mtoto

Mtoto (1 April 1983 – 24 May 2011) was a British Thoroughbred racehorse. In a career which lasted from 1985 until 1988, he ran ten times and won seven races. He showed some promise as three-year-old in 1986, but emerged as a top-class horse in 1987 when he defeated The Derby winner Reference Point in the Eclipse Stakes at Sandown. In 1988, he was the dominant middle-distance horse in Britain, winning a second Eclipse Stakes and taking the King George VI and Queen Elizabeth Stakes.

View More On Wikipedia.org
  1. Emanuel Eckson

    JamiiForums Tanzania Jela Kifungo cha Maisha kwa Kumlawiti Mtoto wa Miaka 9

    Mahakama ya Wilaya ya Temeke imemuhukumu Mkazi wa Chamanzi, Said Wanie (35) kifungo cha maisha kwa kosa la kumlawiti mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka tisa. Pia mahakama hiyo imemuagiza mshtakiwa huyo kumlipa mtoto huyo fidia ya kiasi cha Sh500,000. Kati ya Mei 3, 2020 maeneo ya Chamanzi...
  2. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Changamoto katika malezi ya mtoto kiziwi anapokuwa nyumbani na kwenye jamii

    Ripoti ya Deaf Women Included iliyochapishwa 2021 ilifanya utafiti na kugundua, Asilimia kubwa ya watoto wanaopatwa na changamoto ya uziwi mara nyingi huwa wahanga wa ukatili katika jamii kwa sababu wanaoamua kuwafanyia ukatili hujua hawawezi kusema. Inahitaji ufuatiliaji wa karibu kufahamu...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kwa hili tatizo la chafya kwa mtoto mchanga

    Wakuu habari za kila siku na majukumu ya utafutaji wa kila siku! Naomba msaada, ushauri au tiba! mwanangu ana chini ya wiki moja tangu tumpokee☺️ ila anasumbuliwa na kwikwi inayodumu kwa muda kiasi cha mke wangu kuwa na wasiwasi. Shukrani, nawasilisha.
  4. D

    JamiiForums Tanzania Ujinga wa Hamza usizalishe ujinga wa medani; yaliyotokea yasitufanye tukose weledi. Polisi imepoteza wapiganaji, familia ya Hamza imepoteza mtoto

    Shida ya yote haya ni HAKI NA WAJIBU! Tukilichambua tukio la mauaji ya HAMZA Linatupa taswira ya HAKI NA WAJIBU! Hamza alikuwa ni mtu nzima mwenye familia yake( Huenda alikuwa level ya kutegemewa na si mtoto) Kila mtu ana HAKI Hamza kama kuna jambo lolote baya Aliona linamnyima HAKI yake...
  5. My Son drink water

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro, huyo ni mtoto wa nani?

    IGP Sirro jana umetoa kauli nzito na ngumu mno kutolewa na kiongozi wa aina yako na mtu mwenye umri mkubwa kama wewe na mtu anayeheshimika kwa cheo chake kama wewe. Angalia sana ulimi wako jinsi unenavyo, muombe sana Mungu akupe hekima ili kabla ya kutamka neno lolote hekima ikutangulie. Jana...
  6. Superbug

    JamiiForums Tanzania Huyo mtoto wa ajabu wa Rorya, Yunis Ogot anaetangazwa clouds muda huu ni ku divert attention

    Msitufanye watoto wadogo eti kakaa tumboni miaka mitatu na anatibu kwa kutumia Sala na maji. ==== ‘Mrithi’ Babu wa Loliondo aibukia Rorya Rorya. Wiki chache baada ya kifo cha Mchungaji Ambilikile Mwasapile maarufu kama Babu wa Loliondo, mtoto wa miaka miwili na miezi tisa, Yunis Ogot ameibuka...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Nataka ni-adopt mtoto

    Habari zenu? Husika na kichwa cha habari hapo juu,naombeni video vha kuadopt mtoto yani naazaje hadi nimpate?
  8. mshale21

    JamiiForums Tanzania Manyara: Kijana ashikiliwa kwa tuhuma za kumuua mtoto wa Kaka yake, kumtoa maini ili apike ale

    Manyara! Jeshi la Polisi mkoani Manyara linamshikilia mkazi wa Mtaa wa Silaloda Mji wa Mbulu, Harold Hhando, kwa tuhuma za kumuua mtoto wa kaka yake, Emmanuela Hando (13), kisha kumtoa viungo vya mwili. Inadaiwa kuwa Hhando alimuua mtoto huyo wa Kaka yake kwa kumpasua katikati ya miguu...
  9. Imalamawazo

    JamiiForums Tanzania SoC01 Wanaume tubadilike, Tujenge mazoea ya kuambatana na wenza wetu kliniki na wanavyoenda kujifungua

    Je ulishawahi kujiuliza familia inayoibiwa mtoto inaishi katika mateso ya namna gani? Usiombe yakukute! Ukiweza yaepuke kwa kuchukua tahadhari zote. Sisi tulinusurika kubadilishiwa mtoto akiwa labour. Nitajaribu kueleza kwa ufupi kwa lengo la kufikisha ujumbe. Hivyo nitapunguza utambulisho wa...
  10. Faith Luvanga

    JamiiForums Tanzania SoC01 Kisa cha Kweli: Mtoto Aliyebakwa na Baba yake kwa Mwaka Mzima

    Jioni baada ya kutoka shule, Faraja* aliingia ndani na kuona jinsi vyombo vilivyokuwa vimevurugwa na kuvunjwa. Maumivu ya kumbukumbu za ugomvi wa wazazi wake usiku kucha wa jana yalimfanya ashindwe kuvumilia na kuangua kilio. Kwa bahati mbaya, mama yake hakuwepo nyumbani kumfariji, kwani alikuwa...
  11. ngotho

    JamiiForums Tanzania Alinikataa kaja kunikubali baada ya kupata mtoto

    Mwaka 2012-2015 nilikuwa nchi jirani kwa mjomba wang (yaani kwao mamaangu) nikiendelea na masomo yangu.. Kulikuwepo dada mmoja.. kwa jina ngoja nimpe jina la fatuma .. for privacy. huy mdada nilitokea kumpenda ghafla.. ilibidi nimwambie ukweli kuhusu hilo. ila alinikatalia na kunipotezea...
  12. mama D

    JamiiForums Tanzania Ufadhili kwa mtoto wa kike wa kidato cha kwanza (form one)

    Habari ya jumatatu wandugu. Hii nafasi ni kwa watoto wasiokua na wazazi/yatima na waliokua kwenye mazingira magumu Unatakiwa kufika na mtoto tarehe tajwa saa moja na nusu asubuhi - Zingatia muda Tusambaze ujumbe huu tukaguse maisha ya watoto wetu Na Mungu atubariki🙏
  13. Z

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mke wangu kabadilika tangu Shemeji yake ambaye ni mtoto wa mjomba wangu aje

    Mke wangu alianza Kama kuwa na matani mengi yasiyo ya kawaida na shemeji yake. Nikawa mzito kuchukua hatua nikiamini anajitambua..ikafika hatua sasa usiku hanipi penzi yapata wiki 2 anadai hana feelings mara kachoka. Kiujumla kila story tunayopiga lazima amtaje huyo ndugu yangu. Nini maana yake?
  14. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Performance gani ya mtoto kwenye movie ulikubali sana?

    Kuna watoto wako talented sana. Naikubali sana performance ya Enola kwenye movie waterworld 1995.
  15. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa kike kuitikia naam imekaaje

    Mfano unamwita Monica ye anaitikia naam hivi Ni sahihi wazee? mtoto wa kike SI inatakiwa aseme abee Mara zote. Thread tayari.
  16. M

    JamiiForums Tanzania Miezi 9 imetimia lakini mtoto hajageuka tumboni

    Habari wandugu! Poleni kwa majukumu! naomba kujua au kueleweshwa kama kuna madhara kutogeuka kwa mtoto baada ya miezi kutimia. Tulifanya utrasound dk akatujuza kwamba mtoto hajageuka na hamna madhara yoyote atageuka tu! Sa sjaelewa vizuri, anatutia moyo au la! Nina hofu sana jamani.
  17. N

    JamiiForums Tanzania Mapenzi ya shule: Nilipata mtoto nikiwa Sekondari

    Habari waungwana, Nawasimulia kwa ufupi kisa changu cha mapenzi ya utotoni ila naanzia nyuma kidogo. Nilipokuwa kidato cha pili nilikuwa naendela vyema tu na masomo japo sikuwa nafaulu sana, nilikuwa mpole sana na mkimya mno. Siku moja Mwalimu wa kiswahili akasema wanataka kuanzisha kikundi...
  18. XII Tz

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kumlaza mtoto upande mmoja huathiri shape ya kichwa?

    Habari wakuu, Husika na kichwa hapo juu, kuna mwana upande mmoja wa kichwa chake slightly umebonyea kuanzia katikati ya kichwa mpaka kwenye komwe. Je, ni kweli hii husababishwa na kulazwa upande mmoja pindi unapokua bado kichanga? Na je, kuna njia yoyote inayoweza kutumika kurudisha shape ya...
  19. Mwakitombeo

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria: Mazingira anayolelewa mwanangu wa mwaka mmoja si salama nataka nimchukue

    Mwaka 2019 mwezi wa tano nilibahatika kuzaa na binti mmoja ambae nilimpenda sana ila tulikuja kushindwana baada ya kuwa na tabia za kiswahili na kuwa mtu wa starehe yale maisha yalinishinda tukatengana. Nikawa natoa huduma za mtoto kipindi yupo kwao kitu kilicho nifanya mpaka naandika uzi...
  20. BAAJUN POET

    JamiiForums Tanzania SoC01 Ukatili na Unyanyasaji wa Kingono kwa watoto na vijana: Madhara na jinsi ya kukabiliana na vitendo

    Makala hii ikufikie wewe Mzazi, Mlezi, Kaka, Dada na Ndugu wote ambao mnao wadogo zenu au watoto wenu ambao wapo mashuleni au Vyuoni. Na bado hujui kuhusiana na jambo kubwa na la hatari linalowasibu ambalo ni tishio kwa maadili yao, utu wao na maisha yao kwa ujumla. Nianze kwa kunukuu ya kuwa...
Back
Top Bottom