mtu

  1. B

    JamiiForums Tanzania Yani mtu uko freemason, halafu unaendesha Passo?

    Juzi kati nkipita mitaa ya posta, huku dar, maeneo karibu na benki kuu nikaona jengo jeupe limeandikwa freemasons hall, nkajisemea akilini, mitandaoni watu wanasema Freemason wanaabudu shetani na ukijiunga huko unapata utajiri, dooh nikaangalia vizuri ndani ya fensi ya ile jengo nkaona Passo...
  2. my name is my name

    JamiiForums Tanzania Usimwite dada/kaka mtu ambae hujazaliwa nae

    Kwa manufaa ya baadae Mtu kama ujazaliwa nae hutakiwi kumuita kaka au dada. Kwanza mtu usiezaliwa nae unanzaje kumwita kaka, dada 🤔 ndo mana baadae mkikwama mnaishia kujilaumu ati mtu mwenyewe namwita kaka/dada tunaeshimiana sna. Utakuja kukosa mume au mke kwa ujinga wko. Kaka au dada ni yle...
  3. Replica

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri kesi ya Mbowe leo Novemba 05, 2021: Inspector Mahita Mohamed atoa ushahidi

    Baada ya jana kuahirishwa, Kesi ya mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe inaendelea kuunguruma leo mahakamani. Jana Mrakibu Mwandamizi wa Jeshi la Polisi, Sebastian Madembwe alitoa ushahidi wake. Jaji aliahirisha mpaka leo. Kuwa nami. ======= Jaji ameingia Mahakamani Kesi namba 16 ya Mwaka 2021...
  4. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mwangasa: Kila mtu ana haki ya faragha, hadi pale mamlaka za uchunguzi zinapohitaji taarifa

    Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Mtandaoni, Joshua Mwangasa amesema kila mtu ana faragha ya Mawasiliano hadi pale yatakapohitajika kwa ajili ya suala la uchunguzi. Chombo cha Uchunguzi hutakiwa kuandika barua kumuomba anayemiliki taarifa kama kampuni ya mawasiliano kupewa taarifa hizo. Katika...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Anayejua wauza vitabu 'Bookshop' iliyoko Dar es Salaam

    Anaejua wauza vitabu 'Bookshop' iliyoko Dar es Salaam. Mtu wa Mkoani unanunua kupitia mtandao au vinginevyo na unatumia. Wakuu naomba kujuzwa, kama unajua Bookshop ya namna hiyo. Tafadhali naomba contacts zao.
  6. Mkogoti

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nawezaje kufuta account ya mtu ambaye alishafariki Facebook?

    Habari waugwana wa humu, je salama!? Ok. Sasa bwana mimi nina shida moja kuna account ya mtu wangu wa karibu alishafariki alikuwa na account Facebook na mpaka sasa nikiwa napita kuona baadhi ya vitu lazima nikutane nayo. Je, naomba nataka niwaambie Facebook waifute nifanyeje msaada wenu
  7. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania Maoni ya Wakili: Kumfunga mtu kwa kitu ambacho hakifanyi ni gumu sana, labda kwa amri

    Ndugu wanajukwaa nami kama wakili msomi ninaomba ku-share nanyi kwa uzoefu wangu wa kesi mbali mbali nilizowahi kuzisimamia huko Tz na mifano ya rejea katika kufundisha kwangu somo sheria huku ugenini. Kiufupi kumfunga mtu kwa tukio ambalo hajalifanya ni ngumu sana hata kama umemkamata na...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Hivi mimba ya miezi miwili tu inaweza kumfanya mtu akawa na hasira na kiburi?

    Habari wapendwa? Nina mtu wangu ana mimba ya miezi miwili tu but amebadilika sana, kawa na hasira za ghafla na kiburi hatari. So nauliza,kwa umri wa hiyo mimba ni sahihi kwa yeye kuwa hivyo au analeta maigizo tu?
  9. W

    JamiiForums Tanzania Kushika tama kunaashiria nini kwenye utamaduni wenu?

  10. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Nina mashaka mtu anataka kuniteka nyara(kidnap)

    Saa tisa mchana nilikuwa Gongs kwenye kituo cha basi nasubiri daladala niende Chanika, ikaja gari pale aina,kama gari za Noah,watu ndani wanataka kunipa lift. Wakasemezena mle ndani,"Ati yule anaitwa nani vile"? Halafu wakaniita jina langu,wakasema njoo,twende. Nikakataa, considering it to be...
  11. Konseli Mkuu Andrew

    JamiiForums Tanzania Sheria inasemaje pale mtu anapokutwa na hatia?

    Salaam Wakuu, Niende kwenye maada tajwa hapo juu. Nafahamu kwa sheria za Tanzania Mahakama ndiyo imepewa mamlaka ya kumkuta mtuhumiwa na hatia na si chombo kingine.Swali langu ni kuwa Mahakama baada ya kumpa kifungo huyo aliyekuwa mtuhumiwa kuna namna yoyote na kutunza mali anazoziacha kama...
  12. Njaa kali30

    JamiiForums Tanzania Afisa Elimu Mkoa wa Songwe na Afisa Elimu Wilaya waache kujifanya Miungu watu

    Habari wakuu za usiku, Kama kawaida naomba nielezee kwa masikitiko makubwa jinsi huyu Afisa Elimu Mkoa wa Songwe anavyojifanya Mungu mtu akishirikiana na Afisa Elimu Wilaya ndugu Bhange. Kwa bahati nzuri nilikuwa kwenye semina ya usimamizi wa mitihani, nikamsikia akimzungumzia mwalimu mmoja...
  13. Equation x

    JamiiForums Tanzania Maana halisi ya kutafuta mpenzi, ni kutafuta mtu aje akusaidie kutumia fedha zako ulizozitafuta kwa jasho

    Maana halisi ya kutafuta mpenzi, ni kutafuta mtu aje akusaidie kutumia fedha zako ulizozitafuta kwa jasho. Kama wewe unaponda kokoto tani 20, unatafuta mtu aje akusaidie kutumia fedha zako kutokana na mapato uliyoyapata kwenye kazi ngumu ya kuponda kokoto. Kwa hiyo kama mpenzi wako anayumbisha...
  14. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Simiyu: Ofisi ya mtendaji wa kijiji yachomwa moto, mtu mmoja akamatwa kwa upelelezi

    Ofisi ya mtendaji wa kijiji cha Mwabagalu kata ya Nyabubinza wilayani Maswa Mkoa wa Simiyu imechomwa moto alfajiri ya leo Oktoba 17, 2021 na watu wasiojulikana. Ofisi hiyo ambayo ilikuwa ikitumiwa na mtendaji wa kijiji na sehemu nyingine ikitumika kama darasa la wanafunzi wa awali imeteketea...
  15. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania Je, uwezekano wa kukutana na bodyguard wa Rais Samia mtu apige naye story tu za kawaida au utaratibu ukoje

    Huyu mdada ambaye ni bodyguard wa Rais Samia ni mlimbwende yuko vizuri kabisa ila nauliza kama kuna uwezekano wa kukutana naye mtu apige naye story tu za kawaida walau tu kwa dka 20 ili mtu afaidi aone anavyo cheka tabasamu na kufurahia tu story za hapa na pale kuhusu mambo ya kawaida sana...
  16. Ramon Abbas

    JamiiForums Tanzania Chemsha Bongo: Nani kamuua huyu mtu kati ya Hawa?

  17. Guselya Ngwandu

    JamiiForums Tanzania Rais Samia mtu mkweli asiyeyumbishwa

    Juzi akiwa Chato, Rais Sami alishangiliwa sana alipoonesha kwamba anataka kuongelea suala la Chato kuwa mkoa. Angekuwa mtu wa kufuata kelele za kisiasa lazima angingia mkumbo halafu kichwakichwa aseme Chato ni mkoa. Hii sio mara ya kwanza kwa Rais wetu kuonesha wazi kwamba yeye ni mtu mkweli na...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Ushahidi: Maelekezo kutoka juu Haumtoi mtu Hatiani

    Awamu ya tano na masalia yake ndani ya awamu hii yalituvesha hii "bloody" tungo - Maelekezo kutoka juu. Pamoja na kuwa hadi hapa tulipo kuna ya kujifunza kutokea kwa nduli Sabaya, habari ndiyo hiyo. Haupo utetezi hapo! Wangalipo kina Sabaya wengi huru mitaani. Ni vizuri kwa mustakabala...
  19. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Kati ya Pharmacy, Shop na Haircut salon ni biashara gani inayoweza kumletea mtu mafanikio ya haraka na ya uhakika?

    Habari zenu wana JF wenzangu.. Ndugu zang kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, ni biashara gani mtu akifanya ataweza kufikia au hata kukaribia ndoto zake za ki maisha haraka haraka? Hasa kwa mkoa wa Dar es Salaam. Kama kawaida natanguliza shukran kwa wote watakaochangia, na hata...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Bila capital inflow na FDI hatuwezi kutoboa, hata S.Korea, Malaysia n.k wasingetoboa

    Watanzania tulidanganywa sana, nimemaliza Master Degree in Development Economics (MDE), nimesoma cases nyingi za nchi zilizokuwa maskini kama sisi wakati tunapata uhuru lakini sasa zimeshaingia nchi zilizoimarika kiuchumi. Ukiachilia mbali S.Korea, Malaysia n.k. Hata nchi za Afrika...
Back
Top Bottom