Thread titlejamanii Naomba kuuliza nini kinasababisha mtoto kutosimama

mevikki

New Member
May 23, 2020
3
0
Message…habari Nina tatizo la mtoto kachelewa kusimama ana mwaka na miezi hata ukimsimamisha hasimami kabisa sijui tatizo litakua nini nimeenda hospitality wakaniambi calcium iko chini ana dawa anatumia nimempeleka kwenye vipimo Nairobi wanasema hana shida daktari kaniambi nimpeleke kwenye mazoezi ndo nataka niaze baada ya corona kutulia Naomba kama Kuna mwenye utaalamu Wa ziada anielekeze asante
 
Katika hilo swala kua makini maana ni rahisi sana kutapeliwa, mm wangu alifika hadi mwaka 1 na miezi 6 hajatembea kuna aliejifanya mganga akaniambia ana dawa yake akitumia tu kesho yake anatembea nikasema sihitaji, hadi mama yake mtoto alitoroka akaenda kwao kutafuta waganga wa kumtibia lkn HAKUFANIKIWA ila muda wake ulipofika alitembea bila shida, kwasasa ukimuona anavyocheza mpira wa miguu huwezi amini kama alichelewa kutembea. Ushauri wangu kwanza acha kumlinganisha mtoto wako na watoto wengine kwenye maendeleo ya ukuaji wao maana watu tunatofautiana uwezo wa kimwili na kiakili, kazi pekee unayotakiwa kuifanya ni kuhakikisha anakula mlo kamili na kwa wakati sio kutwa mara 3 bali ale kutwa mara 5 hata kama ni kidogokidogo maana wazazi wengi wanajisahau hapo kwenye msosi, pia fanya nae mazoezi ya kutembea kila asubuhi angalau dk15 hadi 20 kisha muache acheze na wenzake usimtenge pekeyake kwa kufanya hivyo kutamsaidia kujengeka kimwili na kiakili na ataweza kusimama na kutembea bila msaada wa mtu mwingine.

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom