mtu

  1. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Bigsize Phobia: Hofu ya wanaume wenye maumbile madogo kuwaogopa wanaume wenye size kubwa, ushahidi umeambatanishwa

    Kiukweli aina hii ya kilema inewafanya wanaume wengi sana kutokua na amani hata wawe matajiri, wanavaa fresh, wacheshi, n.k. yani hakuna kitu wanaogopa kama kushare mwanamke na mtu mwenye umbile kubwa. Ugonjwa huu naweza kuuita bigsize phobia, mwanaume mwenye umbile dogo anaogopa mwanaume...
  2. Ene magari

    JamiiForums Tanzania Dereva wa Uber na Bolt natafuta gari la mkataba

    Kwa jina Naitwa Ernest ni dereva Uber na Bolt mwenye uzoefu katika kazii hii nina leseni yenye madaraja yote nilikuwa natafutaa Gari ya kazi iwe yenye private namba Au commercial kwa ajili ya kazi ' Kwa mawasailiano zaidi Ernest : +255628729873 Naomba ushirikiano wenu
  3. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania NASA wanatafuta mtu wa kumlipa ili aishi mazingira ya sayari ya Mars yaliyojengwa Marekani

    Habari wadau Kama umri kuanzia Miaka 30-55 fursa hii hapa mkwanja mrefu utatolewa, wale wazee wa kujilipua kazi kwenu. ===== The space agency is looking for paid volunteers to spend a year living in Mars Dune Alpha, a Martian habitat based in Johnson Space Centre in Houston, Texas. The...
  4. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Division 3 au 4 za Zanzibar zina dili kuliko division one kali za bara

    Zanzibar Walishapewa incentives nzuri kwenye muungano na katiba ya Tanzania. Akili za necta wamewaachia wapenda ma vyeti wa bara. Leo hii bara kuna watu kibao waliopata Division 1 ila hawana ajira. Kwa upande wa Zanzibar mambo ni bam bam!! Wao wapo wachache sana lakini ajira asilimia 21 za...
  5. lwambof07

    JamiiForums Tanzania Polisi nchini Nigeria wawakamata watu 4 kwa ''kula nyama ya watu''

    Polisi katika jimbo la Zamfara Kaskazini-Magharibi mwa Nigeria wanasema wamewakamata watu wanne wanaodaiwa kuhusika na ulaji nyama za watu na kuuza sehemu za binadamu- jambo ambalo ni nadra sana katika eneo hilo. Kamishna wa polisi katika jimbo hilo Ayuba Elkanah aliwaambia waandishi wa habari...
  6. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Tukubali tukatae, mtu kuwa na Tattoo ni kielelezo cha malezi mabovu

    Tukubali tukatae, ukiona mtu ana tattoo yoyote ujue ni matokeo ya malezi mabaya. Tattoo ni ishara ya mtu kutokujijali, kutojali afya wala thamani ya mwili wake na pia kutokutumia akili sawasawa. Ndio maana China kwa ajili ya kulinda kizazi cha sasa na kizazi cha baadae imepiga marufuku...
  7. JF Member

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, hii kauli ya kuwaruhusu Mawaziri wajipimie, wasivimbiwe itolee ufafanuzi tena

    Rais Samia, jana akiongea na mawaziri aliwaambia wajipimie ila wasivimbiwe tena mbele ya TV ya umma. Nilipigwa na butwaa ila nikahisi mambo yafuatayo. 1. Rais hajui kwamba mali anazowaambia mawaziri wajipimie ni za wananchi wanao msikiliza na kwamba wananchi wanataka alinde mali zetu kama kiapo...
  8. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Namna ya kumsaidia Mtoto wako kuwa Mtu bora

    1. Mfundishe kufanya kazi kwa Ushirikiano (Teamwork). Mfano unaweza kutenga muda kusaidiana naye kwenye kufanya 'Homework' au majukumu madogo madogo ya Nyumbani akishirikiana na Wenzake 2. Shiriki au Mfundishe kupanga malengo pamoja na maono mliyonayo. Hili linaweza kuwa gumu kwasababu Wazazi...
  9. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania TANZIA Afariki dunia akigombea usafiri kituo cha daladala Makumbusho

    Mtu mmoja amefariki dunia akiwa kwenye harakati za kugombea daladala alasiri hii ya leo. Tayari polisi wamefika na jitihada zinafanyika za kuuupeleka mwili wa marehemu Mwananyamala Hospitali kwa uhifadhi na uchunguzi zaidi. Marehemu hakuwa na kitu chochote cha kumtambulisha
  10. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Sikuwahi kujua kama Msemaji wa Azam ni mtu wa hovyo

    Ninaangalia wasemaji wa Simba Sc na Azam wakizungumzia mechi ya kesho kombe la mapinduzi. Huyu Msemaji wa Azam nadhani anaitwa somebody Zacharia anazungumza kama mvuta bangi. Anampangia Ahmed Ally cha kuzungumza. Anamkatiza Ahmed kuzungumza. Anajitahidi kuweka utani wa jadi lakini utani wake...
  11. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kukutana na mtu aliyepandisha jini/ mwenye majini? Tupe uzoefu wako

    Nakumbuka miaka ya nyuma kulikiwa na mkuu wa mkoa mwanamke jijini Dar es Salaam. Huyu mama hakuwa mwingine ila Mary Chipungahelo au waweza mama Chips. Huyu mama alikuwa ni mbabe haswa, asiyeyumbishwa wala kuburuzwa wala kupelekeshwa. Ameshawahi kumzingua kichizi Jenerali Ulimwengu. Basi...
  12. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani uliwahi kuona mtu akifanya ukasema Tanzania watu wako na hela?

    Mimi mwaka jana kuna jamaa alimpangia mchepuko wake nyumba kodi milioni mbili na nusu kwa mwaka akalipa kodi ya mwaka mzima na dalali akala milioni mbili Na nusu yake fasta. Mchepuko umezaa na jamaa watoto wawili mapacha. Jamaa ana mke wake. Watu wakawa wanasema kwanini jamaa asimjengee Tu...
  13. MoseKing

    JamiiForums Tanzania Kila mtu na mnyonge wake, Lema ampa AMRI moja Peter Msigwa ya kufuta maoni yake, Afuata

    Chama kina wenyewe. Na wenyewe wana makazi chini ya mlima mrefu
  14. P

    JamiiForums Tanzania Ni kweli mawazari tunao wengi, ila Mh Lukuvu ni zaidi ya waziri, kuna mtu anaogopa kufunikwa....

    1 Nchi yetu kupata maendeleo ya kweli, mpaka watu wote wenye wivu kwa watu wachapa kazi watakapoacha kuzaliwa! 2. Ili nchi yetu ifikie maendeleo ya kweli, tunapaswa tupate katiba itakayotoa mwongozo wa wananchi wenyewe kuwakataa wazembe na kuwakingia kifua wote wachapakazi na wapenda maendeleo...
  15. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Hiki ndicho kilichomg'oa Lukuvi pale Ardhi

    Uswahiba na hayati Kuzuia uendelezwaji wa shamba la mtoto wa mstaafu pale Dakawa Kuzuia hati ya magumashi ya eneo la wazi pale shimo la udongo iliyokuwa ya mke wa mustaafu na mfanyabiashara ambaye amekuwa maarufu sana kwa sasa hasa upande wa mpira. Hayo ndiyo yaliyomuondoa huyu mkongwe na...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Simba SC tafadhali hili Galasa Moukoro achaneni nalo, ila huyu Udoh tafadhali msainisheni upesi sana kwani ni Mtu na Nusu

    Hassan Dilunga, Peter Banda na Yusuph Mhilu wana uwezo mkubwa kuliko huyu Chitec Moukoro wenu ( Raia wa Ivory Coast ) hivyo wala msithubutu au kupoteza muda Wenu Kumsajili kwani kwa Jicho langu Kali la Kimpira na Kiufundi ni wa Kawaida mno halafu hata Mpira wenyewe nao haujui. Ila kwa huyu Nusu...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Rais ana taarifa nyingi za siri, hakukurupuka kusema wanafanya hivyo kwa sababu ya "2025 fever". Muda ni hakimu wa haki

    Kabla ya kuzusha ya kuzusha juu ya suala la Ndugai kujiuzulu kwamba ameamua kufanywa hivyo kwa kutopendezwa kwake na mikopo tujipe muda wa kufikiri kwa undani. Ndugai amehudumu kama naibu spika kwenye bunge la Makinda lakini hakuwahi kuhoji kwa dharau kama alivyofanya kwa Rais Samia. Kwa nini...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Mjadala kuhusu mtu wa kwanza alikuwa na rangi gani na alitokea sehemu gani, ni ujinga na upumbavu

    Ye yote anayetafakari kwa kina, aliye na elimu ya vitu na uelewa wa mambo hawezi kuzingatia akilini mwake kwamba mtu wa kwanza alikuwa na rangi gani; au alianza kuishi eneo au bara gani. Rangi ya mtu; vyovyote inavyoitwa: mweusi au mweupe, si kitu chenye nafasi katika maana yenyewe ya mtu...
  19. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Zipi dalili za mtu aliyepungukiwa sukari mwilini ?

    Naomba kujua dalili za mtu alipungukiwa sukari mwilini kabisa. Asanteni
  20. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Changamoto za kuishi nyumba moja na rafiki au mtu yeyote

    Ninamaanisha kushirikiana kodi ili kupunguza ugumu wa maisha. Inaweza kuwa ni wanafunzi wa Chuo, waajiriwa wapya au hata waliopata ajali za maisha na wanaanza moja. Mfano wanafunzi wanachukua chumba cha 40,000 wanachangia kodi. Kuna wale waajiriwa wasiopenda kuishi Uswahilini. Wanachukua...
Back
Top Bottom