Nashukuru ushauri wa JF nimepata mtoto wa kike

kalovha

JF-Expert Member
Dec 10, 2017
1,350
2,000
Husika na kichwa cha habari hapo mnamo mwaka jana niliweza post humu kuwa nimempa mimba binti wa chuomwaka wa pili mimba.

Wengi humu walitoa ushauri kwamba nisije jaribu kumwambia huyo binti atoe hio mimba wala nisikatae majukumu kwa sababu mwanakulitafuta mwana kulipata hivyo nikafuata ushauri huo.

Leo nina nina furaha ya ajabu sana hakika kupata mtoto ni jambo la heri na faraja sana.Now akili imefunguka nimekuwa Baba.

Pia soma: Niko njia panda, ushauri unahitajika
 
Lihove2

JF-Expert Member
Mar 23, 2018
2,337
2,000
Husika na kichwa cha habari hapo mnamo mwaka jana niliweza post humu kuwa nimempa mimba binti wa chuomwaka wa pili mimba.

Wengi humu walitoa ushauri kwamba nisije jaribu kumwambia huyo binti atoe hio mimba wala nisikatae majukumu kwa sababu mwanakulitafuta mwana kulipata hivyo nikafuata ushauri huo.Leo nina nina furaha ya ajabu sana hakika kupata mtoto ni jambo la heri na faraja sana.Now akili imefunguka nimekuwa Baba.
Hongera,Ninaamini pia utafunga naye ndoa .ila huyo mtoto wake apate malezi ya wazazi wote wawili.,yaani hutasababisha huyo dada wa watu kuwa single mother
 
Jumbe Brown

JF-Expert Member
Jun 23, 2020
7,740
2,000
Husika na kichwa cha habari hapo mnamo mwaka jana niliweza post humu kuwa nimempa mimba binti wa chuomwaka wa pili mimba.

Wengi humu walitoa ushauri kwamba nisije jaribu kumwambia huyo binti atoe hio mimba wala nisikatae majukumu kwa sababu mwanakulitafuta mwana kulipata hivyo nikafuata ushauri huo.Leo nina nina furaha ya ajabu sana hakika kupata mtoto ni jambo la heri na faraja sana.Now akili imefunguka nimekuwa Baba.
Hongera ndugu....

Mwenyezi Mungu akupe nguvu ya kumlea kwa ubora na kumfikisha vyema katika dunia hii ya mapambano Aaamin aaaamin 🙏
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom