Nimesingiziwa mimba isiyo yangu, wanawake tuishi nao kwa akili kweli

Bin Shaib

JF-Expert Member
Aug 1, 2019
1,206
2,000
Habari za Jumapili njema wapendwa, sifa zote apewe Mungu muumba mbingu na nchi. Amina.

Soma kwa makini kuna fundisho hapa

Jamani nimekuja humu ndani kupata suruhisho la masaibu yanayo nisumbua na kunipa stress zaidi katika wakati huu.

Hii changamoto naona inanilemea tofauti na kupata msaada wenu ntaishia pabaya.

Maada:

Me nimekuwepo na girl friend ambae tumezoeana takriban mwezi mmoja, tumezoeana siku hadi siku baadae mwafaka ukawa baadaye tuoane.

Amekuwa akija kunitembelea kama kawaida geto,, lakini tokana na nguvu ya shetani kutuvaa tulijikuta tumeanguka.

Ilikuwa tarehe 24 ya mwezi wa 4 usiku ndo tulishiriki ngono lakini pia katika kushiriki binti aliniambia nikanunue soda ya Coca Cola kwa ajili ya kutumia kama kinga.

Basi sikuwa na hiana nikafata baada ya kunikazia kuwa yupo kwenye siku za hatari yasije tokea mengine ya mimba.

Nilipoileta basi tukaendelea na mambo mengine baada ya kumaliza alimimina na kuanza kunywa taratibu,,nikamuuliza kazi yake, anadai anapokunywa zile shahawa zinatelemka zenyewe tu.

Basi na kweli zikawa zinatelemka anajifuta.

Baada ya siku hiyo kupita tukakutana tena tarehe 28 mwezi 4 huo huo mchana.

Baada ya kumaliza, siku hiyo akaanza kudai tumbo linamuuma,nikamwambia itakuwa hali tu ya tumbo,, siku ya pili hivyo hivyo basi ikafika tarehe 6 ya mwezi wa 5 akadai haoni siku zake na siku ya pili yake hakuaona ambayo ni tarehe 7,mpaka sasa anasema yupo dry.

Nikamsihi itakuwa mabadiliko ya hali ya hewa lakini ananambia hii itakuwa mimba,, wakati huo sipo nae maana yupo kwao alisafiri hiyo tarehe 6 tokana na changamoto alizokuwa akipata alipo kuwa anaishi.

Mimi nikamsisitiza kapime tuone tatizo nini(yupo kwao mda huu) anasema ntapima tu lakini itakuwa mimba.

Nimemtolea uvivu nikamtega maswali, alidai breed aliingia tarehe 6 mwezi wa nne akatoka tarehe 9 na mimi nilikutana nae tarehe 24 kwa kinga ya soda,tarehe 28 bila kinga,.

Nimefatilia kuhusu mzunguko maana me si kweli alikuwa kwenye hatari ya kupata mimba, na nimemhusisha imekuwa kesi,nikamwambia aniambie ukweli kama hakuwa na mahusiano huko nyuma kabla yangu lakini kakana.kalia sana eti hakutegemea kama ntamwambia mambo kama hayo.

Mara mimi najua hii mimba niyako hata ukikataa,, lakini mimi moyo wangu hauna amani kabisa juu ya swala hili,, nahisi kubambikiwa mzigo usiyo kuwa wangu.

Ilikuwa imebaki kidogo tu tuanze maisha ya ndoa maana wazazi taarifa wanazo kuwa runataka kuoana,,

lakini amani moyoni mwangu haipo nahisi harufu ya usaliti imepita.

Nisiwachoshe sana wakuu swali langu.

Kwa wataalamu wa mzunguko wa hedhi hasa wanawake mnisaidie je nikweli huu mzigo ni wangu?

Maana mimi nikiangalia siku zote tulizo shiriki siyo siku za kushika mimba kufatana na huo mzunguko wake.

Asije ikawa mimba alikuwa nayo halafu kaja kutegesha kwangu.

Nikomee hapo wakuu, msaada wenu ni mhimu sana.

Asanteni.

1620626966492.png

 

Karucee

JF-Expert Member
Mar 11, 2012
16,293
2,000
As long umekula dry, na mzunguko wake haujui hapo pagumu kujitoa.

Acha mabaharia waje wakupe mbinu manake hawashindwagi kitu.

Binafsi kupitia sredi zako nimeona kwamba wewe bado mdogo na ni 'kadinyaji sana' ila maturity na mindset ya kuingia kwenye ndoa bado bado.
 

Bin Shaib

JF-Expert Member
Aug 1, 2019
1,206
2,000
As long umekula dry, na mzunguko wake haujui hapo pagumu kujitoa.

Acha mabaharia wake wakupe mbinu manake hawashindwagi kitu.

Binafsi kupitia sredi zako nimeona kwamba wewe bado mdogo na ni 'kadinyaji sana' ila maturity na mindset ya kuingia kwenye ndoa bado bado.
Mkuu unaweza kuwa katika mahusiano lakini kudinya ukawa hudinyi, lakini hii ishu imenipa mawazo sana, natamani nimwache hadi aniambie ukweli.
 

Kambaku

JF-Expert Member
Nov 12, 2011
4,021
2,000
Tarehe 24 kutoa tarehe 6 ni siku 18, dogo kwanini unataka kukataa hii mimba?

Yaani unatoka povu kukataa kisa alitumia coca cola kama kinga, aisee hebu tupunguzie kuumiza vichwa jamaa. We ulisikia wapi kunywa coca cola kukazuia mimba?

Acha kujiumiza kichwa. Anza kununua pampers. Tena fanya haraka umuite mmalize swala la ndoa kabla tumbo halijatokeza
 

Bin Shaib

JF-Expert Member
Aug 1, 2019
1,206
2,000
Tarehe 24 kutoa tarehe 6 ni siku 18, dogo kwanini unataka kukataa hii mimba?

Yaani unatoka povu kukataa kisa alitumia coca cola kama kinga, aisee hebu tupunguzie kuumiza vichwa jamaa. We ulisikia wapi kunywa coca cola kukazuia mimba?

Acha kujiumiza kichwa. Anza kununua pampers. Tena fanya haraka umuite mmalize swala la ndoa kabla tumbo halijatokeza
Daaah yaani mkuu siamini kabisa,, amelia sana kumwambia hiyo mimba yaweza kuwa siyo yangu,,
Natamani ikikua nikapime ina umri gani.
 

mendex

Senior Member
May 13, 2015
165
250
Brother hiyo mimba ni yako. Na coca haina mechanism yeyote ya kuzuia mimba. Kama aliingia tarehe 6 na mkakutana tarehe 24 kuna posibility kubwa ya yeye kupata mimba if and only if ana mzunguko wa siku 30 na kuendelea… 75% hiyo ni mimba yako
 

Google chrome

JF-Expert Member
Nov 26, 2017
1,232
2,000
Umasema tuishi nao kwa Akili kumbe we ndo zezeta huna akili (samahani lakin) kwaio ulivyoambiwa Soda ya coca inazuia mimba nawee ukaamini kwa asilimia zote?? Lea mtoto nmkuu umevuna ulichopata BAADA YA STAREHE NI MAUMIVU)
Hapo kwenye cocacola kuzuia mimba ndio kituko yani waafrika wengi ndio maana ni wepesi kuamini ushirikina.
 

Bin Shaib

JF-Expert Member
Aug 1, 2019
1,206
2,000
Umasema tuishi nao kwa Akili kumbe we ndo zezeta huna akili (samahani lakin) kwaio ulivyoambiwa Soda ya coca inazuia mimba nawee ukaamini kwa asilimia zote?? Lea mtoto nmkuu umevuna ulichopata BAADA YA STAREHE NI MAUMIVU)
Ntaendelea kumpeleleza ikishindikana basi,, lakini me hofu yangu labda kuna jamaa lilkuwa linamega, japo ameniaminisha kwa 100% kuwa mimba ni yangu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom