serikalini? Angali haya maeneo anayoonekana utagundua siyo mtu wa mchezomchezo

    1. Ni Meja Jenerali wa JWTZ. 2. Wakati Rais Magufuli anaapishwa mwaka jana alikuwa pembeni na full gear ya military uniform. (Je pale alikuwa Kama Nani?) 3.Ni Katibu Mkuu Wizara Ya Mambo Ya Nje. 4.Aliwahi kuwa mwenyekiti kikao cha SADC katika capacity kubwa tu via zoom 5.Jana msibani alikuwa...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Fahamu kidogo kuhusu mtu aliyekufa kwenye "Coma" kama anaweza kuzinduka

    Coma ni ile hatua ya mwisho ya kupepea uhai wa mgonjwa aliye kufa awali (Collecting life from early dead)! Hizi ni harakati za kitabibu za kuendeleza uhai uliotwaliwa kwa kutumia mitambo maalum ya kupumulia ( oxygen ventilator's) Ifahamike mgonjwa anapofariki awali, baadhi ya viungo kama...
  3. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania GE2020 Katiba inaposema sifa za mgombea Urais ni kuwa na afya njema, msilidharau hili

    Kazi ya Urais ni majukumu mazito. Katiba inaposema sifa ni Mtanzania mwenye afya njema hiki ni kipengele muhimu sana. Uchovu wa kazi unaweza kupelekea kutokuwa na muda wa kuangalia afya yako binafsi na kusababisha madhara makubwa ya afya. Ningeshauri wagombea wawe wanafanyiwa upimaji wa afya...
  4. Kibosho1

    JamiiForums Tanzania Bei ya Hennessy 1 sawa na msingi wa biashara ya mtu

    Hii hapa Tanzania inauzwa Ml 2.5
  5. IKUNGURU IJIRU CHUKU

    JamiiForums Tanzania Usiruhusu mtu yeyote avunje roho yako

    Usiruhusu mtu yeyote avunje roho yako. Lazima usimame kwa miguu yako mwenyewe na ujisimamie mwenyewe. Kuna wale ambao wangekupa chochote kukuona unashindwa, lakini lazima usiwape nafasi hiyo kamwe. Shikilia kichwa chako juu, tabasamu na simama mwenyewe.
  6. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Nadiriki kusema: 70% ya waTanzania tumeshaugua na kupona Corona zaidi ya mara tatu au zaidi bila kujua, nadharia ni hii

    Nimejaribu kukusanya ushahidi wa mdomo (word of mouth) toka kwa watu wengi sana kuhusu homa za mafua walizopata watu kipindi cha mwaka jana mwishoni na mwaka huu mwanzoni, ambapo hata mimi niliumwa, ukiangalia dalili walizopata na jinsi mafua yake yalivyokuja katika timing ile ile ya mlipuko wa...
  7. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Benki kuto-update Account ya mtu ukifanya transaction kwa muda mrefu, tatizo nini?

    Mfano mtu una credit transfer benki nyingi zina tabia ya kuchelewa kupitisha hiyo credit tatizo nini? Haya matatizo yako hasa kwenye mabenki madogo siyo makubwa yenye majina makubwa. BOT fuatilieni hizi benki ndogo sysyem zao hazi update haraka. Transaction yaweza hana muda mrefu na kuleta...
  8. comte

    JamiiForums Tanzania Nani ni mtu wa muhimu kwako kati ya uliyekaa naye hapo karibu au aliyeko mbali na mlipo?

  9. Superbug

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya Mr flavor na Burna boy ni ipi au ni mtu mmoja?

    Huyu Burna boy ninani? Au ndio huyo huyo Mr flavor? Mbona wanafanana?
  10. The Assassin

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere aliwahi kusema ukila nyama ya mtu huwezi kuacha, ukianza kutembea na wake za watu huwezi kuacha

    Huu msemo wa Mwalimu wa ukianza kula nyama ya mtu huwezi kuacha, iko sahihi kabisa. Ukianza kula wake za watu huwezi kuacha. Nakumbuka miaka kadhaa iliyopita nilianza kula mke wa binamu yangu, miaka hiyo nilikua nasoma chuo, likizo ndogo ndogo nikawa naenda pale kwa binamu yangu nikaishia...
  11. Donatila

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu anaifahamu taasisi ya Nuru Arts Organization?

    Wadau naomba msaada Je, kuna mkulungwa humu anaifahamu Taasisi inaitwa NURU ARTS ORGANIZATION, Inahusiana na kutoa elimu ya ujasiriamali bure, ipo KAWE, kwa watu wenye mazingira magumu. Naomba msaada kuna ndugu yangu anatafuta kazi, kuna malalamiko nimeyasikia nataka kujua kama ni taasisi ya...
  12. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Uhuru Kenyatta kuhusu Corona: Unaweza kufufua uchumi lakini huwezi kufufua mtu aliyekufa

    Katika hali inayoashiria kuwa ni 'dongo' kwa nchi zinazopuuzia kujilinda na Corona, Rais Kenyatta amesema kama taifa waliamua kunusuru uhai wa raia badala ya uchumi kwa sababu unaweza kufufua uchumi lakini huwezi kufufua mtu aliyekufa. Ndiyo sababu walichukua hatua hizo tangu mwanzo kupambana na...
  13. Ghost boss

    JamiiForums Tanzania Mungu humpa kila mtu utajiri ila mtu huukataa

    Kuna habari inatembea sasa ikimwonesha mvuvi anayedaiwa kuvua samaki mwenye thamani ya pesa za Tanzania billion 6 na anadaiwa baada ya kumvua alimla na wanakijiji wenzie. Kwa haraka haraka hakuna anayeweza kumlaumu jamaa maana angejuaje kama thamani yake ndio hiyo. Ila swali nikuwa huyu jamaa...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Dalili za ugonjwa wa figo kwa mtu kwenye shinikizo la damu

    Iwapo shinikizo la damu liko juu sana(zaidi ya 200/120mm /Hg) Shinikizo la damu la juu sana hata baada ya matibabu kuzingatiwa Kushindwa kuona kwa sababu ya shinikizo la damu Kuwepo kwa protini kwenye mkojo Mgonjwa wa shinikizo la damu kuonesha dalili kama vile kuvimba, kukosa hamu ya...
  15. Omar Msonga

    JamiiForums Tanzania Nani anajali Mradi wangu?

    Katika utafutaji wa fedha kwa ajili ya kutekeleza miradi ya maendeleo (grant support for community projects), vyanzo mbalimbali huweza kutumika, vyanzo hivyo hujumuisha; Taasisi Binafsi (Private Foundations) mfano; Foundation for Civil Society, Women Fund Tanzania n.k. Taasisi za Kifamilia...
  16. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Salim Himidi katika picha, katika mazungumzo

    SALIM HIMIDI KATIKA PICHA KATIKA MAZUNGUMZO Mtu anapoondokewa na wake akili inahangaika sana lakini mara mtu anasahau na maisha yanaendelea. Hizi ni katika rehma za Allah vinginevyo maisha yetu yote duniani yangetawaliwa na huzuni kwa misiba inayotufika. Picha ya mwanzo kushoto ni Salim...
  17. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Ninyi watu mliompiga Tundu Lissu mlifanya kosa kubwa sana. Hamuoni Taifa halina mtu wa kusema ukweli juu ya uvunjifu wa Haki za Binadamu?

    Tundu Lissu aliwahi kusema taifa letu linakwenda pabaya. Alisema huko magerezani kuna watu wanaoza kwa makosa ambayo hawajayafanya. Mbaya zaidi kuna watu wanapigwa na kuteswa na vyombo vya dola bila kufikishwa mahakamani. Tundu Lissu aliwekwa selo central Dar ea salaam hapo alikuta vijana...
  18. Extrovert

    JamiiForums Tanzania Mtu anayejua ku-file hesabu za mwaka kwenye Tally

    Wanangu kuna mchongo nimepewa wa kihasibu ila sasa mie sijui chochote kuhusu Tally, Entry ni chache about 15-17 kila mwaka. Kampuni ni ya supplies kwenye maofisi hasa mahospitali. Wana supply materials zaidi through local purchase na imports. Sasa inatakiwa kufile hesabu za miaka miwili 2019 na...
  19. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yanga inamuhitaji sana mtu kama Magufuli (mtu asiyeogopa watu hata kwa ubabe mambo yaende)

    Habari wadau. Mimi mshabiki wa yanga kiukweli mwenendo wa timu unanikwaza, hasa viongozi wakina Msolla na Mwakalebela. Ninatamani kiongozi mwenye Magufuli mentality aje aiongoze Yanga.
  20. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Je, mtu anapokaribia kufa huhisi chochote?

    Licha ya suala hili kubaki kuwa la muhanga na tukio lenyewe la kifo bado zipo tafiti za kitabibu zilizofanyika miaka ya karibuni zinazotoa majibu changamani ya wahanga yanayoweza angalau kudokeza kiasi juu ya nini kinachoendelea. Upo utafiti ulifanywa kwa manusura wa shambulio la moyo 140...
Back
Top Bottom