Je, ni kweli kwamba Lijuakali ameoa mtoto wa Spika Ndugai?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
116,476
215,301
2007280_17_Tanzanian_opposition_legislators_face_various_politically_motivated_offenses_.jpg

Kuna taarifa kwamba huyu kijana alianza kubadilika baada ya kuoa " mtoto wa Spika " na chama chake kilishamstukia tangu mapema , akatengwa kiaina .

Je kuna ukweli wa Jambo hili ? mwenye kufahamu aliweke vizuri .

Nakala : Twaha Mwaipaya
 
Siyo tatizo lakini ni rahisi pia kuleak siri za chama
Mtu wa Chadema akioa CCM anatengwa?
Hizi ndo siasa? ..

Dunia nzima watu wameoa kutoka upande wa pili wa wa siasa..

Mbona Riziwan alioa mtoto wa mbunge wa CUF?
Na kulikuwa hakuna shida CUF wala CCM?

MONEY STOP NONSENSE
 
Kuna taarifa kwamba huyu kijana alianza kubadilika baada ya kuoa " mtoto wa Spika " na chama chake kilishamstukia tangu mapema , akatengwa kiaina .

Je kuna ukweli wa Jambo hili ? mwenye kufahamu aliweke vizuri .

Nakala : Twaha Mwaipaya
Chadema na nyie ni wa hovyo sana.yani mtu akioa mtoto wa mwana CCM tayari mnamtenga?
Hii nchi bado sana asee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu wa Chadema akioa CCM anatengwa?
Hizi ndo siasa? ..

Dunia nzima watu wameoa kutoka upande wa pili wa wa siasa..

Mbona Riziwan alioa mtoto wa mbunge wa CUF?
Na kulikuwa hakuna shida CUF wala CCM?
Je ikiwa kama amebadilika baada ya jambo hilo kwanini asitiliwe shaka ? Jesica Kishoa mumewe ni Kafulila mbona hatujasema neno ?
 
Kuna taarifa kwamba huyu kijana alianza kubadilika baada ya kuoa " mtoto wa Spika " na chama chake kilishamstukia tangu mapema , akatengwa kiaina .

Je kuna ukweli wa Jambo hili ? mwenye kufahamu aliweke vizuri .

Nakala : Twaha Mwaipaya
Vijana wanatafuta frursa sidhani kama hayo mahusiano yatadumu
 
Siasa haihitaji hasira hata kidogo, shida ya chadema ni kuendesha chuki kwa wapinzani wenu

Kila mtu mtamwona msaliti asee.
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom