Mnataka mstake, Zanzibar ni nchi na inshaallah kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu siku itafika itakuwa na Waziri wake wa Kigeni,Waziri wa Mambo ya Ndani na Waziri wa Ulinzi. Mnaosema wabara wakafanye kazi Zanzibar hiyo ni ndoto ya mchana.
Katika makubaliano ya Muungano kati ya Hayati Mwalimu na Hayati...
Nimeona nishare hii story ......ilikuwa mwaka 2019 enzo hizo nakaa Tabata Kimanga KWA dada yangu . Kuna siku niliingia whatsapp nikakutana na msg ambayo namba ilianzia na +1____ , ilikuwa inasema "mambo angel za siku nyingi"?
Ni mtu alien sound like he /she knows me ...nilijibu tu kifupi "poa"...
Duniani hakuishi vituko
Japani watu wanalipwa madola kibao kwa kufanya mtu alie machozi kuondoa stress wanaamini mtu akilia stress zinaondoka.Wasanii Muwezao kuliza watu mpo? Asipolia hulipwi
Jionee video mwenyewe
Habari za asubuhi wana..
Huku duniani kuna watu nahisi wana matatizo ya kiakili na wanahitaji kumuona daktari.
Kuna hizi tabia nachukia sana kama mtu kuongea na mimi hadi akusonge songe!!atakupiga piga au kukuskuma huku mkipiga stori kawaida tuu..
Mwingine unaongea nae unaona kama anakurusha...
1. Swali: Chombo cha moto ni nini?
Jibu : Ni chombo kinachotumika katika usafirishaji ardhini, ambavyo ni pamoja na Magari, pikipiki na bajaji.
2. Swali: Nikitaka kununua gari kwa mtu taratibu zipoje?
Jibu : Unapaswa ufike ofisi ya TRA na picha ya pasipoti ya muuzaji, ripoti ya ukaguzi...
Kumbe huu Upole wa hizi Wiki Mbili ni za Kuwaza jinsi ulivyooa kwa Mikogo ( japo waliofanikisha Ndoa yako ndiyo hao hao tena Wanakusaidia Kazi ) na sasa Mke Kakukimbia na unahaha Kumrudisha ila mpaka Mightier naandika Uzi huu hujafanikiwa bado.
Na ili uone kuwa Watu tunajua Kufukunyua Taarifa...
Amani iwe nanyi Waungwana!
Mimi swali langu ni Short and clear, huu utaratibu wa Polisi kushikilia mtu kisha wanabeba na simu yake pamoja na Laptop yake, wanataka nini hasa? Ni sheria gani inayoruhusu wao kuingia na kufungua simu na computer zangu bila ridhaa yangu wakati mimi ni mshukiwa...
Niliondolewa Ofisini kinyume na taratibu kwa sababu nilikuwa nasimamia na kufanya kazi kwa kufuata taratibu na miongozo ya kazi na sio maelekezo ya mtu,kuna mahali viongozi wetu wanashindwa kusimamia wanachokiamini kwa hofu ya kuporwa V8, wanahofu kukosa riziki.
Hili suala la kuniita CAG...
Freeman Mbowe sio mtu wa Kawaida, amini nakuambia.
Huyu mwamba amezaliwa kwenye familia ya kitajiri, Baba yake alikua ni tahiti na alimwezesha Mwlm Nyerere kifedha kwenda NY Marekani kudai uhuru. Hakukulia kwenye Manisha ya shida, Amezaliwa ama amekulia katikati ya jiji la Dar es salaam, Sea...
Utajiri ni hali ya kuwa na mali au pesa nyingi . Mara nyingi utajiri hupimwa kwa wingi wa pesa alizonazo mtu mfano , kiwango kikianzia milioni 100 mtu huyo huitwa milionea, kikianzia milioni 1000 mtu huyo huitwa bilionea, Mtu mwenye utajiri huitwa TAJIRI na mtu asiye na utajiri (mali au pesa...
Shirika la UNICEF limesema Mtu 1 kati ya 5 wenye umri wa miaka 15 - 24 duniani husema ana Msongo wa Mawazo. Siku ya Afya ya Akili Duniani huadhimishwa Oktoba 10 kila mwaka.
Imeelezwa, kila mwaka Vijana wapatao 45,800 hupoteza maisha kwa kujiua, sababu ambayo imetajwa kuwa ya 5 kwa vifo vya...
Moja kwa moja kwenye historia yangu binafsi ya maisha yangu enzi za utafutaji, ni miaka takribani 27 imepita tangu mshiriki wangu katika biashara akimbie na fedha zote na mtaji na kutokomea kusikojulikana, kwa ufupi ni kwamba huyu bwana miaka hiyo enzi za utafutaji niliungana nae tukawa...
Kati ya viongozi wa Uingereza waliowahi kunikatisha tamaa ni Tony Blair. Huyu alikuwa Waziri Mkuu wa Uingereza kati ya mwaka 1997 mpaka 2007.
Wakati akipata Uwaziri Mkuu, ndiye alikuwa kiongozi kijana kuliko wote kwa miaka 185 ya historia ya Uingereza, na alikuwa na miaka 44 tu.
Na alikuwa...
Kheri kwenu kina mama wote!
Niende moja kwa moja kwenye mada.
Natumaini sote tunatambua Rais na kiongozi wan chi yetu kwa sasa ni Mwanamke, kama jinsi alivyojipambanua mara baada ta kula kiapo kuwa Yeye ndiye Rais wa JMT ambaye kimaumbile ni mwanamke, nasi tulimpokea na tunaendelea kumuunga...
Kama kuna mtoto wa kiume aliyepo Dar anicheki PM. Ni kazi ya siku 1 tu namtuma Kibaha na Mbagala posho elfu 15. Kwa maelezo njoo PM. Ni kazi inahitajika kufanyika kesho Jumatano. Ahsanteni!
UPDATE: Nimepata mtu tayari miongoni mwa waliokuja PM. Shukrani sana!
Katika uchumi ardhi ni moja wapo ya rasilimali muhimu. Katika biashara na uwekezaji, ardhi ni kati ya rasilimali muhimu sana. Hivyo, umiliki wa rasilimali hii ni jambo la muhimu sana katika kutumia hii rasilimali muhimu. Juu au ndani ya rasilimali hii, rasilimali zingine huwekwa, za muda mfupi...
Habari wadau..!
Kwa mujibu wa gazeti la mwananchi la 9 September kwamba muda si mrefu lile eneo lote la Kurasini-Temeke lilitwaliwa miaka kibao ya nyuma enzi za JK sasa litaanza kufanyiwa kazi kwa kugeuzwa kituo cha biashara.
Pia maeneo ya karibu yote na hapo kama Machungwa na Mivinjeni...
Kuna Habari kama Sio stori inasomeka kama ifuatavyo
Huyu Mandela aliyeiongoza South Africa alikuwa Feki alitengenezwa na Makaburu, Makaburu walimuua Mandela halisi halafu Wakamtengeza wa kwao ili awe Kibaraka wao hapo SA
Watu wanauliza Kwamba iweje Mandela aliyefungwa miaka 27 Jela halafu...
Kuna sehemu nimekuta mtu anauza akaunti ya instagram yenye followers 151K kwa shillingi 85,000/=, hii mbona haiingii akilini kabisa, ni kweli au ni utapeli akaunti kubwa hivyo ikauzwa kwa bei ya kutupa kabisa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.