Nafaka JF-Expert Member Joined Feb 17, 2015 Posts 12,350 Reaction score 31,874 Nov 12, 2021 #1 Kama kuna mtu amewahi kutumia huduma ya ecobank rapidtransfer naomba anisaidie kuniambia fee zao za kuhamisha pesa zikoje. Kuhamisha kiasi cha kati ya laki tatu mpaka nane kwenda Kenya na Rwanda. Asante
Kama kuna mtu amewahi kutumia huduma ya ecobank rapidtransfer naomba anisaidie kuniambia fee zao za kuhamisha pesa zikoje. Kuhamisha kiasi cha kati ya laki tatu mpaka nane kwenda Kenya na Rwanda. Asante