mtoto

Mtoto (1 April 1983 – 24 May 2011) was a British Thoroughbred racehorse. In a career which lasted from 1985 until 1988, he ran ten times and won seven races. He showed some promise as three-year-old in 1986, but emerged as a top-class horse in 1987 when he defeated The Derby winner Reference Point in the Eclipse Stakes at Sandown. In 1988, he was the dominant middle-distance horse in Britain, winning a second Eclipse Stakes and taking the King George VI and Queen Elizabeth Stakes.

View More On Wikipedia.org
  1. OCC Doctors

    JamiiForums Tanzania Zingatia haya kwa mtoto wako wa kiume wa Miaka mitano

    Mtoto wako wa kiume kuanzia miaka mitano (miezi 60) atahitimu mahudhurio ya kliniki. Hakikisha anafahamu namna ya kutumia zana za hapo nyumbani ikiwemo namna ya kutumia panga, shoka, nyundo, msumeno, jembe, fyekeo, reki, manati, na usafi wa bustani, iwe bustani ya mboga au ya mauwa kutamsaidia...
  2. Superbug

    JamiiForums Tanzania Kisa cha mtoto wa shehe na paka; Bulembo, Mama Lwakatare na Zitto; Mdomo huumba na mdomo uliponza kichwa

    Wakati tunasoma shule alikuwepo mtoto mmoja baba yake alikuwa Shehe. Mtoto yule Kuna siku aligombana na sisi wanafunzi wenzake wote bwenini. Kwa bahati mbaya Sana alitutishia kwamba baba yake ni Shehe na anafuga majini hivyo usiku atakuja kwa njia ya paka akiwa Kama jini. Basi sisi tulilala...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Akili ya mababu zetu kuwa mtoto wa kike hastahili kwenda shule, ndio akili ya wale wanaoamini mtoto wa kike akipata ujauzito afukuzwe shule

    Unajua sisi Waafrika tuko nyuma kwa mambo mengi ikiwemo kuwa na fikra, imani na mitazamo ambayo ni primitive kabisa. Kwa mfano,waze wetu wametupandikiza imani kuwa bundi akilia nyumbani kwako, basi ujiandae kwa msiba wakati bundi ni kiumbe ambae kwa nature yake, ni active wakati wa usiku...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Leo mtoto hatumwi dukani: Yanga vs Mtibwa Sugar

    Leo kutakuwa na game ya kukata na shoka kati ya Young Africans, Watoto wa Jangwani wakikutana na team ngumu na mabingwa wa Kombe la Mapinduzi a.k.a wazee wakulambisha sukari Mtibwa kwenye Uwanja wa Taifa si yakukosa. Nini maoni yako kwenye game ya leo?
  5. Duniahadaa

    JamiiForums Tanzania Bunge letu litoe tamko kuwa USA sio mbinguni, kwanini wampige mtoto wakati baba yupo?

    Tanzania ni nchi huru, kwanini mtu aseme eti kiongozi/ Gavana wetu anakiuka haki ya kuishi? Haki za binadamu hata mukulu wetu alishasema sio kipaumbele chake. Kipaumbele chetu ni reli na madaraja. Sasa kwanini hao USA wadili na mtoto badala ya baba mwenyewe?. Bunge letu naliomba litoe tamko...
  6. DocJayGroup

    JamiiForums Tanzania Napenda sana mtoto, lakini najua mtoto si wangu. Ila mdada analeta ghasia. Nifanyeje? Nipo Marekani kwa sasa. Naomba ushauri

    Wadau Yamenikuta. Sitaki kuandika story ndefu sana. Lakini huyu mdada nilikutana naye nilivyokuja Tanzania na alinifanyia vituko ambavyo kwa kweli siwezi kuviandika hapa. Tokea nimwache amekuwa ni ghasia kweli. Nilishapima mimba naye na nikamkuta ameficha mkojo kwenye nguo ya ndani sababu...
  7. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa miaka tisa aanzisha biashara ndogo ya kuajiri walemavu tu

    Camden Myers (9) mmarekani mweusi amaunda kitu cha kahawa ambacho kinaajiri walemavu peke yao. Kijana huyu mwenye moyo wa kipekee amekuwa akitumaini kuacha historia ya wema duniani Wafanyakazi wa kiwanda chake cha kahawa ni wanafunzi wa shule ya walemavu ya Winston-salem Dhima yake inaongozwa...
  8. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa Shule ya sekondari nzuri kwa mtoto wa kike

    Heshima mbele wakuu, Binti yangu yupo darasa la saba kwa sasa. Ninaanza kufanya prior arrangement mapema kutafuta shule nzuri ya sekondari kwa mtoto wa kike Ninachohitaji: 1. Iwe nzuri kitaaluma. 2. Kimazingira. 3. Kimalezi. I prefer shule inayoendeshwa na taasisi ya kikatoliki. Mtoto anasoma...
  9. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Mtoto wako akiamua kumpa nyumba baba/mama yake ni sahihi?

    Huyu ni mtoto wa ujanani, kwakuwa bado wote au mmoja wenu alikuwa bado mwanafunzi wazazi wenu waliwasaidia ulezi mpaka mlipopata uwezo wa kumlea mtoto. Mengi yalipita na nyinyi wawili hamkuoana tena. Kabla ya kuingia kwenye ndoa mpya unaamua kumnunulia mtoto wako wa kwanza nyumba. Wakati huo...
  10. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam: Jela maisha kwa kumbaka mtoto wa miaka nane

    Mahakama ya Wilaya ya Ilala imemuhukumu, Stambuli Yusufu (35) kifungo cha maisha jela baada ya kumkuta na hatia ya kumuingilia kinyume na maumbile mtoto wa kike wa miaka nane. Mshtakiwa huyo anadaiwa kumfanyia kitendo hicho mtoto huyo anayesoma darasa la nne kati ya mwaka 2017 na 2018...
  11. Influenza

    JamiiForums Tanzania Kigoma: Mganga wa Kienyeji afungwa jela maisha kwa kulawiti mtoto wa miaka 8

    Mahakama ya Wilaya Kigoma Mkoa wa Kigoma imemhukumu mganga wa kienyeji, Venas Edward (48), mkazi wa Ujiji Manispaa ya Kigoma/Ujiji kutumikia kifungo cha maisha jela kwa kosa la kumnajisi mtoto wa kike mwenye umri wa miaka minane Hukumu hiyo ilitolewa jana na Hakimu Mkazi wa Mahakama hiyo...
  12. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Kusikiliza kilio cha mtoto ni sanaa katika malezi

    Utafiti juu ya zana za mawasiliano ya watoto uliofanywa na R.G.Hopkins na J.K.Green pamoja na mwanasaikolojia John Bowlby unaonyesha kuwa mzazi anapaswa kusikiliza kilio cha mtoto wake ili kubaini mahitaji ya mtoto huyo. Kusikiliza kilio cha watoto siyo tu wajibu kwa wazazi bali pia ni sanaa...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Aliyemuiba mtoto na kukaa naye siku nne, aachiwa huru kituo cha polisi Kiomboi, Iramba

    Wadau wa JF poleni na pilika zetu hizi za kila siku, Hivi karibuni limetokea tukio la kuibwa mtoto wa miaka miwili ktk mji mdogo wa Kiomboi wilayani Iramba. Tukio hili lilitokea eneo la Soweto lenye watu wengi mjini hapo. Aliyemuiba mtoto ni jirani ambaye ni mstaafu serikalini. Baada ya...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Lukuvi aolewa na mtoto wa Mohammed Aboud

    Sijui nani alofuata dini ya mwenziwe au kama wameoana bomani
  15. J

    JamiiForums Tanzania Dr Bashiru: Kuna siku Tanzania itachagua " mtoto wa Ibilisi" kuwa Rais au mbunge kama mtaendelea kuwalealea

    Katibu mkuu wa CCM Dr Bashiru amewakemea viongozi wa mkoa wa Tanga kwa kushindwa kulidhibiti kundi la watoto watukutu na waalifu wajiitao Watoto wa Ibilisi. Dr Bashiru amesema uzembe wa kulilea kundi hilo ukiendelea kuna siku tutapata diwani, mbunge au Rais aliyeasisiwa ndani ya kundi hilo...
  16. Nyendo

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda UGANDA: Mtoto wa miaka 10 amuua mwenzake kwa wivu wa mapenzi

    Polisi wilayani Bududa mashariki mwa Uganda wanamsaka mwanafunzi wa miaka 10 kwa tuhuma za kumchoma kisu mwenzake ambaye alidai kupora mpenzi wake wa miaka 11. Mtuhumiwa huyo, ni mwanafunzi wa Shule ya Msingi Buwali. Polisi walimtambulisha mwathirika huyo kama Sam Watsosi, 16. Watsosi alidaiwa...
  17. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Mtoto kuwashitaki mahakamani wazazi wake kwa kumzaa bila ridhaa yake

    Kijana mmoja Uingereza anakusudia kuwashitaki wazazi wake. Hoja yake ya msingi ni kwanini walimleta kwenye hii dunia yenye shida na mateso kwa starehe zao? Wao kwa starehe zao za mapenzi kwanini wamlete duniani? Nadhani wazazi wana kesi ya kujibu!
  18. Justine Kakoko

    JamiiForums Tanzania Mambo muhimu ya kufanya unapohitaji msaidizi wa kukulelea mtoto

    Kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wa wazazi/walezi kuna kipindi katika maisha yao hulazimika kutafuta wasaidizi wa kuwalelea watoto wao. Wazazi/walezi wengi katika juhudi za kuyafikia mahitaji yao na ya watoto wao hujikuta wanakosa kabisa muda wa kuwapa uangalizi wa kutosha watoto wao hivyo...
  19. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Hadithi: Bila Passport Mtoto Hataingia Nchini

    Alfajiri ya tarehe 1, tulikuwa tumepanga safari ya kwenda nje ya nchi mimi na mke wangu, maandalizi yote ya safari yalikamilika vizuri na tulitarajia kusafiri pamoja na mtoto wetu kipenzi. Tulikuwa tumepanga kwenda nchini Ugiriki katika mji wa Thessaloniki kwaajili ya mapumziko kupisha vuguvugu...
  20. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Anayedaiwa kumuingiza nyeti mtoto mdomoni kuhukumiwa

    Dar es Salaam. Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni Dar es Salaam nchini Tanzania imepanga Januari 20, 2020 kutoa hukumu kwa mshtakiwa Liziki Kessy anayekabiliwa na shtaka la kumwingiza uume wake mdomoni mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka saba ili aunyonye. Kesi hiyo ilikuwa imepangwa kwa ajili...
Back
Top Bottom