Amber Lulu aonesha sura ya mtoto wake kwa mara ya kwanza

Quavohucho

JF-Expert Member
Aug 30, 2020
753
1,881
Video vixen na msanii Amber Lulu ampost kwa Mara ya kwa mtoto wake. Hiyo ni baada ya week chache zilizopita kujifungua, mtoto huyo ameanza kupokea deals za matangazo mbali mbali,

Mtoto Huyo ambae baba ake ajulikani ameanza kula shavu za kuwa brand ambassador wa kampuni za bidhaa za watoto,

Wadau kadhaa wa mitandao ya kijamii wamenda mbali na kusema mtoto Huyo anaweza kua ni mtoto wa( ember bortion ) wengine wakidai kazaa na sponsor

Jamani tumtakie heri katika kumkuza mtoto hyo anayetabiliwa kunyakua deals nyingi bongo Dar es salaam na nje

IMG_20210506_103551.jpg
 
Back
Top Bottom