Mwanamke aliyekuacha akazaa na mtu mwingine vs mwanamke mpya mwenye mtoto wa mtu mwingine

instagram

JF-Expert Member
May 27, 2014
2,091
4,716
Kuna jamaa anaomba ushauri kwani kwa sasa yupo na dailema kuna manzi wawili anafikiria kuoa.

Manzi wa kwanza alikua nae miaka kadhaa nyuma kwa miaka kadhaa then manzi huyo akapata jamaa mwingine akamuacha msela akazaa na jamaa mwingine kisha huyo jamaa mwingine wakatemana manzi akabaki na mtoto wa jamaa mwingine.

Baada ya msela kuachwa na manzi wa kwanza msela akapata manzi mpya ila sasa huyu manzi yeye ana mtoto kutoka kwa mahusiano yake yaliyopita.

Tatizo yule manzi wa kwanza baada ya kupewa mimba kisha kuzaa na kuachika kule alikoenda na kumuacha msela, kwa sasa anataka kurudi kwa msela na kutaka wafunge ndoa eti alipitiwa eti alijua engeolewa eti msela alikua anamchelewesha ndo akamuacha sasa ameona amekosea na anataka kurudiana na msela wafunge ndoa.

Sasa msela anahitaji ushauri afunge ndoa na yule manzi wa kwanza aliyemuacha na kwenda kuzaa na jamaa mwingine au afunge ndoa na manzi mpya ambaye nae ana mtoto kutoka relashenshipu yake ya huko alikotokea.

Tatizo wote wana watoto sasa yupi ana afadhali kati ya hawa manzi wawili ili jamaa afunge ndoa?. Ushauri.........
 
Kwa mkuu instagram kuwa muwazi kama ni ww ndo mwenye hiyo chngamoto, kama sio wewe basi kabla ya kupata nasaha zozote lazima tufahamu umri wa huyo rafiki yako ha hao wanawake zake.

Lakini kwa kifupi wazungu wanasema " once a traitor, always will be" so kama huyo bidada wa kwanza alimuacha kwasababu jamaa alishindwa kutimiza baadhi ya mambo, kama jamaa ataamua kumuoa basi ajue ipo siku ndo itavunjika kwa sababu ya kipuuzi kama mahusiano yao yalivyo.

Na pili kama baba wa huyo mtoto akija na kutangaza dau la ndo basi ndo jamaa ataachwa kwenye mataa kwa mara ya pili.

Kuhusu bidada wa pili, mmmmh, asilimia kubwa ya single mothers wana matatizo ya kufanana fanana na kila siku watu wanatolea shuhuda humu jf.

But wapo wanaojielewa, wenye uwezo wa ku-add value kwenye maisha yaani namaanisha wenye emotional intelligence, intellectual intelligence, finincial intelligence na mengine mengi,so asikurupuke kwanza akae atulie na afanye maamuzi ya kiume.

Kumbuka "once a traitor, always will be"
Ishi na hiyo quote itakusaidia hata ww mleta uzi.
 
Mkuu umeeleweka vizuri sana
 
Back
Top Bottom