mtu

  1. mathsjery

    Usimchaji mtu pesa ndefu, kuwa mwaminifu hautalala njaa

    Nimekuwa nashangaa baadhi ya tabia za wafanya biashara akiona mtu amepigilia mavazi safi acha yale ya kupauka Pauka ya karume au lango lango basi anamchaji pesa ndefu ili amhudumie. Watu wengine huwa hawapendi/hawajui kugalaliza akisha sikia bei ni kubwa huondoka na wewe mfanya bizinesi...
  2. one one chief

    Ukweli nyuma ya kupendwa na kila mtu

    Nadharia ya kimarx inayozungumzia juu ya maendeleo ya kijamii, inasisitiza Zaidi juu ya mvutano wa kijamii, nadharia hii inaeleza kuwa ili jamii iendelee ni lazima kuwapo na mvutano kati ya pande mbili zinazokinzana, upande mmoja uwe na mawazo na mwingine uwe na mawazo mbadala kisha mawazo hayo...
  3. Bata batani

    Ushawahi kuingia katika mahusiano na mtu ambaye huna malengo naye ila yeye ana malengo na wewe

    Nakumbuka ilikuwa mwaka 2016, kuna binti nilijikuta naanzisha mahusiano na yeye lakini nilikuwa sina malengo nae ya ndoa ila yeye alikuwa na malengo na mimi ya ndoa, alikuwa anapigania sana nimuoe. Ila mahusiano yetu hayakudumu binti aliniacha kwa sababu alikuwa anaona simtunzi, simpi hela...
  4. Grand Master Dulla

    Jamani kuna mtu yeyote humu anayekijua kitabu cha SATAAL KHABAR pamoja na matumizi yake kwa ujumla na nini kazi zake??

    Jamani kuna mtu yeyote humu anayekijua kitabu cha SATAAL KHABAR pamoja na matumizi yake kwa ujumla na nini kazi zake??
  5. The only

    Tusisumbue ndugu zetu wenye uwezo Hali ngumu kwa Kila mtu

    Wakuu katika ujuzi wa uogeleaji ukiwa unataka kumuokoa mtu asiyejua kuogelea unatakiwa uniache Kwanza maji yamlegeze lasivo akikukamata hatokuachia mpaka mfe wote.maana we unakuwa tumaini la mwisho kwake. Hali Ni mbaya kabisa kwa uchumi wa mmoja mmoja asubuhi hii nimepigwa mizinga 7 ya watu...
  6. Ghost boss

    Kila mtu ni tajiri

    Kila mtu ni tajiri kama ataamua kuwa tajiri, Mungu alimuumba mwanadamu aishi milele ndani ya bustani ya edeni ila kuishi milele kunategemeana na Kama hatakutwa na kosa la kula tunda la mti uliokatazwa, hivyo ndivyo kwenye upande wa utajiri Kwamba wote tunayonafasi ya kuwa matajiri ila nafasi sio...
  7. sky soldier

    Asikwambie mtu, tendo baada ya kumsamehe au kusamehewa na mpenzi wako baada ya ugomvi huwa linakuwa na hisia kali sana

    Unakuta basi mmegombana huko na mpenzi wako full kununiana hata simu hazipokelewi na ukifika home hamuongeleshani zaidi ya salam. Sasa siku ya siku umeamua kuomba msamaha au mpenzi wako kakuomba msamaha, hapo mara nyingi mtakumbatiana na kifuatacho huwa ni tendo. Yani hapo..... Hebu tiririkeni
  8. Tomaa Mireni

    Hivi mpaka leo kuna mtu anaamini kuwa kila mtoto anakuja na bakuli yake?

    Hii tabia ilienea sana kwa watu wa pwani ambayo walirithi toka uarabuni. 1. Kama kweli kila mtoto huja na riziki yake kwanini kuna watoto wa mtaani? 2. Kwanini kuna watoto wanaoishi katika mazingira magumu? Kaa kizembe fyatua watoto 10 huku ukiwa kibarua, umejenga kinyumba chako kama kituo cha...
  9. R

    Hii tabia ya kuwa pengo halitazibika ni uongo, kumpamba mtu tu. Kama pengo la Albert Einstein lilizibika, basi pengo lolote litazibika

    Siamini kuwa hakuna pengo lisilozibika. Ni kudanganyana kumpamba mtu lakini ukweli ni kuwa kila pengo linazibika. Ukiondoka anakuja mwingine, maisha yanaendelea.
  10. J

    Kumtegemea mtu mmoja ni tatizo, ACT Wazalendo inaweza kufa baada ya Maalim Seif kufariki

    Maalim Seif alikuwa ndio nguzo ya CUF na alipohama CUF nayo ikawa imekufa " kimsingi " Maalimu Seif akawa nguzo ya ACT Wazalendo ambayo wabunge wake wote ni wafuasi binafsi wa Seif. Kufariki kwa Maalim Seif kunaweza kuwa ndio mwanzo wa kifo cha ACT Wazalendo pia. Lakini naamini Mwamba Zitto...
  11. Kipenzi Changu

    Wachezaji Simba SC waoga hela, kila mtu alamba $5,000

    Simba Sc ndio habari ya dunia
  12. Erythrocyte

    Askofu Emaus Mwamakula akamatwa na Polisi kwa kuhamasisha Maandamano ya kudai Katiba Mpya

    ==== TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUKAMATWA KWA ASKOFU EMMAUS BANDEKILE MWAMAKULA KWA KOSA LA KUHAMASISHA MAANDAMANO HARAMU Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Polisi Dar es Salaam leo tarehe 15.02.2021 limefanikiwa kumkamata anayejiita Askofu EMMAUS BANDEKILE MWAMAKULA wa kanisa la Uamsho la...
  13. Tonytonio

    Valentine's day

    Natumaini nyote wazima wa afya na mungu atuepushe na magonjwa yote hatarishi Amen! Wakuu hapa nina swali la kizushi. Yeyote mwenye wazo karibu :)! Kuna umuhimu gani wa kusheherekea siku ya valentine?!
  14. D

    Ukiwa mtu maarufu halafu masikini usipende kusimanga watu, Ipo siku litakukuta jambo Watu watakupita kama nyanya mbovu

    Masikini akipata, matako huria mbwata! Mhenga aliyesema hivi hakuwa na maana ni kweli makalio yatabwata! Alimaanisha ukipata kitu basi usiwakwaze wengine! Kuna watu wamejipambanua kwa majina makubwa sana mtandaoni, wanatambulika kama public figure machonj pa watu! Lakini pamoja na yote, kwa...
  15. YEHODAYA

    Watanzania tumsikilize huyu mtu "7 Things Poor People DO That The Rich DON’T"

    7 Things Poor People DO That The Rich DON’T
  16. Samia atosha tukutane2030

    Je, Wateule wa Rais wanatetea nafasi zao au wanaamini kuwa Rais Magufuli ni mtu mwenye akili na hawezi kukosea katika kila jambo?

    Nawasalimu katika jina la Muumba. Kila Rais anapotamka jambo, au kipindi kingine anapogusia mada fulani kwa maoni au hata kutoa ushauri siku chache mbele Waziri mwenye dhamana na mada husika lazima atatoa kauli au amri ya kushinikiza jambo lifanyike kama alivyoshauri Rais bila hata ya kuchukua...
  17. MK254

    Jameni Westlands ya Nairobi imekuwa mji kivyake, kuna mtu humu aliwahi kuilingansha na Kariokoo ya Dar

    Kwa mnaofahamu Kariokoo ya Bongo, hivi kwa akili timamu unaweza ukalinganisha na hii picha hapa chini, na ifahamike hili ni eneo nje ya mjini, lipo lenyewe, hii labda uilinginishe na Kigali ya Rwanda. One Africa Place Building in Westlands, Nairobi Nairobi’s Westlands area is regaining its...
  18. D

    Nataka mwanamke mtu mzima tuwe marafiki wa karibu sana

    Natafuta mwanamke mwenye kujielewa ili tuwe wapenzi:- 1) umri kati ya 25 mpaka 45 2)ambaye yupo tayari kucheki afya(yani tukapime wote) 3)mwenye kujishughulisha na chochote 4)muwazi Naomba ni pm weka namba tuwasiliane.mi nipo dar es salaam,nina miaka 27
  19. Mandinga

    Naomba kufahamishwa dawa zinazosaidia mfupa uliovunjika kuunga

    Wakuu naomba kwa anaefahamu dawa hasa za asili au zozote ambazo zinasaidia mfupa kuunga haraka. Kama hazipo pia naomba nijulishwe au kama kuna njia yoyote inayoweza kutumika kusaidia hili. Nawasilisha.
  20. S

    Madhara ya "paranoia" kwenye uongozi au siasa ni makubwa sana hivyo ni vema tuelewe nini maana ya paranoia na dalili zake ni nini

    Paranoia ni nini? Angalia jinsi dictionary moja ilivyoeleza maana yake; Paranoia: hali/ugonjwa wa akili unaomfanya mtu awe na hofu isiyo ya kweli ya kusulubiwa na watu wengine. Humfanya mtu awe na silka za kupita kiasi katika kutokuwa na usawaziko wa kuona mambo, kufikiri watu hawampendi...
Back
Top Bottom