Hili jambo linasikitisha sana nakatiza mtaani hapa namkuta huyu dada mwendawazimu ni mjamzito kabisa tena inavyoonekana anakaribia kujifungua maana ujauzito wake ni mkubwa kabisa. Jamani tupunguze tamaa ya ngono huu ni unyanyasaji mkubwa kwa watu wa aina hii.
You can imagine akipata uchungu...
"Sheria hii ya mwaka 2016 ambayo mimi niliisimamia nikiwa waziri, imelenga kuifanya tasnia ya habari kuwa taaluma, ukikosea tukuchukulie hatua wewe, na ndio maana tumesema tutoe leseni, najua kuna maneno mengi lakini tukifika hapo pakutoa leseni maana yake tuna uwezo wa kuichukua leseni yetu kwa...
Leo nilikua napitia baadhi ya website za taasisi zetu hapa nchini
moja ya taasisi kubwa tu ya IT juzi juzi hapa walifanya update ya system yao wakaongeza baadhi ya features na function mbalimbali
Kabla ya hayo maboresho, system yao ilikua moja ya website ngumu kupata loophole
Leo nimetest...
Naona watu wengi mitandaoni wanajadili namna majaji wanavyopatikana. Watu wanahoji
1. Jaji anapatikana Kwa kupanda vyeo serikalini?
2. Wanapatikana Kwa UMAHIRI?
3. Wanatokana na perminmance nzuri kwenye private sector?
4. Wanatoakana na ukubwa wa GPA?
5. Wanatokana na mahusiano Yao na wanasiasa...
Habari wakuu.
Naomba kufahamu utaratibu ukoje iwapo ndugu yako akifariki na akaacha bunduki aliyokua anaimiliki kihalali, je inarudishwa wapi ama inaweza kuuzwa kwa mtu mwingine ama kurithishwa kwa mtu mwingine?
Natanguliza shukrani.
Mfano mkubwa Dr. Mwele, Kwa kweli watoto wa Mzee Malecela wana Akili. Sasa nimechoka kwa watu kusema mtu Huyu kapata Hii kazi kwa ajili ya mzee.
Sasa Hivi head lines zote za Dr. Mwele ni mtoto aliyekuwa Waziri Mkuu. Dr. Mwele was bigger than her own father, she was not a politician.
Wakuu kwema?
Mwenzenu nina kisanga hapa, kuna mwanamke ni ex wangu, ila yeye aliolewa na wenye pesa kwa sherehe kubwa baada ya kuona mimi sieleweki na sina mpango wa kuwa mtumwa wa ndoa.
Jamaa yake saivi amekuwa mlevi na kiaina ni kama ameikacha familia, so mkewe baada ya kuona jamaa kasahau...
Mnaenda kututengenezea mazingira gani? binafsi mimi niseme ni baba wa mtoto mmoja, pia ninatunza familia wazazi wangu wananitegemea mimi, kipindi nimemaliza chuo niliamua kujitolea lakini hali ikawa mbaya nilikuwa napewa elfu 30 kwa mwezi, familia yangu ile na wazazi niwape majukumu...
Nickson Myamba ambaye ni katibu wa baraza la walei kigango cha Makambako, jimbo la Njombe, amekutwa ameuawa kwa kutenganishwa kichwa na kiwiliwili chake ndani ya Kanisa Kuu Katoliki la Parokia ya Makambako usiku wa Februari 7, 2022.
===
KIONGOZI WA KANISA AKUTWA AMEUAWA KANISANI, KICHWA...
Habari ya muda huu wakuu.
Guys kama umetoka na mtu au mmetoka kama group, usikubali au msikubali mmoja wenu aondoke na mtu msiyemfahamu in any means.
Binadamu siku hizi hawaaminiki, kuna risk sana.
Natafuta mtu wa kujifunza naye uchawi
Sifa
Awe mwanamke
Awe anajua kusoma na kuandika kiingereza(Tutatumia vitabu vya kizungu kujifunza)
Awe ndani ya Dar es Salaam
Awe na umri wa kufanya maamuzi binafsi preferably 25+
Akiwa na elimu kuanzia Bachelor itakuwa poa zaidi
Hit my inbox
Huwa inanishangaza Sana unakuta mtu kafa, R.I.P zinamiminika Sasa sijui azipokee nani wakati mhusika hayukpo!!
Nadhani hiyo rest in peace angepewa yeye mwenyewe na akasema thank you. Sasa mnatakaga nani ampokelee wakati yeye hayupo?
Kuna dogo kapata matokeo yafuatayo katika mtihani wa form four- 2021 na hataki kwenda advance.
Civics- C
Geography- C
History- C
Kiswahili- B
English-C
Biology-C
Chemistry-C
Physics- F
Maths-D.
Yeye anapenda kwenda chuo kozi za sayansi. Je ni kozi gani anaweza chaguliwa.
Julia Petta alifariki mwaka 1921, baada ya hapo alizikwa kwenye Makaburi ya Mount Carmel yaliyopo Chicago nchini Marekani.
Alizikwa akiwa na gauni lake la harusi, inadaiwa kuwa mara baada ya msiba huo, mama wa marehemu, Filomena alianza kuota ndoto akiona Petta anamwambia kuwa yeye (Petta)...
Nachofahamu ni watu kuweka fedha mahakamani katika kumdhamini mtu ila kuhusu mali ndio sina uelewa inakujaje?
Kwa mfano, unaweza kuweka kitu kama hati ya kiwanja badala ya fedha katika kumdhamini mtu?
Kwa maneno mengine, hati ya kiwanja inaweza kutumika kumdhamini mtu mahakamani na hufanyika...
Kumekuchwa!
Ukitoa Mia utapokea Mia.
Ukilima mahindi bila Shaka utavuna mahindi!
Maisha ni mfano wa kioo, ukicheka yanacheka ukinuna yananuna!
Taikon siku zote atasema ukweli hata Kama unauma, ukweli ni ukweli tuu.
Hili la Profesa Jay kuchangiwa limezua minong'ono kwenye jamii, hata hivyo hii...
Nimejiuliza hili swali sana si kwa nia mbaya. Kwa nia njema kabisa. Prof Jay. Joseph Haule amekuwa Mbunge kwa miaka 5 akilipwa mamimilioni ya pesa. Baada ya kumaliza kipindi chake amelipwa mamilioni mengine ya kiinuna mgongo.
Leo ameumwa na kulazwa kwa mwezi mmoja anadai achangiwe. Je yule...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.