Ananinyima tendo la ndoa kwa kusingizia analea mtoto

kibumu

Member
Mar 2, 2018
36
125
Naombeni msaada wa mawazo hivi ni kawaida kwa mwanamke kumnyima mwanaume unyumba miezi mitatu mfululizo kwa kisingizio cha kulea au ndo naibiwa kimya kimya.

Naombeni ushauri wa ki utu uzima kabla sija mrudisha huyu Binti kwao.
 

uttoh2002

JF-Expert Member
Feb 3, 2012
6,068
2,000
Yote yanawezekana, unfortunately wanaume almost all tuliooa hakuna supply ya tendo la Ndoa inavyotakiwa!

Ndugu yangu, nenda naye taratibu! Inawezekana kabisa ni mwaminifu ila maisha yanamfanya hivyo!

Jaribu kuboresha:

1. Urafiki na yeye - usiwe mtu wa lawama.
2. Usiwe unagomba gomba bila sababu!
3. Kama hana kipato usimbane sana!
4. Wajali wazazi na ndugu zake!
5. Mpende na msaidie issue za watoto!

Ukiyafanya haya kwa uaminifu asipobadilika jua wahuni Wanamla!
 

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Feb 6, 2017
18,269
2,000
Hata ivo wanawake wengi mara baada ya Kujifungua miezi mitatu ya mwanzo

Hupoteza hamu ya Ngono nahii ni sababu vichocheo vya ngono vinakua vipo chini sana.

Badala yake hujikuta mapenzi wanahamishia kwa watoto wao.

Lkn pia, Inaweza kua mtoto sio wako. Mf mtoto anamiezi zaidi ya sita. Lkn mtu anakunyima unyumba katukatu..haaaaa Changamka.

Sasa sijui ww unaangukia wapi Ndugu...nani anajua???
 

kibumu

Member
Mar 2, 2018
36
125
Hata ivo wanawake wengi mara baada ya Kujifungua miezi mitatu ya mwanzo

Hupoteza hamu ya Ngono nahii ni sababu vichocheo vya ngono vinakua vipo chini sana.


Badala yake hujikuta mapenzi wanahamishia kwa watoto wao.


Lkn pia, Inaweza kua mtoto sio wako. Mf mtoto anamiezi zaidi ya sita. Lkn mtu anakunyima unyumba katukatu..haaaaa Changamka.Sasa sijui ww unaangukia wapi Ndugu...nani anajua???
Kwa mtoto Mashaka asilimia 70 aisee huenda anahofia kumuharbu mwanae
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom