Mtoto (1 April 1983 – 24 May 2011) was a British Thoroughbred racehorse. In a career which lasted from 1985 until 1988, he ran ten times and won seven races. He showed some promise as three-year-old in 1986, but emerged as a top-class horse in 1987 when he defeated The Derby winner Reference Point in the Eclipse Stakes at Sandown. In 1988, he was the dominant middle-distance horse in Britain, winning a second Eclipse Stakes and taking the King George VI and Queen Elizabeth Stakes.
Nakupa tu angalizo kama wewe ni mgeni siasa.
Ukiyasoma vizuri malengo ya Chadema na katiba yake huwezi kumkosoa Mbowe maana havunji taratibu yoyote ndani ya chama.
Tatizo vijana wengi huvamia siasa za vyama bila kujua malengo ya chama husika.
Kwa mfano CCM iliasisiwa ili kuwatumikia Wakulima...
Message…habari Nina tatizo la mtoto kachelewa kusimama ana mwaka na miezi hata ukimsimamisha hasimami kabisa sijui tatizo litakua nini nimeenda hospitality wakaniambi calcium iko chini ana dawa anatumia nimempeleka kwenye vipimo Nairobi wanasema hana shida daktari kaniambi nimpeleke kwenye...
Wasalaam
Kuna kamjomba kangu kalipata ujauzito kakiwa Semester ya Kwanza Degree ya kwanza, sasa hivi mtoto anaelekea miezi 6.
Je, anawezaje akaendelea na masomo huku analea? Au mtoto apelekwe kwa Bibi?
Kuna taarifa kwamba huyu kijana alianza kubadilika baada ya kuoa " mtoto wa Spika " na chama chake kilishamstukia tangu mapema , akatengwa kiaina .
Je kuna ukweli wa Jambo hili ? mwenye kufahamu aliweke vizuri .
Nakala : Twaha Mwaipaya
Nina mpenzi tumependana vya kutosha yeye ni single mother na mimi nina ndoa na watoto. Alinishauri niishi naye nikazugazuga alivyoona hivyo akaniomba kuwa anataka mtoto na mimi. Nifanyage japo na mimi nimempenda Kiana tatizo ndoa yangu
Mhe. Rais Magufuli anatarajiwa kutuma salaam kwa Taifa leo Mei 17, 2020.
Hotuba yake inaaminika itajaa mambo mazito.
Kaa standby kwenye media zote na mitandao ya kijamii muda si mrefu ujao.
Inatarajiwa kuanzia mida ya saa sita na nusu mchana (12:30PM) ndipo atakuwa mubashara.
======...
Kuna mfalme alijaliwa kupata mtoto wa kiume. Yule mtoto alikuwa na afya njema, sura ya kuvutia alivutia hata wageni waliofika kwa mfalme. Mfalme alimpenda yule mtoto kama roho yake.
Mtoto yule alipofikisha miaka minne, Mungu Mwenyezi alimtaarifu mfalme kuwa mtoto yule atakufa siku si nyingi...
Natumai mmeamka salama wanajamvi.
Wakuu hili jambo la nani ni mmiliki halali wa mtoto kati ya baba na mama limekua likinitatiza sana hata nikaona vema kushare nanyi ili tulijadili kwa marefu na mapana...
Kwa mtizamo ulozoeleka tunajua baba ndo mmiliki wa mtoto but utata wangu huja kwa...
Nauliza kipi bora hasa
Unakuta mwanamke mwenye mtoto watu wanamkimbia bila kujua faida zake
Ni Bora ambaye Ana mtoto maana kuna muda anakupa matumain kuwa hujaoa mgumba au akizaa watoto awafi
Unamkuta dada mdogo, hajawahi kuzaa, hajaolewa, lakini anatumia uzazi wa mpango. Hapo hapo kashatoa...
Aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Augustine Mahiga leo atamaliza safari yake duniani kwa kuzikwa kijijini kwake Tosamaganga. Viongozi mbalimbali wa kitaifa wakiongozwa na Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu watamsindikiza katika safari yake hii ya mwisho.
Aliyekuwa waziri wa Katiba na...
Yaani una binti yako mtoto mzuri tu mashallah.
Kwa nyakati hizi, kuliwa ataliwa tu kabla ya chuo. Swala ni bora nani amle?
Aliwe na mtu mzima mwenye ofisi yake na maisha yake ili amkuze na kumlea vizuri au aliwe na dereva bodaboda' wa rika lake, ama mwenzie anayesoma naye kwenye risk kubwa ya...
WATU watatu wanashikiliwa na Polisi Mkoa wa Shinyanga kwa tuhuma za kumpeleka mtoto wa miaka mitatu baa na kumywesha bia huku wakimchukua video na kuisambaza kwenye mitandao ya kijamii.
Taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa jana na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga ACP, Debora...
Ukiwa na tabia ya kuiga muonekano wa mtu fulani, au muondoko wa mtu fulani, au kuiga kuzungumza kama mtu fulani, au kuiga mapozi yake ikiwemo kuiga kucheka kwake, kukasirika kwake, kufoka kwake nakadhalika. Haswa ikiwa ni mtu ambae hauna nae nasaba moja (yaani sio ndugu yako kwa vyovyote vile)...
Habari za mchana wote!
Kuna kaka yangu mmoja tunaheshimiana sana naye , Ana mke wake sasa ndoa imemshinda anataka kumchukua mtoto kutokana na kwamba Hana mahusiano mazuri na huyu mke mke anaishi mwanza na yeye yupo Dodoma.
Lakini mtoto alimpata baada ya kuwa kwenye mahusiano na huyo dada akiwa...
Jamaa amewaka kama mbogo baada ya kutumia maelfu ya Dollar kwa ada ya mtoto halafu matokeo yakawa haya.
Ona mzazi alivyowaka.
Mimi binafsi namng'oa meno.
Mary Agyapong (28) nesi aliyekuwa mjamzito, amefariki huku mwanae aokolewa. Japo mtoto bado hajapimwa kuthibitisha kama ana #Covid19 au la
Kutokana na hali mbaya ya afya yake alilazimika kufanyiwa upasuaji ili kumuokoa mtoto kwa kuwa hali ya Mary ilikuwa inazidi kuwa mbaya
Mary alikutwa na...
Naamini mmesherehekea salama pumziko la pasaka na poleni kwa ambao haikuwa amani kwa namna moja au nyingine.
Aidha poleni kwa misukosuko na taaruki ya ugonjwa wa COVID -19 najua imeleta athari kadhaa zikiwemo vifo na makatazo ya kujumuika katika shughuli mbalimbali za mikusanyiko. Zaidi kwa ili...
Wizara ya Afya ya Kenya imetangaza visa vipya 11 vya #Covid19 na kufanya idadi ya visa nchini humo kuwa 208
Mmoja kati ya waliothibitikakuwa na #CoronaVirus ni mtoto wa mwaka mmoja. Sampuli 674 zimechunguzwa kwa masaa 24 yaliyopita
Wanne kati ya hao waliokutwa na #Covid_19 wanahistoria ya...
BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA KUHUSU TATIZO HILI
Nina mtoto mchanga mwenye umri wa miezi 4 ana tatizo la kutokupata haja kubwa. Tatizo hilo limeanza juzi, leo ni siku ya pili bila kupata haja. Ana joto la kawaida ila leo amebaki analialia tu.
Nimekwenda zahanati wananiambia hana tatizo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.