Naomba ushauri: Mke wangu aliondoka na mtoto sifahamu anapoishi sasa, hataki kumleta mtoto nimuone

Nisian

Member
May 9, 2021
9
20
Habari za weekend wana JF

Nilioa mwaka 2016, na tukabahatika kupata mtoto 1 wa kiume mwaka 2017 ambae ana miaka 4 kwa sasa na sehemu ya makazi yetu ni hapa Mbeya. Mapema 2020 mke wangu alianza kubadilika sana baada ya yeye kupata biashara nzuri ukilinganisha na ile aliyokuwa anafanya mwanzo.

Katika mabadiliko yake, alihitaji na yeye kwenda kuishi maisha ya peke ake. Nilitafuta suluhu sana za kuweka ndoa sawa ila hakukuwa na mafanikio na hatimae mwezi wa 6 mwaka huo 2020 aliondoka na kwenda kuanzisha maisha yake pamoja na mtoto.

Wakat anaondoka hakusema anapoenda kukaa na mtoto na mpaka sasa sipajui anapokaa na mtoto japo yupo Mbeya hapa hapa. Hayuko tayari kunambia anapokaa mbali na kuhitaji kupajua kwa ajili ya kupata access ya kumuona mtoto wangu. Kila nikiomba aniletee au nifate mtoto nikae nae hata weekend analeta sababu na anaweza kukuahidi kumleta ila ikifika muda analeta sababu na hutomuona tena.

Mtoto akiumwa siambiwi mapema, ila nakuja kuambiwa anapokuwa amelazwa hospital na ndo hapo namuona mwanangu. Tangu aondoke kwangu, mtoto amelazwa hospital mara 3 na mara zote hizo nakuja kuambiwa kashalazwa, naenda kumuona na kumhudumia mpaka anaruhusiwa, akisharuhusiwa tu ndo humuoni tena. Nimeshajaribu kuongea nae juu ya umuhimu wa sisi kumpa malezi ya wazazi wote hata kama hatuishi na mtoto pamoja, kumpa mtoto nafasi ya kuwa ananiona au ananitembelea lakini hakuna matokeo chanya. Cha kusikitisha, mtoto anamruhusu kuwatembelea marafiki zake tena umbali mrefu na hata kwa ndugu zake mtoto anaenda hata kukaa baadhi ya siku ila siyo kumruhusu kuja kwangu au mm kumtembelea mtoto.

Sasa kama mwanaume mwenye hisia na moyo usio wa chuma na mwenye maumivu, nimechoka na haya maisha ya kuishi na mtoto wangu kwa kumuona kila anapolazwa hospital. Nahitaji kufanya maamuzi magumu.

Akilini mwangu kwa sasa nna mawazo mawili ambayo nahitaji mojawapo kufanyia kazi, moja ni kumsusia mtoto kabisa abaki nae milele au niende ngazi za sheria ambazo wataweza kunisaidia hili swala kwa kuzingatia sheria ya malezi ya mtoto hasa pale wazazi wanapotengana.

Naomba mawazo yenu ndugu zangu wenye uzoefu na changamoto hizi angalau nijue naamua kwenda mbele na wazo gani hapo.

Nitapitia ushauri wenu kwa ajili ya msaada.

1620631366883.png

Pole sana.

Hapo inaonyesha wazi huyo mwanamke ana mwanaume mwingine ndio maana hataki uende.

Cha muhimu jitahidi uende kwenye ngazi za sheria ili usije ukamkosa kabisa mwanao maana huko kulazwa kila wakati sio kawaida kabisa, huwezi jua mwanao anapitia yapi.
 
Duuhh kuna wanaume mnanyanyaswa kijinsia balaaa.

Kwa kuscan maelezo yako chapchap

Kuna haya mawili

Mtoto sio wako ( hiii uhakika )

mtoto ni wako ila hakuwah kukupenda.

Kwann najiamin kusema ivi???.

Bila kujalisha vipato vyenu vipoje, wanawake wenye watoto, hupeenda kuishi na wazazi wenzio ,labda ,labda itokee kuna Jambo ulomfanyia unalofanya ambalo alijaribu sanaaaa kukubadilisha ila akashindwa akaamua kusepa..

Nahapa hata kma angesepa, bado uhakika wawewe kumuona mtoto ungekua mkubwaaa sana kuliko huu wakutafuta na tochi.

Nini ufanye???? Achana na mambo ya Polisi n.k, utaabishwaaa tu, maana demu anaweza sema mtoto sio wako ikakuumiza sana.

Ni ndoa au njoo nikuvute.

Kivyovyote vile ilivyo... HUYO MWANAMKE SIO MTU SAHIHI KWAKO .

mpotezee

Mpotezee

Mpotezee

Mpotezeee

Achana na mambo ya kumuulizia mtoto sijui nn

Achaaaaaaaaa

Futa namba yake wala usitafute kujua yupo wapi, anatombwa nanan?? Mtoto anaishije .

Achaaaaaaaaa, Kikubwa na cha msingi kama wazazi wako hujawaweka wazi, au wazazi wake hujawaweka wazi.... Wambieee jamaaan maione nipo kimya, nina mwaka sasa siishi na mke wangu, aliamua kuondoka bila sababu.

Alafu baada ya hapo fanya maishaaa

Mimi sijui sijui.kwakweli vile nisivyojua kubembeleza

Babakeee, ningekua nmeshaoa tayari.
 
Kabla ya kusoma huu ushauri nilikua nawaza hivi ila mwenzangu kaandika vizuri zaidi kifupi huyu mtoto si wako kwa 95% nini ufanye kwa sasa fanya mambo yako.

Au njoo in box
 
Pole Dogo nakushauri nenda POLISI kuna kitengo cha Jinsia pale watamwita Mkeo na kushauriana nanyi wote, km kujua mtoto ni wako watatoa idhini ya kupima DNA kwa lazima watachukua vinasaba vyako na vya mtoto, hatua nyingine nenda wa wazee wa kwake kashtaki na tatu nemda kwa wazee waliofungisha ndoa yenu
 
Usikubali kirahisi rahisi kumpoteza mwanao, inaonyesha huyo mwanamke ni limbukeni wa maisha,itakuwa kapata mwanaume mwingine anakuona wewe sio wa hadhi yake,na vile anavisent basi anaona anaweza kumlea mtoto bila wewe,fanya juu Chini mtafute kwa mara ya mwisho ongea nae serious na usiwe na maneno mengi muulize kama mtoto ni wako au sio wako, akisema ni wako mwambie unataka kila weekend aje kwako.

Akianza kujing'ata ng'ata mwambie akupe ukae nae mwenyewe, akizingua watafute wazazi wa huyo mwanamke waambie adhma yako ni kumuona mtoto kila weekend au kumchukua jumla jumla, kama ni wazazi wenye busara wataongea na binti yao na mambo yatakwenda vizuri ukiona njia zote mbili zimefeli,Inua mikono juu mshukuru Mungu kwa kukuondolea huyo mwanamke maishani mwako,mtakie maisha mema na ulinzi wa Mungu mwanao huko atakako kuwa akiwa mkubwa atakutafuta mwenyewe.

Usisahau kuwa dunia imeharibika sana imeripotiwa mara kadhaa ma baba wa kufikia wamewafanyia ukatili wa kingono watoto.fanya jitihada ya kumuweka karibu mtoto ikishindikana basi.
 
Nenda polisi kachukue RB ya kupoteza mke na mtoto.Hata kama mtoto ukiambiwa sio wako lakini mke ni wako.

Akija polisi fanya mambo ya kuisha ila usikubali kurudiana na huo Ukimwi,balsa,mikosi na usaliti mkubwa.

Ila kama hakua mke alikua mpangaji mwenzio hapo pia hata polisi atakumwaga maana anaweza akasema hamjaoana na mtoto sio wako.
 
Duuhh kuna wanaume mnanyanyaswa kijinsia balaaa.

Kwa kuscan maelezo yako chapchap

Kuna haya mawili

Mtoto sio wako ( hiii uhakika )

mtoto ni wako ila hakuwah kukupenda.

Kwann najiamin kusema ivi???.

Bila kujalisha vipato vyenu vipoje, wanawake wenye watoto, hupeenda kuishi na wazazi wenzio ,labda ,labda itokee kuna Jambo ulomfanyia unalofanya ambalo alijaribu sanaaaa kukubadilisha ila akashindwa akaamua kusepa..

Nahapa hata kma angesepa, bado uhakika wawewe kumuona mtoto ungekua mkubwaaa sana kuliko huu wakutafuta na tochi.

Nini ufanye???? Achana na mambo ya Polisi n.k, utaabishwaaa tu, maana demu anaweza sema mtoto sio wako ikakuumiza sana.

Ni ndoa au njoo nikuvute.

Kivyovyote vile ilivyo... HUYO MWANAMKE SIO MTU SAHIHI KWAKO .

mpotezee

Mpotezee

Mpotezee

Mpotezeee

Achana na mambo ya kumuulizia mtoto sijui nn

Achaaaaaaaaa

Futa namba yake wala usitafute kujua yupo wapi, anatombwa nanan?? Mtoto anaishije .

Achaaaaaaaaa, Kikubwa na cha msingi kama wazazi wako hujawaweka wazi, au wazazi wake hujawaweka wazi.... Wambieee jamaaan maione nipo kimya, nina mwaka sasa siishi na mke wangu, aliamua kuondoka bila sababu.

Alafu baada ya hapo fanya maishaaa

Mimi sijui sijui.kwakweli vile nisivyojua kubembeleza

Babakeee, ningekua nmeshaoa tayari.
Mtoto nina uhakika ni wangu, kuanzia sura anavoonekana ni copy yangu pamoja na kurithi baadhi ya tabia. Ni matatizo ya wanawake tunaooa na kuzaa nao tu
 
Ila kama pia anakuita hospital wakati mtoto anaumwa kwanini usimchukue ukaondoka nae tena ukidunda kama kingkong yani sio kwakuficha. Hapo atakuja kumfuata na huyo bwanaake na utawapa za chembe wote.
 
Sidhani kama mtoto ni wako, wanawake ni viumbe wa ajabu sana wanapokua na mission zao.
 
Mkuu kwani ulikuwa na mbegu moja tu!?

Huyo mwanamke ameshajua kwake wewe ni dhaifu ndio maana anakugeuza geuza kama samaki.

Fanya hivi...

Kaa kimya kabisa, NAMAANISHA KABISA. Usiulizie hali ya mtoto wala usitume matumizi.

Ikitokea siku ameumwa akalazwa (japo hatuombei) akikupa taarifa kaa kimya. Endelea na shughuli zako kama hujasikia lolote.

Inawezekana mtoto si wako, au ni wako ila ulioa limbukeni ambae ameanza kuzijua pesa ukubwani. Limbukeni wa maisha.

Funga vioo, kama ni mtoto ni wako mama yake atakutafuta au mtoto mwenyewe akikua atakutafuta.

Achana na habari za ustawi wa jamii, kama mtoto zalisha kwingine.
 
Hivi kama hali ndio hivi ..ni nini kinachonifanya nitamani maisha ya mahusiano...Dah pole sana mleta mada sina cha kukushauri zaidi ya kukupa tu pole uvuke salama kwenye huo mtihani.
 
Damu haipotei... Acha karma ifanye kazi yake, tafuta mke upate mtoto mwingine.. We ng'ang'ana tu ipo siku utajua mwanamke mpumbavu huua ili amfurahishe hawara.
 
USHAURI DUME!! Kaa nae chini kwa mara ya mwisho mueleze unahitaji jibu moja kua atakupatia muda na mtoto au sio tena fanya hivo huku ukirekodi mazungumzo chochote atakachokwambia kihifadhi! Kwenye frash au popote! Akikataa achana nae na usiulize tena futa mawasiliano kila kitu vaa moyo chuma kbs!

Usimtafute hata kwa bahati mbaya! Ishi maisha yako mtoto akikua atakutafuta akikuuliza why ulikua kimya mpe ushahidi wa juhudi ulizofanya! Mwaka 2006 ilinitokea nilijitahidi bibi mtu akazingua hapo mtoto alikua na miaka sita tu nikakata mguu no sim no kamsalimie mtoto alikuja kunitafuta baada ya usumbufu mkubwa nikashika usukani kumsomesha hadi saaa anamaliza form six

Alipokua form two akaniuliza ilikuaje ukaniacha kwa mama nikamweleza bibi yako alileta upuuzi na mie mwanaume sioangiwi cha kufanya kwa mtoto wangu! Akanielewa hadi leo tupo peace!
 
Back
Top Bottom