Mtoto (1 April 1983 – 24 May 2011) was a British Thoroughbred racehorse. In a career which lasted from 1985 until 1988, he ran ten times and won seven races. He showed some promise as three-year-old in 1986, but emerged as a top-class horse in 1987 when he defeated The Derby winner Reference Point in the Eclipse Stakes at Sandown. In 1988, he was the dominant middle-distance horse in Britain, winning a second Eclipse Stakes and taking the King George VI and Queen Elizabeth Stakes.
Jinsi ya kumsaidia mtoto aweze kutambaa, haswa kwa wale watoto ambao wameshafikisha umri wa kutambaa lakini hawataki kutambaa wala kusimamia vitu.
Namna ya kumsaidia unatakiwa kumpa mtoto muda mwingi wa kulalia tumbo (Tummy time), unamlaza mtoto kwa tumbo akiwa macho na chini ya usimamizi, hii...
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums.
Ndugu zangu watanzania kulingana na utafiti wangu;
Kwanini katika familia nyingi watoto wengi hupenda zaidi ndugu wa upande wa mama kuliko wale wa upande wa baba zao?
Ni mara chache sana utaona mtoto wa baba mdogo na mkubwa wanasaidiana...
Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga, linawashikilia vijana wawili, wakazi wa mkoani hapa kwa tuhuma za kumbaka mtoto mwenye umri wa miaka sita kwa zamu.
Kamanda wa Polisi mkoani Shinyanga, Debora Magiligimba, akitoa taarifa hiyo jana kwa vyombo vya habari, alisema tukio hilo lilitokea...
Wapendwa tumezoea kuona au kusikia Watoto wakisusia Chakula kwa sababu mbalimbali hadi wabembelezwe na Wazazi wao.
Je ni sahihi kwa Mwanaume kufanya hivyo kama ilivyo kwenye picha hapo chini.
Mimi nawaza nina mtoto wa kike...itokee Kijana au Mtu Mzima flani anamsumbua binti yangu kimapenzi. Ntakapomkamata jamaa na ushahidi.
Ntamfunga mikono na pingu au kamba imara sana...ye si kidume?naweka mapumbu yake kwenye jiwe naaanza yaponda ponda na nyundo mpaka zile balls mle ndani ziwe uji...
Kibaya zaidi ni kwamba Mwenzangu huyo anaamini kwamba ni mtoto wake na anahudumia kama baba. Mtoto anamiezi kumi ivi sasa, Natamani sana niweze kumpata lkn nashindwa ni vipi nitaweza kumpata. Natamani hata Mwanaume huyo angeujua ukweli, lkn naogopa madhara yatakayoweza kutokea baada ya kuujua...
Daktari bingwa wa watoto kutoka Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (Muhas), Fransis Furia, amesema watoto wanaokaa na watu wanaotumia bidhaa za tumbaku kama sigara wako hatarini kupata saratani.
Dk. Furia pia alisema kuna madhara makubwa kwa mtoto aliyeko tumboni endapo mama...
MAMA ACHAGUA UMASIKINI, MTOTO ACHAGUA KIFO
Na, Robert Heriel
Tukio la kusikitisha lililotokea Mkoani Katavi ambapo Mtoto amejiua kwa kujinyonga kisa na Mkasa ni mgogoro baina yake na Mama yake mzazi. Mtoto anashauri Mama aiache CCM na ahamie CHADEMA kwa madai kuwa CCM haijamsaidia chochote...
Tukio la kujinyonga la kijana wa CHADEMA kutokana na tofauti za KISIASA na mama yake mzazi ambae Ni CCM
Chuki za KISIASA na UHASAMA baina ya mama na mtoto umepelekea kifo
Najaribu kujiuliza huyu mama yake mzazi atatoa machozi msibani?
Najaribu kujiuliza CCM TAIFA au CCM Mpanda watampelekea...
Inasemekana mtoto kumvalisha pampasi muda mwingi ni kufanya zuzu alijitambue mapema hasa katika kitengo cha kujinyea na kujikojolea.
Ushauri ufanyeje:
1: Mnunulie vijaptula vingi (wa kiume) akiwa anajikojolea au anajinyea ilekero itamfanya kisaikolojia aanze kujipanga. Ukimsafisha mvalishe...
Habari ndugu zanguni,
Ninaomba msaada mtoto wangu ana umri miez 4 Lakini kila akinyonya tu baada ya kumaliza anaharisha choo cha kijani chenye kamasi sana nilimpeleka kwa tabibu nikapewa septrin lkn naona tatizo linaendelea wengine wanasema meno wengine kukaa sasa sielewi ila hachemki wala hana...
Utunzaji wa aina ya Kangaruu wa Mama kwa Mtoto (UKM) ni njia ya utunzaji iliyopewa jina kwa kurejelea jinsi kangaruu wanavyowatunza ndama wao. Njia hii imetambulika kuwa bora sana katika kuwatunza watoto waliozaliwa kabla ya kuhitimu muhula na waliozaliwa wakiwa na uzani wa chini. Njia hii...
Mkazi wa Kijiji cha Mlowo mkoani Songwe, Loveness Kweka (25), amejifungua mtoto wa kiume asiye na ubongo na mfupa wa juu wa kichwa. Mtoto huyo amezaliwa wiki iliyopita katika Hospitali Teule ya Mkoa wa Songwe mjini Vwawa.
Akizungumza na HabariLEO kwa simu, Mganga Mfawidhi wa Hospitali hiyo, Dk...
Umofia kwenu
Sikumbuki niliwahi kusikia yawezekana mtoto ktk umri fulani yawezekana mzazi au mlezi ukaona vitu au viashiria flani kwamba huyu mtoto ukubwani mwake hatakua na uwezo wa kuzalisha au kuzaa.
Je, hii ina ukweli wowote? Na kama ni kweli nini hivyo viashiria au vithibitisho?
Mungu...
"MTOTO WA NYOKA NI NYOKA"
Na, Robert Heriel
Panya huzaa panya
Paka huzaa paka
Mbwa huzaa mbwa.,.....n.k
Mtoto wa nyoka ni nyoka, wahenga walisema kisha wakaongezea, maji hufuata mkondo. Baadaye Yesu wa Nazareth akasema; huwezi chuma tini kwenye zabibu" Hii ni kusema, muembe huzaa maembe...
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums.
Ndugu zangu Watanzania eti;
Ukigundua kuwa umemkosea mtoto wako mdogo huwa unafanya nini ili kuweza kupooza machungu yake na wewe kujipunguzia hatia nafsini mwako?
Unamnunulia anachokipenda (chips), unamuomba msamaha au unapotezea tu?
(1)...
22 September 2020
Njombe, Tanzania
Shirika la Misaada la Kimataifa la Marekani USAID ambao ni wadau wa maendeleo wa serikali ya Tanzania wameandaa semina juu ya Afya ya Mama na Mtoto mkoani Njombe uliopo nyanda za juu kusini nchini Tanzania.
Mradi huo umejikita kuondoa udumavu wilaya ya...
Wana-CCM dawa ya Lissu ni moja tu, Mtoto akililia wembe mpe; chambeche Wahenga.
Huyu Lissu analilia mdahalo na mtukufu Rais, asizubaishwe. Kwa kuwa mdahalo ni kipimo bora cha wagombea na kwa kuwa mdahalo utaonesha kiwango na ubora wa maono waliyonayo wagombea kupitia sera watakazozielezea na...
Vijana wengi wanaacha masomo ya Chuo Kikuu kwa sababu asilimia ndogo sana ndio hupata mikopo. Sera ya CCM ni kuwapa mikopo mayatima tu. Soma sera hii ya CHADEMA halafu fanya chaguo sahihi kwa ajili ya mwanao.
"Ugharamiaji wa elimu ya juu ndio changamoto kubwa kwenye elimu ya juu na hivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.