mtoto

Mtoto (1 April 1983 – 24 May 2011) was a British Thoroughbred racehorse. In a career which lasted from 1985 until 1988, he ran ten times and won seven races. He showed some promise as three-year-old in 1986, but emerged as a top-class horse in 1987 when he defeated The Derby winner Reference Point in the Eclipse Stakes at Sandown. In 1988, he was the dominant middle-distance horse in Britain, winning a second Eclipse Stakes and taking the King George VI and Queen Elizabeth Stakes.

View More On Wikipedia.org
  1. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Mzazi umejipangaje kumnusuru mtoto wako anaekaribia kubalehe kwa huu utandawazi?

    Suala la ukuaji wa watoto kwa asilimia kubwa sisi wazaz ndio inabidi tuhusike pakubwa , kuwapa Watoto wetu elimu na miongozo katika hiki kipindi ni muhimu sana,tukigoma kuitoa sisi wazazi basi tutambue ya kwamba watu ambao sio sahihi ndio wanaweza kuwa walimu wake. Ni haki ya mtoto atambue kila...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kama una biashara na unataka kuwaachia watoto wako wasimamie, masuala ya fedha muachie mtoto wa kike

    Mtoto wa kike tamaa yake kubwa itakuwa ni kupendeza na kuwakoga wenzake. Kama atachomoa hela za kampuni itakuwa ni kwa ajili ya nguo, vikuku vya dhahabu na handbags. Mtoto wa kike kama ni mpenzi atakuwa nae mmoja na ni mara chache sana atamshirikisha katika mambo ya pesa. Mtoto wa kiume...
  3. G-Mdadisi

    JamiiForums Tanzania Pemba: Mtoto anayewaka moto akiingia anyanyapawa kwa kuitwa “washawasha”

    Ukiona mtu mzima analia tambua kabisa kwamba kuna jambo. Faki Hamad Mbarouk mkaazi wa mtaa wa Msigiri uliopo Wilaya ya Chake Chake Mkoa wa Kusini Pemba anakabiliwa na mtihani mkubwa ambao umemfanya uso upoteze furaha yake usiku na mchana kutokana na mwanae kukabiliwa na mkasa wa ajabu wa kuwaka...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Elimu ya Tanzania imekosa ushawishi wa kisiasa, haina motisha kwa mtoto wa Tanzania

    Ushawishi, motisha ndo mambo ambayo yanainua hali na matamanio ya mtoto kusoma na mzazi kusomesha. Wanasiasa na serikali Elimu mnaepeleka wapi kama mambo haya mnayafanya nyinyi, Ajira za Ualimu mnapendelea kuajiri certificate zaidi kuliko ngazi za degree. Matangazo ya ajira za maafsa...
  5. JourneyMan

    JamiiForums Tanzania Sina Amani: Mtoto wetu Njiti (Premature) halii

    Kama heading inavyoeleza hapo juu, Leo ikiwa ni siku ya 3, Mwenetu amezaliwa na weeks 32/miezi 7 na kdg, Physical yuko sawa, ana 3.2kg. Alipozaliwa tuu wakamuweka kwenye Mashine, baadae akaweza kupumua mwenyewe wakamtoa wakamhamisha kwenye chumba cha watoto njiti (premature) kwa ajili ya joto...
  6. Zozotoli

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu anataka kunikabidhi mtoto wake aliyezaa na mwanaume mwingine

    Leo nime amua kuja uku kuomba ushauri ndugu zangu Kuna mwanamke ambaye nimependana naye na mwanamke uyo ana mtoto. Alipigwa mimba na msela fulani alafu msela aka kimbia zake. Demu akachukua mimba na kuibeba miezi 9 na kuzaa mpaka sasa mtoto ana miaka 3 msela ajui mtoto wake wala ajawahi mtumia...
  7. Bam1

    JamiiForums Tanzania MSaada: Mtoto wangu anapata joto kali

    Habari Doctors naomba msaada wenu, Mtoto wangu anaumwa siku ya sita mpaka sasa lakini anachoumwa ni joto kali la mwili hospital 🏥 wakipima anakuwa na 38.8 za joto na vipimo vyote wamepima Hana tatizo lolote. Lakini mama yake ana mimba ya miezi nane sasa watu wananiambia wenda ikawa joto la...
  8. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Kigoma: Mtoto adai urithi kwa baba yake mahakamani

    Ama kweli ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni. Wakati baadhi ya wazazi wakifurahia mafanikio ya watoto wao, hali ni tofauti kwa Mzee Kharid Segeleje (80), aliyefikishwa mahakamani na mwanaye wa kumzaa. Mzee huyo ambaye ni mkazi wa Kijiji cha Mwamgongo wilayani Kigoma, amefikishwa Mahakama...
  9. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Nimetoa mahari ya Tsh. laki nane (8) nyumbani kwao na mzazi mwenzangu na wamenikabidhi binti yangu (mwanangu) ili nimsomeshe

    Wakuu nilipata kuzaa na mdada mmoja miaka kama mitatu hivi imepita. Kiukweli nimekuwa na mahusiano mema tu na mwanamke huyu kwa muda wote japo mie nimekuwa mtu wa harakati za hapa na pale na kutulia kwangu nyumbani ilikuwa shida. Kutokana na hali hiyo ilibidi mzazi mwenzangu aendelee kuishi...
  10. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Aliyemnyonga mtoto wa mwaka mmoja Arusha asema sio tukio lake la kwanza

    TUKIO la mtoto wa mwaka mmoja na nusu kudaiwa kunyongwa hadi kufa na msichana wa kazi limechukua sura mpya baada kuhusishwa na imani za kishirikina huku ikidaiwa kuwa ni tukio lake la tatu. Wakizungumza jana na Nipashe kwa nyakati tofauti, majirani wa eneo la tukio walizungumzia mazingira ya...
  11. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Arusha: Mtoto anyongwa na Mfanyakazi wa ndani

    Mtoto wa mwaka mmoja, Tifan Osward wa Olasiti Arusha amenyongwa na msaidizi wa kazi za ndani aliyeajiriwa miezi miwili iliyopita. Msaidizi huyo ambaye ametokea Mkoa wa Mara aliajiriwa na wazazi wa mtoto huyo miezi miwili iliyopita. ACP Justine Masejo, Kamanda wa Polisi Arusha amesema tukio...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Hivi Ali Kiba alimaanisha nini alipoimba kwa kusema 'Ushamba mwisho kwa mtoto wa Kariakoo'?

    Wakulungwa inakuwaje? Kwa wale mliowahi kukaa na kuishi mitaa ya kariakoo au mpaka sasa mnaishi hapo Kariakoo naombeni mnijuze kwa wale mnaojua hii kauli ya watoto wa Mjini akina KINGKIBA wa maeneo ya kariakoo wanayopenda kutumia kuwa "USHAMBA MWISHO KWA MTOTO WA KARIAKOO" wana maana gani maana...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Mtoto kaibiwa baiskeli

    Mtoto mmoja aliibiwa Baiskeli yake akaenda Police, akaulizwa unahisi ni nani aliekuibia? Mtoto akajibu: = Nahisi ni WAZAZI wangu, Police wakamuuliza kwanini unawashuku? Akajibu: = Jana usiku nilimsikia Mama akimuuliza Baba vipi IMESIMAMA? Baba akamjibu ndiyo PANDA BASI! Ikalie uichochee...
  14. Ultimate

    JamiiForums Tanzania Mwanao anaongoza darasani au alikua anaongoza, nini ulifanya kufanikisha hilo?

    Hello bosses, Kama mwanao anaongoza darazani angalau nafasi 10 za juu. Je, nini ulikifanya kufanikisha hilo?, Mtoto anapata shule nzuri, tuition za kutosha, muda wa kupumzika, homework n.k lakini bado maendeleo yake ya shule sio ya kuridhisha.
  15. B

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Mtoto ateketea kwa moto wakati wa operesheni ya Kiserikali

    Habari hii ni kutoka Kaliua, Tabora ambako wale jamaa wasiokuwa na chembe ya utu walikuwa wametia timu kwenda kufanya yao. Unachoma vipi nyumba ambayo wanaweza kuwemo ndani watoto wadogo, wazee au wasiojiweza? Piga picha kumwona mtoto wa miaka 4 yuko je. Eeh mola wetu umrehemu malaika wako...
  16. Pisi kali

    JamiiForums Tanzania Nilifiwa na mwanangu wa kwanza, namshukuru Mungu nimepata mtoto mwingine wa kiume

    Nianze kwa kumshukuru Mungu hadi kufika hapa. Kesho ni 40 ya kifo cha mwanangu my boy, tangu kufariki my first child my queen rest well my angel [emoji1431][emoji1431] lakini nimepata tena a health baby boy na kesho ndio 40 yake. Karibuni sanaaaaaaaa location Mwanza[emoji12][emoji12] Niko na...
  17. Kilawo

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri: Mke wangu amejua kuwa nina mtoto kwa mwanamke mwingine

    Tangu nimeoa saizi natimiza miaka saba ndani ya ndoa yetu na tumebahatika kupata watoto wawili. Lakini hapa karibuni mke wangu amepata habari kuwa nina mtoto mwingine ambaye nimezalia kwa mwanamke mwingine sasa ananisumbua sana anataka asepe kwao. UPDATE:jamani niwashukuru sana kwa ushauri...
  18. The Garang

    JamiiForums Tanzania Namuonea huruma huyu dada, nilitaka urafiki wa kawaida na si mapenzi

    Nawasalimu kwa jina la JF, shuhuda ziendelee. Wakuu imepita takribani miezi kadhaa hivi tangu ni fahamiane na huyu dada, nikiri kwa hii hali iliyofikia mie ndiye wa kulaumiwa. Ilikuwa majira ya jioni nimetoka pindi nikechoka nikaona sio mbaya nitafute mtu stranger nipige naye story nimzingue...
  19. MKANDAHARI

    JamiiForums Tanzania Harufu kali ya mkojo wa mtoto inasababishwa na nini?

    Habari za humu ndani ndugu wataalam, Kama kichwa kinavyosomeka hapo juu, nina mtoto wa mwaka na nusu, kuna kitu nimekinotisi kwenye mkojo wake. huwa mkojo wake unakuwa na harufu kali sana kuliko kawaida. Kwa mfano akijikojolea tu ndani ya dk zisizozidi 2 mkojo wake unatoa harufu kali sana...
  20. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Maneno mabaya ambayo hayafai kumwambia Mtoto wako

    Mara kadhaa wazazi wamekuwa wakiwaambia watoto wao maneno mbalimbali wakati wakiwa na furaha au hasira. Ipo nguvu kubwa kwenye maneno ya kutamkiwa ambayo wazazi wengi hawaifahamu. Kwa hakika maneno yanaweza kujenga au kubomoa maisha ya mtoto kwa kiasi kikubwa. Hivyo fahamu maneno ambayo...
Back
Top Bottom