Umewahi kumkimbia mtu mliyejuana mtandaoni ile siku ya kukutana, umewahi kum-block baada ya kukutana, tupe mkasa!

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,026
Nakumbuka enzi hizo nilijenga yrafiki na binti mkali acha tu, ilikuwa ni mtandao wa facebook, tulikuwa marafiki, alafu tukaja kupeana namba, hapo ndipo nilitupia ndoano na ndipo tukaingia rasmi kwenye mahusiano.

Sio siri mtoto alikuwa na kisauti flani hivi cha upole mixer aibu, akiniita mpenzi, nywele za nyuma ya kichwa zinasisimka.

Uvumilivu wa kuongea nae kenye simu na kucheki picha zake ulinishinda, ni muda sasa ulifika tukutana uso kwa uso nimshike mkono, nimkumbatie , n.k

Basi bwana tukapanga kuonana park flani ya wazi kabisa, Hio siku nilitupia pamba acha tu, mimi ndie niliewahi kufika kuandaa mazingira na kununua vinywaji maana pale park ni sehemu haina watu wengi, alipofika nikampungia mkono akaniona

Basi bwana ile kafika, bint mkali acha tu, sasa si akatabasamu bwana, ehhh meno yana ule ucnjano njao flani ivi, yani kwa zile picha za simu huez kuuona

Kiukweli nilipanga ukae hata masaaa manne ila tulikaa masaa mawili tu, kila akifungua kinywa nikiona ule unjano nakosa pozi.

Baada ya kuagana, sikuwa interested nae tena, ilibidi nidanganye tu kwamba nilikuwepo kikazi na nimondoka huo mkoa.
 
Daah mimi nakumbuka enzi hizo nilipata dem mkali knoma Facebook tulianza kwa kuwa marafiki mpaka kuja kupeana namba kwa kutumia fbMassanger, basi mpaka tukafikia kwenye mahusiano.

Wazee niliinjoi knoma yale mahusiano yalikua matata bwana sijawahi pata mahusiano ambayo niliinjoi kama yale yani kwa situation nilioiona kipindi hcho mapenzi ni matamu kuliko Sex, Basi bwana tukapanga kuonana Mwanza maeneo flani hvi pale Kemondo kama mnapafaham, Baba enu nikajipamba sio poa na unyunyu wangu swafi kabisa sasa ile nafika dem hajafika, nikamuelezea tu namna nilivyovaa ili akija asipate taabu kuniLocate.

Basi bwana ile nashangaa nastuliwa kuangalia vizur nakuta ni mmaza bwana ameenda Age afu cha ajabu anasauti ya kibint kabisa yani kwa simu huez jua kama ni mmaza

Asq pale tukaanza kuongea sikua confortable kabisa yani mwishoe yule maza akahisi kwamba nmemushusha vyeo vyake vya kuact kama ni mtoto akt ni Mtu mzima kaenda age, Si akaanza kunipiga maushauri ya kwamba niache kutafta madem mtandaoni sio vizuri coz nnaweza pata dem tukasex nikaambukizwa magonjwa ya zinaa na mtu wa mtandaoni tu.. wazee nilichoka sio poa

Lakini fun fact yule mama alikua anaTako sio poa afu alikua mkali sio poa mpk nikawaza bwana anaemkula anakojolea pazuri wallai hafu hakuwa mchoyo nilikomaa nikamle coz nilikua nmejiandaa kuchakata pusy siku iyo, basi akatafuta chumba akalipia nikaenda kulamba alikua mtamu sio poa niliinjoi yule mmaza alikua anajituma kinoma sijawahi tomba dem anakata kama huyo maza yani unaweza tamani upizi damu zote mwilini ufie hapo hapo , Japokua nilimindi kukutana na liMaza lakini niliinjoi sijawahi ona.

Tuliendelea kama miaka minne hvi ndo ukawa mchezo wetu na yule mama lkn at the end tulipotezana JAMANI EEE MAJIMAMA NI MATAMU KULIKO HATA HIVI VI 20'S
 
Mm nakumbuka wakati nasoma moshi, airtel walikuwa na huduma yao flan ya bure ilikuwa inaitwa airtel chat, basi bana nikajaga kupataga manzi huko yy alikuwa anaishi chuga maeneo ya ngulelo, weekend moja nika force kumtembelea kwa miadi ya game,

Basi bana nikafika mpaka pale ngulelo yule mgeni wangu akanipa namba ya boda yaan nikifika pale nimchek boda anipeleke kwa manzi, kweli yule boda akanipeleka mpaka room kwa yule mgeni wangu ebana ile kufika pale kwake huuo manzi yaan ni rasta woman alafu anapiga msuba, akanikaribisha ndani na msosi akanipikia ugali wa bada na nyama choma mzee baada ya msosi akaniambia sasa ? Tuingie kiwanjani ...ebana ikabidi nivae vazi la ujasiri nikala mbususu ya yule rasta woman alikuwa sura ya kigaidi ila mbususu yake ilikuwa tamuuu badalaa alikuwa fundiii

Nawashauri msiwe mnawakimbia wengine mbususu zao ni tamu .. alafu mwanaume risaji hachagui kiwanja cha mchezo wala hachagui afungejeee iwe kwa kichwa, krosi, fauloo, au penati cha maingi Rungu lizame
 
Andiko la kibabe, siku hizi umekua mtam Sana kimwandiko, ulie nae anafaidi
Subiri umkute kachefukwa sasa

Ila leo katoa ushauri wa muhimu sana. Watu hawana ubinadamu tena. Unamkimbia binadamu mwenzako kisa ana meno yenye unjano njano? Kweli? Wewe umekamilika? Hata kama hajakuvutia kwa nini usijitenge naye kwa heshima bila kuumiza hisia zake na kumwachia makovu ya kudumu kisaikolojia? Tukumbuke kuwa dunia ni hii hii na maisha ni haya haya....
 
Siku hizi anaandika kigentleman, hata akichefukwa anachefukwa kigentleman,

Comment yake imejaa utu Sana,

Kama ulivyosema dunia Ni hii hii na maisha ni haya haya,, kama dunia inavyozunguka ndivyo huyo unaemdharau unamkuta kesho yuko juu yako,, aibu yake sio mchezo,, imenikuta hii, walionidharau na kunikebehi nilipokuwa juu ya mawe leo niko juu yao,, aibu na chuki yao kwangu iko dhahiri
 
Mnawakimbia sababu hamuwachukui watu kwa vile walivyo na mtazamo wa "Ni Mzuri".

Bali toka mnapochat mpaka unaenda kukutana naye unakua na matarajioo yako ..

Unajua ukweli NI kwamba, Sio tu yeye alikua ana unjano wa meno... Hata wee unakuta Una jasho linanuka mnoo

Wakat yeye ana umbo usolipenda, hata wewe una sura mbovu .

Kwenye Maisha, lazima tujifunze kupokea vitu " Imperfect " na kuishi navyo kama "Perfect "!!....so long as tulikubali kuanzisha navyo uhusiano hata km sio wakimapenzi.

NASHANGAA.. SIKU HIZI BINADAM AMEKUA WA HOVYO SANAA...

ANATAKA KUDATE NA MWANAMKE ANA KAZI, SURA NZURII NA PESA ZAKEEE YAAN AMEKAMILIKAA....

BINADAM WA LEO, YUKO TAYARI, KUKUULIZA

UNA KAZI GANI MWANANGU??

UNAMILIKI NN???

UCHUMI N.K??

akisha yajua hayo sasa, ndio anaamua akupe HESHIMA ya aina gani !!!.

BADILIKENI... UNAYEMKIMBIA LEO SABABU YA KUKUTANA NAYE USOUSO KWA USO, KESHO NI MWINGINE NA WAMAANA.

IPO hivi... MTU kama HAJAKUVUTIA KIHISIA...kua naye Rafiki wa kawaida tuuu n huo urafiki UTOSHE kulinda heshima zenu.

Kama amekuvutia na ukamtongoza, basi hata siku mtakayokutana, mpokee na ulinde ikoiko alichokuaminia kwako.

Nyie hamjui nahuenda unajua ila makusudi...... Hamna kitu kinachomuumiza mwanamke, kama umemtongoza, umemrubun kwa kila mbinu, ameamua kukubalia, " wanawake WANAPENDA emotionally " , anapoamua mpaka kukukubalia, unakua umeshika hisia zake,... ...Leo unakutana naye, unamkimbia na kumblok ........ UNAMUUMIZA SANA KULIKO CHOCHOTE... HERI UMPIGE MAKOFI LKN SIO KUMTENDA IVO...

Unamuacha na maswali mengi. Maswali yanayoumiza Akili Yake juu ya miguu Yake, hips zake ,makalio..kiuno...matiti..sura, macho, masikioo, puaa, meno, nywele, shingooo....

Na kwa mwanamke , hamna kitu kinachomuumiza kama kitu hiko kitagusa MWILI WAKE NA HISIA ZAKE.

BADILIKENI, na MUACHE UTAHIRA.

Kuna majinga yatakuja hapa kuniattack, ohooo umeandika ili upate demu wa humu....

JIBU NALOWAPA NI MOJA...... SIANDIKI ILI KUMVUTIA MWANAMKE YOYOTE HUMU.. MIMI NIKIWA NA NIA. NAKUFATA. ,SIO MPAKA NIANDIKE KUKUVUTIA.
Nobody would have spoken it better.

Kiukweli badhi ya wanaume wengiii humu wamezidi kukosoa wanawake na binafsi wanajisahau kuwa wao wana kasoro kibaoooo ..
 
Mkuu kumkataa mtu kisa meno... That's too much mzee..

Tujifunze kuishi poa na binadamu wenzetu... Wala haitugharimu kiasi chochote cha pesa kuwa nice kwa wenzetu...

Hii dunia tupo misele... Muda wowote,, unaweza kuwa yeyote,, so be humble..
 
Mnawakimbia sababu hamuwachukui watu kwa vile walivyo na mtazamo wa "Ni Mzuri".

Bali toka mnapochat mpaka unaenda kukutana naye unakua na matarajioo yako ..

Unajua ukweli NI kwamba, Sio tu yeye alikua ana unjano wa meno... Hata wee unakuta Una jasho linanuka mnoo

Wakat yeye ana umbo usolipenda, hata wewe una sura mbovu .

Kwenye Maisha, lazima tujifunze kupokea vitu " Imperfect " na kuishi navyo kama "Perfect "!!....so long as tulikubali kuanzisha navyo uhusiano hata km sio wakimapenzi.

NASHANGAA.. SIKU HIZI BINADAM AMEKUA WA HOVYO SANAA...

ANATAKA KUDATE NA MWANAMKE ANA KAZI, SURA NZURII NA PESA ZAKEEE YAAN AMEKAMILIKAA....

BINADAM WA LEO, YUKO TAYARI, KUKUULIZA

UNA KAZI GANI MWANANGU??

UNAMILIKI NN???

UCHUMI N.K??

akisha yajua hayo sasa, ndio anaamua akupe HESHIMA ya aina gani !!!.

BADILIKENI... UNAYEMKIMBIA LEO SABABU YA KUKUTANA NAYE USOUSO KWA USO, KESHO NI MWINGINE NA WAMAANA.

IPO hivi... MTU kama HAJAKUVUTIA KIHISIA...kua naye Rafiki wa kawaida tuuu n huo urafiki UTOSHE kulinda heshima zenu.

Kama amekuvutia na ukamtongoza, basi hata siku mtakayokutana, mpokee na ulinde ikoiko alichokuaminia kwako.

Nyie hamjui nahuenda unajua ila makusudi...... Hamna kitu kinachomuumiza mwanamke, kama umemtongoza, umemrubun kwa kila mbinu, ameamua kukubalia, " wanawake WANAPENDA emotionally " , anapoamua mpaka kukukubalia, unakua umeshika hisia zake,... ...Leo unakutana naye, unamkimbia na kumblok ........ UNAMUUMIZA SANA KULIKO CHOCHOTE... HERI UMPIGE MAKOFI LKN SIO KUMTENDA IVO...

Unamuacha na maswali mengi. Maswali yanayoumiza Akili Yake juu ya miguu Yake, hips zake ,makalio..kiuno...matiti..sura, macho, masikioo, puaa, meno, nywele, shingooo....

Na kwa mwanamke , hamna kitu kinachomuumiza kama kitu hiko kitagusa MWILI WAKE NA HISIA ZAKE.

BADILIKENI, na MUACHE UTAHIRA.

Kuna majinga yatakuja hapa kuniattack, ohooo umeandika ili upate demu wa humu....

JIBU NALOWAPA NI MOJA...... SIANDIKI ILI KUMVUTIA MWANAMKE YOYOTE HUMU.. MIMI NIKIWA NA NIA. NAKUFATA. ,SIO MPAKA NIANDIKE KUKUVUTIA.
Sikuhizi umestaarabika sana thumbup
 
Back
Top Bottom