Ukiwa bepari "uchwara" kifikra usijiunge na Chadema maana utalizwa kama mtoto, nenda chama cha Wakulima na Wafanyakazi CCM

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,845
141,768
Nakupa tu angalizo kama wewe ni mgeni siasa.

Ukiyasoma vizuri malengo ya Chadema na katiba yake huwezi kumkosoa Mbowe maana havunji taratibu yoyote ndani ya chama.

Tatizo vijana wengi huvamia siasa za vyama bila kujua malengo ya chama husika.

Kwa mfano CCM iliasisiwa ili kuwatumikia Wakulima na Wafanyakazi

Nccr mageuzi iliasisiwa ili kuichangamsha CCM na kuifanya isilale usingizi

Chadema iliasisiwa na " mabwanyenye" wachache ukipenda utawaita mabepari kwa lengo la kulinda maslahi ya mabepari nchini

CUF iliasisiwa kwa lengo la kuhakikisha haki inazingatiwa ndio maana ilionekana kama taasisi ya kidini

Sasa unapojiunga na chama cha siasa jiridhishe kwanza na malengo yake kisha ipitie katiba yake kwa umakini mkubwa vinginevyo unaweza kupotea njia na baadae kuanza kubwabwaja kama juha huku dunia ikikushangaa.

Mrema alivyotoka CCM kwanza alitaka kuhamia Chadema lakini wakamwambia wao hawana mpango wa kusimamisha mgombea urais hadi baada ya miaka 10 watakapokuwa wamekomaa, ndipo Lyatonga akaamua kuhamia NCCR Mageuzi kwa madai kuwa Chadema ni chama cha wachaga na yeye hataki ukabila.

Kwa kifupi wabunge wengi wa Chadema hawayajui kabisa malengo ya chama hicho wakiwemo wale waliomfuata Lowassa.

Kwa muundo na malengo yake Chadema hata wakihama wabunge wote hakitakufa kwa sababu mabepari watakichangia kwa ajili ya maslahi mapana ya kiuchumi.

Chadema ni kama Club fulani hivi ambapo wabunge ni "sehemu" ya chanzo cha mapato lakini siyo cha lazima kama ilivyo kwa CUF.

Maendeleo hayana vyama!
 
Unazungumzia CCM ipi? CCM hubadilika kulingana na wakati, wakati wa Sasa kama si muimba kwaya usijiunge huko.
 
Wakulima ambao sasa tunakaanga tani za korosho huku mtaani kwetu hatujui hatma ya maisha yetu. Wafanyakazi ambao wanamiaka 8 hawajui ongezeko Wala punguzo la mishahara,na wale wastaafu ambao hawajui hata ugali wa mtama upo wapi.
 
Nakupa tu angalizo kama wewe ni mgeni siasa.

Ukiyasoma vizuri malengo ya Chadema na katiba yake huwezi kumkosoa Mbowe maana havunji taratibu yoyote ndani ya chama.

Tatizo vijana wengi huvamia siasa za vyama bila kujua malengo ya chama husika.

Kwa mfano CCM iliasisiwa ili kuwatumikia Wakulima na Wafanyakazi

Nccr mageuzi iliasisiwa ili kuichangamsha CCM na kuifanya isilale usingizi

Chadema iliasisiwa na " mabwanyenye" wachache ukipenda utawaita mabepari kwa lengo la kulinda maslahi ya mabepari nchini

CUF iliasisiwa kwa lengo la kuhakikisha haki inazingatiwa ndio maana ilionekana kama taasisi ya kidini

Sasa unapojiunga na chama cha siasa jiridhishe kwanza na malengo yake kisha ipitie katiba yake kwa umakini mkubwa vinginevyo unaweza kupotea njia na baadae kuanza kubwabwaja kama juha huku dunia ikikushangaa.

Mrema alivyotoka CCM kwanza alitaka kuhamia Chadema lakini wakamwambia wao hawana mpango wa kusimamisha mgombea urais hadi baada ya miaka 10 watakapokuwa wamekomaa, ndipo Lyatonga akaamua kuhamia NCCR Mageuzi kwa madai kuwa Chadema ni chama cha wachaga na yeye hataki ukabila.

Kwa kifupi wabunge wengi wa Chadema hawayajui kabisa malengo ya chama hicho wakiwemo wale waliomfuata Lowassa.

Kwa muundo na malengo yake Chadema hata wakihama wabunge wote hakitakufa kwa sababu mabepari watakichangia kwa ajili ya maslahi mapana ya kiuchumi.

Chadema ni kama Club fulani hivi ambapo wabunge ni "sehemu" ya chanzo cha mapato lakini siyo cha lazima kama ilivyo kwa CUF.

Maendeleo hayana vyama!

Ccm sio chama cha wakulima na wafanyakazi, bali bendera yake ina alama za jembe na nyundo.
 
Safari hii wasipopata wabunge mapato yao yatatoka wapi? Maana sidhani watapata zaidi ya wawili.
 
Back
Top Bottom