EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 8,559
- 12,682
Mnisaidie kuhesabu wadau hivi hizi ni simu ngapi
Sawa mkuuAmekuita kunywa pombe au kuchunguza simu zake? Kunywa pombe rudi nyumbani hayo mambo ya simu hayakuhusu.
Sijaitwa mkuu nikunywa kwa zile kodi mnazokatwa kwenye miamalaAmekuita kunywa pombe au kuchunguza simu zake? Kunywa pombe rudi nyumbani hayo mambo ya simu hayakuhusu.
Sijui mkuu namuona tu kavaa tshirt yenye nembo za AcaciaKama hana simu ya wizi hapo achana naye tu. Au ni mdogo wa Masau?
Yawezekana hiyo ndiyo furaha yake kuwa na simu nyingi kama fundi simu.Sijui mkuu namuona tu kavaa tshirt yenye nembo za Acacia
Hapo kuna ya nyumbani ,ya watu muhimu,ya michepuko, ya kutapelia na ya marafiki.Mnisaidie kuhesabu wadau hivi hizi ni simu ngapi
View attachment 1893330
We kinakuuma nini?Mnisaidie kuhesabu wadau hivi hizi ni simu ngapi
View attachment 1893330
Ata kuwa dalali wa nafaka huyu.Mnisaidie kuhesabu wadau hivi hizi ni simu ngapi
View attachment 1893330
Halafu anakunywa Serengeti huyu ni tapeliMnisaidie kuhesabu wadau hivi hizi ni simu ngapi
View attachment 1893330
Du! Huyu jamaa ni mlevi wa pombe na simu na inawezekana pia ni mlevi wa wanawake. Kazi anayo!!!!!!!!Mnisaidie kuhesabu wadau hivi hizi ni simu ngapi
View attachment 1893330