mtoto

Mtoto (1 April 1983 – 24 May 2011) was a British Thoroughbred racehorse. In a career which lasted from 1985 until 1988, he ran ten times and won seven races. He showed some promise as three-year-old in 1986, but emerged as a top-class horse in 1987 when he defeated The Derby winner Reference Point in the Eclipse Stakes at Sandown. In 1988, he was the dominant middle-distance horse in Britain, winning a second Eclipse Stakes and taking the King George VI and Queen Elizabeth Stakes.

View More On Wikipedia.org
  1. hopetumaini

    JamiiForums Tanzania Nimesababisha depression kwa mtoto wa watu

    Habari za jioni wapendwa. Mimi ni mtumishi wa afya katika moja ya hospitali zilizoko jiji la Makalla. Mwanzoni mwa wiki iliyoisha alikuja mrimbwende mmoja kumuuguza rafiki yake aliyekua kalazwa hospitalini kwetu. Nilimwelewa sana huyu mlimbwende nikajisemeha huyu mtoto siwezi muacha hivihivi...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Bhoke Nyerere ni mtoto wa nani kwenye familia ya Hayati Baba wa Taifa?

    Mjukuu anayeambatana na Mama wa Taifa kwenda kutoa pole kwa Mama Janeth Magufulu yamkini ni mjukuu mwenye malezi na makuzi Kama ya mama wa Taifa. Namzungumzia Bhoke Nyerere aliyeambatana na Mama Maria Nyerere kwenda kwenye familia ya Mama Janeth Magufuli kumkabidhi zawaidi ya kitenge lakini pia...
  3. Ferruccio Lamborghini

    JamiiForums Tanzania Azam FC ni mtoto wa tajiri anayemtesa mzazi wake

    FIKA Chamazi ukajionee uwekezaji wa Azam FC. Eneo la zaidi ya eka 25 lililosheheni miundombinu ya kumfanya Cristiano Ronaldo au Lionel Messi awe mfungaji bora wa Ligi ya Mabingwa Ulaya na kushinda Ballon D’Or. Hivi sasa wanabadilisha taa zao za uwanjani na kuweka za kisasa za LED zitakazofanya...
  4. rich1

    JamiiForums Tanzania Kwenye ndoa mkikosa mtoto, utasumbuana na mke wako miaka yote?

    Eti ni kweli kwenye ndoa mkikosa mtoto, mwanamke utasumbuana nae mpaka siku ya mwisho?
  5. Ushimen

    JamiiForums Tanzania Kituo cha redio kimeweka wimbo usio na staha, nimekasirika maana nilikuwa na mtoto wangu

    Haya ni mambo ya kipu..avu sana...😠, Tena nimekasirishwa sana na hii radio station iliopiga hii nyimbo nikiwa na binti yangu kwenye mkebe..☹️. Yaani hawa mbwa wamesababisha nime disconnect kabisa mziki kwenye gari yangu..😕 shenzi type kabisa...😡 Mtoto anapenda carrot, alivyo wa moto amenipiga short
  6. beth

    JamiiForums Tanzania Malezi: Jinsi Mzazi anavyoweza kumsaidia mtoto kukumbatia upekee wake

    Mruhusu achague majukumu yake ya ziada: Wakati mwingine kile ulichopanga kwa ajili ya Mtoto sipo moyo wake ulipo. Kila mtoto ana utofauti wake, mpe uhuru Usijaribu kumbadilisha: Kama wewe ni Mzazi wa Mtoto mwenye kitu cha kipekee, sherehekea utofauti wake na mkubali kama alivyo Chukulia makosa...
  7. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Meghan na Harry wamebahatika kupata mtoto wa pili ni binti amepewa jina Elizabeth Diana

    Meghan amejifungua salama mtoto wa kike aliyepewa jina Lilibet Diana Winsor.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Ananinyima tendo la ndoa kwa kusingizia analea mtoto

    Naombeni msaada wa mawazo hivi ni kawaida kwa mwanamke kumnyima mwanaume unyumba miezi mitatu mfululizo kwa kisingizio cha kulea au ndo naibiwa kimya kimya. Naombeni ushauri wa ki utu uzima kabla sija mrudisha huyu Binti kwao.
  9. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mwalimu adaiwa kumpa mimba mtoto wa mwalimu mwenzake

    Mwalimu wa shule ya Sekondari Lugulu iliyopo Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro anadaiwa kumpa ujauzito mwanafunzi wa kidato cha tatu, mwenye umri wa miaka 17 na kisha kutokomea kusikojulikana. Mei 27 mwaka huu shule hiyo iliwapima wanafunzi wote wa kike ujauzito na mwanafunzi huyo alibainika...
  10. Top gun maverick

    JamiiForums Tanzania Nashukuru ushauri wa JF nimepata mtoto wa kike

    Husika na kichwa cha habari hapo mnamo mwaka jana niliweza post humu kuwa nimempa mimba binti wa chuomwaka wa pili mimba. Wengi humu walitoa ushauri kwamba nisije jaribu kumwambia huyo binti atoe hio mimba wala nisikatae majukumu kwa sababu mwanakulitafuta mwana kulipata hivyo nikafuata...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Mwongozo wa kunyonyesha Mtoto tangu anapozaliwa

    Kwa mujibu wa Shirika la Afya duniani (WHO), Mtoto anapaswa kuanza kunyonyeshwa saa moja baada ya kuzaliwa hii husaidia maziwa ya mama kuweza kutengenezwa kwakuwa mtoto anapowekwa kwenye kifua cha mama huchochea Hormones zinazozalisha maziwa. Pia husaidia mtoto kupata choo cha mwanzo ambacho...
  12. instagram

    JamiiForums Tanzania Mwanamke aliyekuacha akazaa na mtu mwingine vs mwanamke mpya mwenye mtoto wa mtu mwingine

    Kuna jamaa anaomba ushauri kwani kwa sasa yupo na dailema kuna manzi wawili anafikiria kuoa. Manzi wa kwanza alikua nae miaka kadhaa nyuma kwa miaka kadhaa then manzi huyo akapata jamaa mwingine akamuacha msela akazaa na jamaa mwingine kisha huyo jamaa mwingine wakatemana manzi akabaki na mtoto...
  13. beth

    JamiiForums Tanzania Kibaha, Pwani: Mtoto ajinyonga baada ya mama yake kumtuhumu kuiba Tsh. 5000

    Mtoto wa kike mwenye miaka 14 mwanafunzi wa darasa la saba Shule ya Msingi Mtongani amejinyonga hadi kufa nyumbani kwao Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha mkoani Pwani baada ya mama yake mzazi kumtuhumu kuiba Sh5,000. Akizungumza leo Jumatano Mei 26, 2021 Kamanda wa polisi mkoani Pwani, Wankyo...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Simba SC ni baba anayeishi na mtoto snitch msaliti wa hali ya juu

    kwa mara ya pili in 3 years ligi ya Tanzania inaenda kuingiza teams 4 Afrika leo hadi biashara na kmc wanapambania nafasi ya 4 sababu lolote linaweza kutokea,lakini anayesababisha yote hayo anapigwa vita kwelikweli yaani ni vita kweli soyo ya maneno tu ni ya vitendo: Mwaka juzi kuna team...
  15. Sam Gidori

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mombasa: Kondakta wa basi la shule mbaroni kwa kudaiwa kumbaka mtoto wa miaka 5

    Polisi katika Mji wa Mombasa nchini Kenya wanamshikilia kondakta wa Basi la Shule kwa madai ya kumbaka mwanafunzi mwenye umri wa miaka mitano alipokuwa akimpeleka nyumbani kutoka shule. Mwanafunzi huyo wa Shule ya Msingi Maryjoy mjini humo alikuwa akirudishwa nyumbani, na anadaiwa kubaki peke...
  16. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Chemsha bongo: Kusafiri baba na mtoto wa kike wa miaka 10

    Salaam Naleta mada hii kama chemsha bongo. Huwa natafakari Sana. Je kama Baba napenda mwanangu wa pekee wa kike mwenye umri Kati ya miaka minane na kumi nambili, napenda kwenda nae safari ya mbali kwa sababu mbalimbali ukiwa ni pamoja na holiday tu. Napenda kusafiri na mwanangu, pengine...
  17. Dr Msweden

    JamiiForums Tanzania Nilichapa bakora mtoto wa jirani akafa

    Baada ya kumaliza diploma yangu ya clinical medicine katika chuo cha mafinga ile nimefika tu mtaani siku ya pili nikakuta watoto wawili wa wapangaji wetu walikuwa wanafanya mapenzi kinyume na maumbile umri wao ulikuwa miaka 10. Nilichukua bakora nikawachapa ,bakora 20 kila mtu wakati natoa...
  18. F

    JamiiForums Tanzania Kisa cha mapenzi: Kama asingetumia kondomu huenda angelea mtoto asiyewake au kupata maradhi

    Kevin alikua akifanya mapenzi na Aisha wakitumia kondomu. Waliendelea tendo kwa muda wa dakika tano. Ghafla Aisha akamwambia kevin avue mpira ili waendelee kufanya mapenzi bila mpira wa kondomu. Kwa vile Kevin hakujua hali ya Asha ya UKIMWI na pia hakutaka kumpa mimba. Kevin alikataa...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Siku ya kwanza kukutana na mtoto wa kishua...

    Basi bwana kwa vile nilikuwa na chat chat naye mtandaoni na kutumiana ma picha ya mahaba kwa muda mrefu basi nikaona itabidi nionane naye mtoto wa kishua, sikubali aiseee, toto rangi ya chungwa, ziwa saa sita unusu, toto slim fit, figure number 8, toto macho yanaitaa, kiuno cha nge nyuma...
  20. USSR

    JamiiForums Tanzania Profesa Ndalichako: Wanafunzi waliopata mimba kuendelea na masomo kwa njia mbadala

    Wizara ya Elimu imesema kuwa inaandaa utaratibu wa kuruhusu wanafunzi waliobeba mimba wakiwa masomoni kuendelea na masomo kwani ni haki yao ya msingi.Haki hiyo ya msingi inatajwa kuzuiwa kipindi cha uongozi wa awamu ya tano. Profesa Joyce Ndalichako amesema haya... Kwenye upande wa watoto wa...
Back
Top Bottom